GODBLESS LEMA AMSHANGAA TUNDULISSU KUPOKEA MCHANGO WA CCM, ADAI NI MTEGO WA KUHAMISHA WALIOWAFANYIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 25 วันที่ผ่านมา

    Shida ya Lema anapenda sana vitu vingine visivyo na msingi ukiwa kiongozi tegemea kuishi na watu wote wema na wabaya hata wewe una difa ya jchonganishi nani asiyekujua Lema

  • @AlyLuluba
    @AlyLuluba 25 วันที่ผ่านมา

    Atashangaa sana hata pata jibu siasa sio chuki ccm oyeee.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ni kweli unayoyasema kwanini Ni wakati huu ndo wanakuja kutoa baada ya kupigwa wanachama wa chadema?? Lakini njaa Ni mbaya Sana angetakiwa lisu isiupokee hizo hela zao.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 26 วันที่ผ่านมา +1

    Alipitia magumu sana Lissu,kama walitaka kumsaidia ingekuwa kabla ya jana.Niliamini Lissu anajitambua,alipwe mafao yake.

  • @SaidiSelemani-l1n
    @SaidiSelemani-l1n 20 วันที่ผ่านมา

    Rema ukosawa

  • @ibrahimmkenge
    @ibrahimmkenge 22 วันที่ผ่านมา

    Siwamezitoa wawao

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi nampenda sana lisu maisha yote lakin Kwa hili hapana

  • @LukasaNgawo
    @LukasaNgawo 25 วันที่ผ่านมา

    Jumaa haleniwe

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 25 วันที่ผ่านมา

    Niabu Lisu kupokea Milioni Tano nifedha ya Supu kwaalivyopigwa? Aibu Aibu Lema Kataeni Upuzi wa CCM CHADEMA tunaweza kumnunulia gari Mpya kwa Dakika tano Wanachama Wa CHADEMA tuko tayari Kumchangia anunue GariMpya Lisu Rudisha hiyopesa nikima cha DAMU kama vipa de thelasini vyafedha vya YUDA iskariote.

  • @robertngilante9621
    @robertngilante9621 26 วันที่ผ่านมา

    Ccm ni masikini sana; mkutano mzima wamechangia hiyotu

    • @MaryMwamwezi-xm3iz
      @MaryMwamwezi-xm3iz 26 วันที่ผ่านมา

      Mhuuuuu chadema ndo maskini haswaaaaaaaa

    • @simonMollel-rr3gb
      @simonMollel-rr3gb 25 วันที่ผ่านมา

      Iliombwa mchango lkn ata ww unaruhusiwa kuchangisha sema tu ile ina siasa ndani yake

  • @luciangole6876
    @luciangole6876 25 วันที่ผ่านมา

    Hizo ni Kodi pokeeni tu,acha mambo ya kususa

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 25 วันที่ผ่านมา

    Chadema. Chadema. Chadema. Chadema. Mumuangarie. Tundurisu. Msikae. Mnamchekea. Muangarieni. Risu. Ataharibu. Chama. Atakubarije. Kupokea. Michango. Ya. Masimango. Kwa chama. Chake. Unapokea hera za michango. Ya masimango Kwa chama chake. Mumuangarie. Atauwa chama

  • @antonykpatricj2864
    @antonykpatricj2864 25 วันที่ผ่านมา

    Wanatoa wap uo wema

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 26 วันที่ผ่านมา

    CCM wamekosa kusaidia Omba Omba mamilioni wa watu

  • @knight6757
    @knight6757 26 วันที่ผ่านมา

    Tafuna baadae puliza !👂

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 26 วันที่ผ่านมา

    𝐿𝑖𝑠𝑢 𝑘𝑎𝑛𝑖𝑠ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎𝑧𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖 𝑑𝑎𝑎𝑎 ,,𝑦𝑎𝑠𝑒𝑚𝑤𝑎𝑦𝑜 𝑦𝑎𝑛𝑎𝑤𝑒𝑧𝑎𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑢𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖 𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑛𝑔𝑤𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑚𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑒 𝑐𝑐𝑚,,𝑛𝑎 ℎ𝑢𝑜 𝑚𝑐ℎ𝑎𝑛𝑔𝑜 𝑛𝑖 𝑚𝑠𝑖𝑛𝑔𝑤𝑎 𝑎𝑙𝑖𝑢𝑎𝑛𝑧𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑘𝑤𝑎𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖 𝑙𝑖𝑠𝑢 ℎ𝑢𝑗𝑎𝑜𝑛𝑦𝑒𝑠ℎ𝑎 𝑢𝑧𝑎𝑙𝑒𝑛𝑑𝑜 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑜 𝑚𝑎𝑎𝑠𝑖𝑚𝑢 𝑤𝑒𝑡𝑢,,,

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 24 วันที่ผ่านมา

    😮Lema wewe nimjinga tu.Mbeya hakuna yeyote aliyepingwa mbona hakuna aliyeumizwa ngeo .Kodi zenu wakati wana CCM wamemchangia .CCM ipo juu zaidi.Hakuna mwanaCCM sliyehusika kumpiga Lisu mlipigana wenyewe kwa ujinga wenu .Bado sana kuishinda CC M

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 26 วันที่ผ่านมา

    𝑖𝑛𝑎𝑜𝑛𝑒𝑘𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑑𝑎𝑙𝑖𝑧𝑖 𝑦𝑎 𝑙𝑖𝑠𝑢 𝑘𝑢ℎ𝑎𝑚𝑖𝑎 𝑐𝑐𝑚 ℎ𝑢𝑜 𝑛𝑖 𝑚𝑝𝑎𝑛𝑔𝑜 𝑛𝑦𝑒𝑡𝑖 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑜 𝑢𝑡𝑎𝑛𝑖 𝑛𝑑𝑜 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑛𝑔𝑤𝑎 𝑘𝑎𝑚𝑘𝑎𝑧𝑎𝑛𝑖𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑠𝑢 𝑚𝑎𝑜𝑛𝑖 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 ,,,,ℎ𝑢𝑢 𝑛𝑖 𝑚𝑝𝑎𝑛𝑔𝑜 𝑚𝑎ℎ𝑢𝑠𝑢𝑠𝑖 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑢𝑛𝑎 𝑐ℎ𝑜𝑘𝑜𝑐ℎ𝑜𝑘𝑜 𝑘𝑤𝑎 𝑐ℎ𝑎𝑑𝑒𝑚𝑎 𝑚𝑡𝑎𝑛𝑖𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑎 ,,𝑐ℎ𝑎𝑚𝑎 𝑘𝑢𝑤𝑒𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑘𝑖𝑛𝑖 𝑘𝑤𝑎 ℎ𝑖𝑙𝑖