JOSEPH KUSAGA : FIESTA HAIJAWAHI KUINGIZA FAIDA MIAKA YOTE, NAAMBIWA NIANDIKE BARUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @allykaite369
    @allykaite369 5 ปีที่แล้ว +274

    Kama umegundua jonijjo anajua kumentain maswali. Mtu pamoja na lugha kwa mtu husika ...mpe like zake

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +114

    I've always known that Joseph is a smart and a humble guy but today I've realized he is way far much smarter than I knew

  • @aminaomar4073
    @aminaomar4073 5 ปีที่แล้ว +10

    Kusaga is a smart and genius business man hats off🙌this interview is one of my best congrats to jonijoo

  • @hassansaid7026
    @hassansaid7026 5 ปีที่แล้ว +61

    Daah iseee this man is genius clean heart humble yan he has got roho fulani hvi ya kuthaminika ukuona bosi anakamea upande wako wanakosea ujue huyo mtu daa

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 ปีที่แล้ว +2

      Mtu mzima huyoo achana na mateja kina rayc wanajifanya wanatoa ushauri huku wameegemea upande moja

  • @gilbertcfc2959
    @gilbertcfc2959 5 ปีที่แล้ว +189

    Mr Joe kaongea meengii... ila nimeshika pale aliposema "usisubiri mtu afe ndo useme yule alikuwa bora, msifie akiwa hai"❤

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 5 ปีที่แล้ว +2

    Na hapa lazima wafanya kazi wa clouds fm wamuangalie BOSS wao kupitia hii interview Nini anaongea 👍Mungu bariki TZ tuwe na watu wenye vision wengi Hili tusaidiane 🙏🙏🙏🙏 like please

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +48

    Nice interview, Jo Asante kwa kujibu vzr, Jonijo asante kwa good questions

  • @dadyshunaydah5802
    @dadyshunaydah5802 5 ปีที่แล้ว +261

    Joseph Kusaga AKILI kubwa mnoooo kama umeligundua hilo likes hapa👇👇

  • @saidamsami508
    @saidamsami508 5 ปีที่แล้ว +6

    Kama umegundua bifu la wasafi na clouds ni la kibiashara...weka like twende sawa.

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 5 ปีที่แล้ว +2

    Haijawai kutokea show interview kali na nzuri pia inavutia kuangalia kama hii ya wasafi BAR TENDER, like please

  • @GamechangerTz
    @GamechangerTz 5 ปีที่แล้ว +170

    To be honest kwa mwaka 2019 hii ni moja ya interview yangu pendwa Kabisa

    • @GamechangerTz
      @GamechangerTz 5 ปีที่แล้ว +1

      @medylove_tz medylove_tz shukran my brother thanks too for appreciation

    • @abubakarmilopa6033
      @abubakarmilopa6033 5 ปีที่แล้ว

      weee ile alio fanya na TID ni noumaaa 😂😂😂

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 5 ปีที่แล้ว +7

    Dah pia sisi huku 🇰🇪 tulikua tumeisubiria hii interview Sanaa.........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @madingaernest1011
    @madingaernest1011 5 ปีที่แล้ว +5

    Best interview of the year. Gonga like hapa

  • @aslaynews3366
    @aslaynews3366 5 ปีที่แล้ว +59

    Dah!!!!!!! Mungu akubalik niliacha mpka kula sababu ya huyu babu joh dah jonijo hongera nimependa sana hii interview jmn

  • @jayculture7744
    @jayculture7744 5 ปีที่แล้ว +18

    nakubali watu wa clouds hawanaga maneno mengi wala majigambo nahapo ndo utaona pengo la boss Ruge mutahaba respect xana Joseph kusaga respect xa clouds media

  • @amirithabiti9181
    @amirithabiti9181 5 ปีที่แล้ว +13

    Jonijooo baba akooo! Best interview ever

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 5 ปีที่แล้ว +3

    The best interview in 2019
    Thnx Mr Kusaga 👏🏻
    Thnx Bro Jonijoo👏🏻

  • @mussamsella8560
    @mussamsella8560 5 ปีที่แล้ว +2

    Joseph Kusaga very smart person ...nimefurahi sana namna alivojibu kwanini nyimbo za wcb hazipigwi clouds
    Uongozi wa wcb inabidi ujitathimini...Diamond angalia watu wako wanaokusimamia hasa ktk hili

  • @edmundsilayo2736
    @edmundsilayo2736 5 ปีที่แล้ว +69

    Daaah..... Mzee wangu hongera sana. Upo vizuri na nimependa interview yako.... You are very smart. Vijana tujifunze kuwa smart siyo fyoko fyoko za kina soudybrown Leo wameaibika

  • @yusuphally131
    @yusuphally131 5 ปีที่แล้ว +6

    Best Interview of the year 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amdunshomali3971
    @amdunshomali3971 5 ปีที่แล้ว +12

    Interview ya funga mwaka hii asante boss Joseph

  • @mrmbwana7666
    @mrmbwana7666 5 ปีที่แล้ว +10

    The best host of the year gonga like tukae umo

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 5 ปีที่แล้ว +69

    Uncle Joh is very humble smart mind smart heart God bless him

  • @shokajr9714
    @shokajr9714 5 ปีที่แล้ว

    Hii ni interview ya maisha yake kwa kweli maana kaongea points sana itaangaliwa leo yupo hata kesho mungu atakapoamua kuchukua kiumbe chake na huenda kipindi ambacho hatokuwepo ikawa interview kubwa zaidi. Pongezi kwa Johnijo. 🤘🏽🤘🏽

  • @christianronardo4854
    @christianronardo4854 5 ปีที่แล้ว +179

    nakubali anayemkubali jonojooo agonge like zake bas

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 5 ปีที่แล้ว

    uko real sana Kusaga your a role model..........(Napenda sana ule wimbo wako wa Hakuna Mungu kama Wewe Bwana)

  • @rosemaryshine3008
    @rosemaryshine3008 5 ปีที่แล้ว +161

    Wa kwanza ku comment jaman weka like nying kwa ajil ya simbaaaa

  • @wanjaradeson9091
    @wanjaradeson9091 5 ปีที่แล้ว +397

    Kama unamkubali jonijoo gonga like👇tukae umo

    • @koiyakibanga8102
      @koiyakibanga8102 5 ปีที่แล้ว +2

      Namkubali John mdogo wangu,songa mbele

    • @amissib.7086
      @amissib.7086 5 ปีที่แล้ว

      tayari tumegonga

  • @Wachuoni
    @Wachuoni 5 ปีที่แล้ว +4

    Maisha sote tunapita, ukiweza kupungiza maadui ni vyema kuliko kuwa maadui ... hii ni falfasa kubwa mno, ni ukomo wa Imani na ubinadamu ... bro heshima kubwa sana kwako, na Mungu azidi kukubariki

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 5 ปีที่แล้ว +1

    Bora umeweka waz kusaga kwel diamond baba lao gonga like twende sawa

  • @calvinaminason7395
    @calvinaminason7395 5 ปีที่แล้ว +6

    bònge moja la interview i like it kusaga katisha saana coz yupo vizuri aiseee

  • @nyabokemabuka6321
    @nyabokemabuka6321 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wa watu sana huyu Joseph Kusaga
    Mungu nipe roho kama ya Joseph kusaga siku ukinipa hela

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 ปีที่แล้ว +16

    Hii interview kama darasa kama umejifunza kitu gonga like.

  • @issaamiry6887
    @issaamiry6887 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumfanyia interview mtu ambae ana uelewa mpana zaidi wa maisha na anashule kichwani na kumfanyia interview mtu ambaye yy uelewa wake juu ya maisha ni mdogo na elimu yake pia ni ndogo mno.

  • @aishaddddhh6272
    @aishaddddhh6272 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwel mzee umeongea point sana ingekuwa kila media ingekuwa inapiga nyimbo zawasanii wote tungefika mbl kimuziki tz

  • @salehkilehya68
    @salehkilehya68 5 ปีที่แล้ว +42

    Yaan watz bhana, interview ina mengi ya kujifunza watu tumekalia clouds vs wasafi na porojo za hapa na pale, mwamba anaamka sa8 usiku na hela zake sisi tunaomka sa5 asubuh tubishana uteam daah

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 5 ปีที่แล้ว +2

      Uko sahih but you can't be him...kila mtu ana hatima
      yke

    • @damasabas8
      @damasabas8 5 ปีที่แล้ว

      Saleh Kilehya tunaishi leo sio kesho ww kaa kitaram

    • @akothbake1096
      @akothbake1096 5 ปีที่แล้ว +2

      @@luccabosslugendo9722 saleh ajamaanisha anataka kuwa kusaga amesema ivo tu ili tusijisahau all the positive things kusaga alizosema ambazo zaweza kutu inspire kama vijana.maana wengi kweli wana focus on iyo drama ya clouds na wasafi.

    • @salehkilehya68
      @salehkilehya68 5 ปีที่แล้ว

      @@akothbake1096 you got me right

  • @therealafricana1372
    @therealafricana1372 5 ปีที่แล้ว +3

    Smart man.mungu amulinde siku zote. Sasa huyu Diva shida yake huwa nini? Diva ni kama ule msemo ..umbwa mkali kuliko mwenye boma. Ona sasa Boss very humble na mungwana. Atafutwa kazi huyo kwasababu Maboss huwa ni marafiki.wanacheza golf pamoja , yeye anatukana na leval hafiki. Aaaah dunia ina mambo

  • @swahilivoice2253
    @swahilivoice2253 5 ปีที่แล้ว +12

    The best interview ✌🏾

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaka kusaga hakikisha mwaka 2020. Craudz mnaachana nakubaniabania nyimbo zawasani..angalieni namna nyingine yakufanya biashara nawasani wetu jamani..hili nijambo linatukera watanzania

  • @seiftupa7959
    @seiftupa7959 5 ปีที่แล้ว +15

    kama waangalia uku wasoma comment gonga like

  • @cocaboy6928
    @cocaboy6928 5 ปีที่แล้ว +8

    Interview yangu bora kabisa mwaka 2019 nikki umeongea point na kutoa mifano hai nani mwingine kaona kusaga kinywaji kilivyomkolea kachangamka sana

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +60

    The only problem with this interview is that it ends, ningetamani iendelee masaa kama matatu hivi. It was a smart interview tena funny

    • @issamkanza7962
      @issamkanza7962 5 ปีที่แล้ว

      Susan Ruo bundle zinaenda wewe

    • @zanuraiddy8418
      @zanuraiddy8418 5 ปีที่แล้ว

      Nice

    • @zanuraiddy8418
      @zanuraiddy8418 5 ปีที่แล้ว

      @@issamkanza7962 a

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 5 ปีที่แล้ว +1

      Sasa mbona unachanganya kiswahili na kingereza au wew mrundi

    • @susanruo8087
      @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว

      @@jaydon3361 they are both my language ,if you see a problem with that, I care less 🙅

  • @anthonychipuga8551
    @anthonychipuga8551 5 ปีที่แล้ว +22

    "Tunapita kwenye hii Dunia majivuno ya nini?" Joseph Kusaga....More appreciates

  • @mirajikinuke9849
    @mirajikinuke9849 5 ปีที่แล้ว +229

    JOSEPH kusaga umeongea point sana, Na nyie Viongozi wa WASAFI embu mruhusu nyimbo za WASAFI zipigwe Clouds

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 5 ปีที่แล้ว +6

      Miraji Kinuke;kwani viongozi wa wcb wamesema zicpingwe amaa?? !!.

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 5 ปีที่แล้ว +4

      Miraji Kinuke;kwani viongozi wa wcb wamesema zicpingwe amaa?? !!.

    • @gaudinamosnchobe4909
      @gaudinamosnchobe4909 5 ปีที่แล้ว +13

      Apana sisi kama fans atutaki clouds wapige nyimbo zetu

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว +2

      ally kutenga
      Hivi kijana ulikuwa nasikiliza au?
      Nenda @33:38 usikilize tena

    • @salimunkota4355
      @salimunkota4355 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwan siku zote ambapo walikuwa hawapigi wamejifanya kuanza kupiga walivyoona wamefungua media yao

  • @jibuswaibu5844
    @jibuswaibu5844 5 ปีที่แล้ว +9

    Jonijoo uko vizuri mdogo wangu, big up bro kusaga. like zenu jamani.

  • @emmanuelamadembwe4928
    @emmanuelamadembwe4928 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda enterview sana Joseph kusaga ni very smart na pia johnijoh utabaki kuwa juu unaendesha vizur sana Wasafi TV wajivunie wewe ata iweje.

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +5

    Jonijoo umetisha kwa maswali🔥🔥🔥

  • @charlesiezekiel5426
    @charlesiezekiel5426 5 ปีที่แล้ว +1

    Boss j mungu akubariki sana akujalie maisha marefu

  • @josephpascha4730
    @josephpascha4730 5 ปีที่แล้ว +18

    Dar mzee kwel ww tajir waroh mung akubarik

  • @wanatown
    @wanatown 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hao wanaopga kelele ni mbwa tuu sasa jonijo Leo upo na mwenye mbwaa big up brother

  • @MrMbwelwa
    @MrMbwelwa 5 ปีที่แล้ว +3

    Very best interview jonijoo and kusaga

  • @mussakadikilo1140
    @mussakadikilo1140 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama unakubari wapambe wanabana kuliko matajiri wenyewe gonga like twende sawa..

  • @emmanuelluiso4872
    @emmanuelluiso4872 5 ปีที่แล้ว +7

    Naombeni like zenu jmn mnke sijawahi kuangalia interview mwanzo mwisho Leo ndo mara ya kwanza kuchek hii kitu kwa muda wa lisaa na...syo Poa ujue

  • @aishaabdallah6232
    @aishaabdallah6232 4 ปีที่แล้ว

    Jmn Nina broo Wang anakipaj cha kuimb han wakumshik mkn pls msada wenu..😥😥😥🙆

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 5 ปีที่แล้ว +6

    Kusaga very humble aisee... Na Jonijoo anajua Sana interview aisee good boy... Unapomuhoji boss wako na kumfanya awe humble kama hivyo yuko teyari kujibu na anafurahia interview

  • @salmasmith123
    @salmasmith123 5 ปีที่แล้ว +1

    Jonijooo apana aise ww ni level nyengine .. I just love ur work

  • @grandgeorge7861
    @grandgeorge7861 5 ปีที่แล้ว +14

    Joseph kusaga is such a fresh Old man

  • @believeboy2150
    @believeboy2150 5 ปีที่แล้ว

    Jonijoo hii ni interview kubwa ya mwaka huu kwako! Jah bless u

  • @eugennando9301
    @eugennando9301 5 ปีที่แล้ว +12

    one among of the best show 2019

  • @evalumumba3292
    @evalumumba3292 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mnafunguliwa kwenye download muifunge watu wasidownload

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaallah. Kaka Angu Joseph kusaga.Umeongea Uzuri sana. Tatizo liko kwa Wafanyakazi wako Nafikiri hivyo. Lakin Sina uhakika Sasa haya maugomvi Yanatokea wapi.

    • @medystarter
      @medystarter 5 ปีที่แล้ว

      Ttz lipo kwenye uwongozi wa wasafi sio clouds

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 5 ปีที่แล้ว

      @@medystarter Niliandika kabla Sijamaliza Kusikiliza. Sasa Uwongozi wa Wawasafi wanataka barua yakuwa kwanini hazikipigwa nyimbo zao miaka 5. Jamani Hebu Acheni hiyo Tanzania yetu ni ya Amani sana Basi tunahitaji Amani kote Mpk kwenye hizi media Zishirikiane Majungu sio mazuri kabisa.

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 5 ปีที่แล้ว

    Moja kati ya interview Bora kabisa za Wasafi media. Big up sana aisee. Duuh!

  • @jonasjulius8697
    @jonasjulius8697 5 ปีที่แล้ว +5

    Utaki kusema niko hai labda mtasema nikitoweka😓😓😓 kama umeelewa iiilo neno la boss Jk tujuane apo kwenye like👇👇

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 5 ปีที่แล้ว +1

    Jonijo you killed this interview🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ItsThedon2Lorenzo
    @ItsThedon2Lorenzo 5 ปีที่แล้ว +9

    Mzeee nimetokea kukupenda Sanaa♥️

  • @bidadijuma5696
    @bidadijuma5696 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kusaga weka mambo sawa vijana kua pamoja

  • @peterfestor822
    @peterfestor822 5 ปีที่แล้ว +27

    Kwang mm cjamulew kusaga kwamba hana share ila kamasaidia hebu waelewa wenzang tusaidie kwa hilo huend mm sijalewa vizur

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 5 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kajibu very trick wenye akili wameelewa 🙄

    • @yahayabakali7912
      @yahayabakali7912 5 ปีที่แล้ว

      Tumeisoma hiy

    • @isdorinchimbi8996
      @isdorinchimbi8996 5 ปีที่แล้ว

      Ametoa madini mengi sana we ulikua unasubir angee tu wasaf ana hisa ama ana badilika ww

    • @hoseamkamilo251
      @hoseamkamilo251 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna msaada wa buree kaongea ki utu uzimaaa apooo jiongezee

    • @isdorinchimbi8996
      @isdorinchimbi8996 5 ปีที่แล้ว +4

      Diamond mwenye kashaongeaga kwenye interview moja ivi kuna mtu anashare naye hawez kumtaja ni mambo yakibiashara na kusaga hawez funguka moja kwa moja kama anamiliki hisa pale Ww nani kakuambia wasafi inamilikiwa na mondi yeye anamiliki blad name ya wasafi na anashare pale ndo mana tunaona kama nimliliki wawasafi asilimia zote ila sio kweli kama umefatilia interview za kusaga kwa umakini utaelewa na sio interview hii tu check na za nyuma alizofanya

  • @yusuphabdallah685
    @yusuphabdallah685 5 ปีที่แล้ว +2

    Kusaga ni smart Sana...wbc wabadilike kidogo

  • @patrickfrederick6146
    @patrickfrederick6146 5 ปีที่แล้ว +107

    Joseph Kusaga anatumia Tecno mimi ni nani nisitumie Tecno

    • @edyjr520
      @edyjr520 5 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @1986dogo
      @1986dogo 5 ปีที่แล้ว +3

      Huawei

    • @fredymahenge3063
      @fredymahenge3063 5 ปีที่แล้ว +3

      Huawei

    • @Mamateecomedy
      @Mamateecomedy 5 ปีที่แล้ว +3

      sio tecno hiyo ni huawei endeleeni na Tecno zenu ziwalipukie

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 5 ปีที่แล้ว

      @@Mamateecomedy Huawei ni konyoooo

  • @arunamwaholi1351
    @arunamwaholi1351 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini hamkupiga nyimbo zetu miaka mitano andika barua daa wasafi noma hawataki ubabaishaji. Ila kusaga nimemuelewa vzr sana memor yake ya kichwa iko vzr sana mzee anatema madini Sana kiufupi mzee ni mzima kichwani

  • @pikolaizaog7303
    @pikolaizaog7303 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama unaikubali bar tender gonga like..tukae humo

  • @valentinetesha7915
    @valentinetesha7915 5 ปีที่แล้ว +1

    Clouds wana Bosi mwenye akili sanaa🔥🔥👏👏👏👏

  • @thestorybooktv4847
    @thestorybooktv4847 5 ปีที่แล้ว +13

    Awesome

  • @HamiduChamboko
    @HamiduChamboko 5 ปีที่แล้ว

    Hivi kuna course inaitwa Tanesco ? au chuo cha Tanesco ?

  • @yanickduga464
    @yanickduga464 5 ปีที่แล้ว +70

    Kama namuona soudy brown aki ifata interview gonga like 😂 boss wake iko upande wapili !. Amkeniii amkenii 🤣🤣

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @innojtm1861
      @innojtm1861 5 ปีที่แล้ว +2

      😄🙌🏿

    • @chicharitoronaldo5950
      @chicharitoronaldo5950 5 ปีที่แล้ว +1

      AUNTY SOUDY NA MALAYA DIVA WALE NI VIJAKAZI TU HAWATUSUMBUI😂😂😂😂Boss Akiamua anawaachisha kazi ni jambo la maramoja😂😂😂

    • @hamsajerusalem3882
      @hamsajerusalem3882 5 ปีที่แล้ว

      Kusaga geneus

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice interview 2019

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 5 ปีที่แล้ว +18

    Daaaah jonijooo mkali sana

  • @samirpapuu8273
    @samirpapuu8273 5 ปีที่แล้ว

    Jo yupo humble sana🙌🙌🙌

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +13

    Hii interview ya kizazi sana, hongera sana Boss *JOSEPH KUSAGA*

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 5 ปีที่แล้ว +1

    AM=Amplitude Modulation, FM=Frequency Modulation. Boss wangu kasahau kidogo.

  • @hellyally4395
    @hellyally4395 5 ปีที่แล้ว +42

    together we can

  • @mlekwasamson4097
    @mlekwasamson4097 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyu kusaga ndomaana mungu anazidi kumbarik kila kukicha good sana kwa moyouwo

  • @alexnymhngmarwa7085
    @alexnymhngmarwa7085 5 ปีที่แล้ว +32

    Huyu mzeee mm nakubali saaana kasema kweli leo

  • @mjunimjuni9982
    @mjunimjuni9982 5 ปีที่แล้ว +2

    Joe nilifikiri ni mtu mwenye busara but leo kaniangusha asee, yuko kwenye interview halafu simu zinaita ita busara za wapi hizo mzee weka silence maliza interview kama mtu mwenye heshima na busara kama tukujuavyo 🤔

  • @hatuatv
    @hatuatv 5 ปีที่แล้ว +3

    Imarasana wanangu

  • @toney..
    @toney.. 5 ปีที่แล้ว +2

    Boss 🙌

  • @mulastar
    @mulastar 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Kusaga Ana Moyo wa Ajabu sana na ni tofauti na tulivyokuwa tunamuona na kumuwaza. Hizo interview amefanya kwa dis week ya Clouds+ na hapo kweli zimetubadili mawazo na kutusaidia

  • @mafoleb.8562
    @mafoleb.8562 5 ปีที่แล้ว +1

    Niki wa2 nomaaa..I salute you bro

  • @frankakuno.9511
    @frankakuno.9511 5 ปีที่แล้ว +15

    Mwenye akili uwezi jiuliza mara mbilimbili kusaga kufanya interview hapo wasafi ni jibu tosha kuwa ana share.....huyo mfanyabihashara yy anachoangalia ni hela hayo mengine haya msumbui

  • @mohamedmuhajiri8348
    @mohamedmuhajiri8348 5 ปีที่แล้ว

    Big up bro maan umemtafut mtu makini saan...

  • @ezekielleonard8160
    @ezekielleonard8160 5 ปีที่แล้ว +10

    Kusaga yupo upande WASAFI MEDIA Alafu awo wakina babu tale na Salam K wapo WASAFI MUSIC Kumbeeeeeeee Dooh sarareeeee

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 5 ปีที่แล้ว +2

    usimhukumu mtu kwa hisia. i like it

  • @ezekielleonard8160
    @ezekielleonard8160 5 ปีที่แล้ว +3

    BIG RESPECT KWA KUSAGAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 5 ปีที่แล้ว

    Interested interview

  • @ericandrew942
    @ericandrew942 5 ปีที่แล้ว +28

    More life papa

  • @preciousheavenly5245
    @preciousheavenly5245 5 ปีที่แล้ว

    I know it's not too late ku comment. For my opinion uongozi wa wasafi umefanya vizuri kukataa nyimbo zisipigwe clouds. Walikuwa wapi for the past 5 years. Mtu anakususia for 5 years halafu uone anakuja kukukumbatia si utashtuka na kusogea nyuma kwanza na kujiuliza What's going on?

  • @husnamchumia5084
    @husnamchumia5084 5 ปีที่แล้ว +6

    Hatariiii sana nimependa hii interview

  • @gracesteven6272
    @gracesteven6272 5 ปีที่แล้ว

    Interview konki hongera jonijo Joseph kusaga unasema ukweli hufichi kitu baba

  • @abdulkiango1642
    @abdulkiango1642 5 ปีที่แล้ว +32

    Dah huyuu jamaaa mpoleee alafuu humble

    • @abassking8296
      @abassking8296 5 ปีที่แล้ว +2

      Masikini ndio tukiwa na hela ya kula shida

  • @paulogodwin6912
    @paulogodwin6912 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah huyu josephu tajiri lakini anajishusha na anabusara sana Hongera Kusaga 💎