MSTARI WETU MPYA WA UZALISHAJI ULIOONGEZA UBORA ZAIDI KATIKA VIGAE VYETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Goodwill Tile Katika kuzingatia kila Mtanzania anapata Tiles bora na zenye uimara sana hii ndio sababu ya Goodwill kuongeza mstari wtu mpya wa uzalishaji wenye mashine zenye ubora na utendaji kazi thabiti ili kuzalisha Tiles zenye ubora zaidi na kuendelea kuliteka soko la Tiles Tanzania na Nchi Jirani. GOODWILL, GOOD TILES
    Tufuatilie kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupitia Facebook, Instagram, Twitter, TH-cam na TikTok kwa habari zaidi @goodwillceramics_tz

ความคิดเห็น • 1

  • @samimafuye7028
    @samimafuye7028 6 หลายเดือนก่อน

    Tatzo mwajiangalia ninyi wenyewe mafundi hawana maana kwenu