Goodwillceramics_tz
Goodwillceramics_tz
  • 20
  • 6 899
GOODWILL ANTHEM
HII TUNAIMBA WOTE
Tukiendelea kufurahia Mazuri mengi kutoka kampuni ya Tiles ya Goodwill ikiwemo na Bidhaa zenye ubora, Semina za Mafundi Tiles, Huduma nzuri kwa wateja wetu pamoja na Mengine Mengi; Na hii pia tunaimba wote na kuburudishwa na Nyimbo wa Taifa letu la Tiles.
TUENDELEE KUFURAHIA ZAIDI
GOODWILL, GOOD TILES
มุมมอง: 114

วีดีโอ

RAMADAN KAREEM KUTOKA GOODWILL CERAMICS
มุมมอง 186 หลายเดือนก่อน
Ahsante kwa kuchagua Tiles za kampuni ya Goodwill, Uongozi mzima wa Goodwill na Wafanya Kazi wake Tunawatakia waislam wote Tanzania na Dunia nzima Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.... RAMADHAN KAREEM
MSTARI WETU MPYA WA UZALISHAJI ULIOONGEZA UBORA ZAIDI KATIKA VIGAE VYETU
มุมมอง 2176 หลายเดือนก่อน
Goodwill Tile Katika kuzingatia kila Mtanzania anapata Tiles bora na zenye uimara sana hii ndio sababu ya Goodwill kuongeza mstari wtu mpya wa uzalishaji wenye mashine zenye ubora na utendaji kazi thabiti ili kuzalisha Tiles zenye ubora zaidi na kuendelea kuliteka soko la Tiles Tanzania na Nchi Jirani. GOODWILL, GOOD TILES Tufuatilie kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupitia Facebook, I...
CHRISMAS WISH
มุมมอง 388 หลายเดือนก่อน
Uongozi Mzima wa Goodwill Unawatakia wateja na Mafundi wote Kheri ya sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya, Tunazidi kukupa Tiles Bora na Matoleo mapya ili Upendezeshe nyumba yako na eneo lako. Goodwill, Good Tiles
ZAWADI ZA CHRISMAS KWA WATEJA WOTE WA GOODWILL
มุมมอง 708 หลายเดือนก่อน
Katika Kipindi hiki cha sikukuu ya Chrismas na Mwaka Mpya sisi tunawapa wateja wetu thamani zaidi na Kuwajali kila wakati kwa kuwapa CHRISMAS SPECIAL PACKAGE kutoka kwetu, Hii ni kwa wateja wetu wote wanaonunu Tiles za Goodwill ili kufurahia zawadi wao na Familia zao kwa Pamoja tunawatakiwa Kheri ya Sikukuu ya Chrismas na Mwaka mpya. Tufuatilie kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupitia ...
TILES MPYA ZA FG 30 KWA 60 ZA SAKAFUNI
มุมมอง 14711 หลายเดือนก่อน
Hii sasa Ni zaidi ya zile zenye ubora yani ina Ubora zaidi na zaidi, ikiakisi uhalisia wa Rangi ya mbao Muundo wake ni mzuri na ina uso usio teleza, haivuki rangi lakini pia haiachi nafasi yani ni Joint free Tiles. Ni Tiles MPYAAAA za FG 30 kwa 60 za Sakafuni kwa ajili yako. Ni mpya kutoka Goodwill ndio maana tunasema GOODWILL, GOOD TILES Tufuatilie kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kup...
FUATILIA MATUKIO YA SEMINA ZETU ZA NYANDA ZA JUU KUSINI MWA TANZANIA
มุมมอง 60ปีที่แล้ว
Katika Muendelezo wa Semina babkubwa kutoka Goodwill Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Mbeya, Iringa na Njombe Tulifika na walifurahi sana na sana, Hakika Safari hii ilikuwa ni Hatari lakini Salama Tunashukuru sana kwa Mwitikio wenu hadi wakati mwingine AHSANTENI. DODOMAAAAAA, SINGIDAAAAA na MOROGORO MPO TAYARI? Tufuatilie kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupitia Facebook, Instagram, Twitt...
TAZAMA VIPIMO VYA UBORA WA TILES ZA GOODWILL
มุมมอง 3.9Kปีที่แล้ว
Tunavyouzungumzia Ubora katika Tiles zetu basi tunamaananisha kuwa Goodwill Tiles imepitia vipimo mbalimbali vya kuikagua ubora kuanzia inapoanza kutengenezwa hadi katika bidhaa ya mwisho kabisa inayomfikia mtumiaji, hii yote ikiwa ni kukupa kilicho bora zaidi. Fuatilia mfululizo wa vipimo mbalimbali wa Tiles zetu kupitia video hii ili ujihakikishie ubora zaidi. GOODWILL, GOOD TILES Endelea Kuf...
Zanzibar Fundi Semina Video
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
AHSANTENI ZANZIBAR Katika mfululizo wa Semina babkubwa za msimu huu wa mwaka 2023/2024 Goodwill ceramics Tulifanikiwa kufika katika visiwa vya Zanzibar hakika mafundi na mawakala wa visiwani Zanzibar wamefurahi na kuelimika zaidi juu ya Tiles za Goodwill, zawadi kemkem zilitolewa pia na tulipata mda wa Kupata pamoja chakula cha Jion. Goodwill, GoodTiles. KITUO KINACHOFUATA................ Endel...
Mfululizo wa Matukio Mbalimbali ya Furaha katika Semina ya Mafundi Ifakara.
มุมมอง 266ปีที่แล้ว
TUMEFURAHI PAMOJA Semina Ya Mafundi IFAKARA ilipendeza sana na sana ilihamasisha wengi na wengi wakapata Mengi na kuzidi kuziamini Tiles za Goodwill na Mawakala wake pia. Tunawaamini wanatuamini hii ndio sababu tumejitoa kwa Tiles bora na semina za uhakika katika msimu huu mpya wa semina. Mengi mazuri yanakuja, Fuatilia video ya ufupisho wa Semina Ya mafundi IFAKARA ilivyosheheni nyuso za Furah...
TILE APP INAKUNUFAISHA FUNDI
มุมมอง 475ปีที่แล้ว
Fatilia video hii Kuona Umuhimu wa Goodwill Tile APP yenye nembo nyekundu kuona umuhimu wa Goodwill Tile APP jinsi inavyoweza kukunufaisha na kukusaidia katika kazi zako za kila siku na kukupa uwezo zaidi wa kuzitambua Tiles zetu. Fuatilia hadi mwisho kufahamu zaidi. GOODWILL FUNDI KWANZA
FUNDI SEMINA BAGAMOYO
มุมมอง 74ปีที่แล้ว
Tulivuka mkoa mkoa tukagonga Hodi hadi Bwagamoyo jiji la kihistoria, ni kupeleka semina na Zawadi mbalimbali kwa mafundi wetu wa Tiles na kuwapelekea Habari njema kutoka Goodwill, Ni Mwaka wa Kupeleka Habari kwa mafundi wote nchini. POPOTE ULIPO TUTAFIKA Tiles za Goodwill zinapatikana katika maduka ya mawakala walioenea nchi nzima fika ujipatie Tiles kwa ajili yako. Endelea kutufuatilia katika ...
Mafanikio Yetu na Wateja Wetu Ndani Ya Mwaka 2022 Tunayo Mengi zaidi ndani ya Mwaka 2023 BAKI NASI
มุมมอง 17ปีที่แล้ว
Katika Mwaka 2022 Tunayomengi yakuwashirikisha wateja wetu na wote wanaoifanya Goodwill iitwe Goodwill, Tunapenda kuwashukuru sana Wateja wetu, Mafundi na wote mliotuwezesha na mkaamua kuwa nasi katika mwaka huu tunapoelekea kuufunga mwaka huu na kuufungua mwaka mpya wa 2023 tumejipanga vyema kuboresha palipokuwa na changamoto na kuongeza nguvu zaidi pale kulipofurahiwa nanyi wateja na mafundi....
On Behalf Of Goodwill Ceramics We Wish you all our Customers Merry Chrismas and Happy New Year
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
FELIZ NAVIDAD Kutoka Goodwill Ceramics Tunawatakia wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla heri ya sikukuu ya Chrismas na Mwaka mpya. GOODWILL GOOD TILES
MATOLEO MAPYA YA TILES MWAKA 2022 KUTOKA GOODWILL CERAMICS TILE (SUBSCRIBE KWA VIDEO ZAIDI)
มุมมอง 178ปีที่แล้ว
Katika Kuufunga mwaka 2022 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2023 sisi kama kampuni ya Goodwill hatujakuacha hivihivi tumekuletea matoleo mapya ya Tiles zenye mwonekano mzuri na wakipekee kabisa ikiwa bado tutakufungulia mwaka na matoleo mengine mengi zaidi hii yote nikukupa uwanja mkubwa kwako mteja wetu wa Tiles za Goodwill, mwonekano mzuri wa Tiles kwa ajili ya eneo lako. Subscribe channel yetu ...
NAMNA YA KUWEKA ORDER KUPITIA GOODWILL TILE APP (Subscribe kwa Video Nyingine zaidi kutoka GOODWILL)
มุมมอง 735ปีที่แล้ว
NAMNA YA KUWEKA ORDER KUPITIA GOODWILL TILE APP (Subscribe kwa Video Nyingine zaidi kutoka GOODWILL)
GOODWILL TILE DARASA Subscribe Usipitwe na Madarasa Mengine
มุมมอง 364ปีที่แล้ว
GOODWILL TILE DARASA Subscribe Usipitwe na Madarasa Mengine
TILE DARASA KUTOKA GOODWILL. SUBSCRIBE KWA MADARSA ZAIDI
มุมมอง 71ปีที่แล้ว
TILE DARASA KUTOKA GOODWILL. SUBSCRIBE KWA MADARSA ZAIDI
TUPO KWENYE RAMANI. Fatilia Video Hii Kuweza Kufika Kirahisi Ofisi za Goodwill.
มุมมอง 332 ปีที่แล้ว
TUPO KWENYE RAMANI. Fatilia Video Hii Kuweza Kufika Kirahisi Ofisi za Goodwill.
Tazama Jinsi GOODWILL Tunavyotoa Support kwa wateja wetu.
มุมมอง 1302 ปีที่แล้ว
Tazama Jinsi GOODWILL Tunavyotoa Support kwa wateja wetu.