Rais William Ruto atangaza kuwa bei ya unga itapunguzwa hadi shilingi 150 kuanzia wiki ijayo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya unga itapunguzwa hadi shilingi 150 kwa kilo mbili kuanzia wiki ijayo. Akizungumza katika kaunti ya narok, rais ruto amesema kuwa serikali ya kenya kwanza ina mipango ya kuhakikisha kuwa gharama ya maisha imepungua.
When KK start delivering, am sure they will hit the level this country has never been...let the haters keep hating, they're entitled!
we share aview brother...🤝🏾🦾
"Raila still remains the best hope for Kenyans to realise their Full Potential"!!!.
@@wabannah9009 my friend u still leave in a dreamland like ur father raila , skiza vile fly69 anakuambia. ruto is doing lasting things c maneno ya ya subsidy ndio hizo pesa zipolwe na hizo familia kubwa, wat ruto is doing is laying the foundation wich shall bring total change n lasting change
@@davidnjihia3906 so to you what long lasting thing has he done to bring that unga to 150/ by the time people like you open their eyes,Kenya will be no more
Very true
Fanya kazi yako mr prisdo uliyopewa na wakenya wachana na hii porojo ya hawa watu wa azimio na hakuna handshake no way
Kama raila angelikua hayuko mungelishukisha acheni kucheza na maisha ya wakenya
Lazima Raila to talk ndio Unga to drop. Let it be 90kshs. La sivyo 😊😊
@Annet Mbithi,panda mahindi zako ukitaka cheap maize.
I support you
😅😅hapo mnaelekea mtataka za bure
Our President we are behind you and we believe in you
Siasa ilikwisha kitambo sana. Tatizo Rais amezungukwa na Wauni wengi UDA na hajatambua hilo. Badili ya kusaidia Rais wao ni Raila Uhuru mpaka 5yrs zianguke. Shida sana hawa watu.❤🇰🇪
We need sh70 not 150 ama twende mandamano
🤣🤣ama 50
Ama bure?
Open your posho mill utuzie hivyo jinga sana
Nenda ukalime na upande mahindi yako!!
Exactly
Thank you kiongozi...you're organized
🤦🏾
He is afraid of baba..lazima ishuke 😅
@@billyongus344afraid of what this has been the manifesto since the campaings period
@@keymoneykevkimani7143 Ruto is very afraid because of Icc Manenos!!!.
Kiongozi wa nani? , Jinga wewe!!!.
Kudos our President
Speak for yourself your president with who
@@Ashley-de5qp you still don't know that he rules you?
And people Believed!!... Will Never ever trust anyone! That is me....
Trust Ruto at your own Peril!!!.
Not 70 earth is hard..what about the civil servants...how will they buy your unga at 70...wakora kweli
@Oguma Jane,Unga is now 75shs/Kg only 5shs above what they promised hiyo ya 35shs per Kg utatoa kwa shamba yako.
Where is that Unga at Ksh 75?
@@martinobwar5273 si umeambiwa from next week ama hii kichwa yako haishiki network kiasi gani?
Eric, wacha kiherehere daddy…please look at the thread and see what I was responding to…at least mimi nimepoteza network wewe hata hio network hauna🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️
Kudos our beloved
Thanks for your help
Pride comes before fall, it seems the current government is unable to deliver on its election manifesto, they are busy chest-thumping n playing politics. Pls Mr president fulfill the promises u made to Kenyan.
Raila akiongea lazima bei ya unga ipungue 😅😅😅baba aitwe baba
Hongera
Really appreciate
150? Siyo 70? Kweli tulichrzwa!
You're mad...things go up with time... Everything is appreciating and that's nature
Nenda ukalime na upande mahindi yako alafu uuze 70 Bob
Let's hope so
anatuingiza box😂😂😂😂😂
Nonsense bado hiyo unga iko juu
Letoo amekua na akili sasa ameamua kuafuata serikali haha alikua amepotea
The nerve from us celebrating over crumbs and handouts that are our basic rights is depressing and sobering
The nerve to complain when the prices are going down then complain when it's high 🤣 mood swing top notch 👌 ama ni hypocrisy ju ya chuki.
@@jospaxx Raila still remains the best hope for Kenyans to realise their Full Potential"!!!.
@@wabannah9009 Stop pretending like BABA HITLA TRAMPU wasn't in gava just until 7 months ago, why didn't he fix all these issues coz none of the issues in new 😅🤣 wacha kuabudu failure aka FAILED PROJECT 🤣🤣
@@wabannah9009 RAILA AKA PREZO WA ZOMBIFIED ASSMIO CULTISTS sio Kenya, state hse yako ni uhuru Park mbona swearing in hasn't happened 🤣 oops I forgot MM jumped ship🤣🤣
@@wabannah9009 hypocrite wewe UNGA NI HOW MUCH COMPARED TO HANDSHAKE YEARS 🤣🤣
Ruto government will beat Uhuru Kenyatta government 100 time , Im seeing our nation building up again
Yeah that's it
Oh God🤦🏿♂️🙈🙊🙉🤦🏿♂️
Looters on the thrown, God deliver kenya
Alafu pia pesa ya walemavu ishugulikiwe sio maswala ya tumbo tu siku hizi hamna wa kuwatetea🤔🤔🤔
Mbona sio 120 vnye alipromise
Kama si raila hungepunguza bado
Raila has nothing to help the people of Kenya alikuwa wapi time unga ilkuwa 230
Uongo utaiba wapi
Endelea kudanganya mahustlers ukifikiri 2027 Iko far. I pitty those hustlers who are still buying to his lies and yet they are suffering in silence.
Unataka kulia , Lia
Ukifanya kazi huwezi tegemea Ruto akuletee chakula wewe unatka nani alime auze bei rahisi
@@dennydenny3665facts majamaa walikua wanafikiria Watapewa 4k na Rao mwenye alishiriki kupandisha hio unga
Ruto will not only rule until 2027 but 2032 let that sink in your thick ears!
They are ignorant my brother
Mr. Promises
Electricity please
....ehh...maandamano hoyeeee......
........sufuria...sufuria kichwani......
............................................................
......The People's President. ....
........................rao......................
Mia moja sio 150 Kuna wengine hawawezi hiyo bei yko Mr prezo
Baaas..baba Fanya iyo maandamano hadi ifike 90 na server zifunguliwe
Muandamane mpaka iwe zero kwa kilo 5. Ama niaje?
@@peterhelpeterluena9191 Unga should be retailing @70 Shillings!!!.
Pay salaries before launching any activity
Ww uko na ya kulipwa kweli😂😂
@@jamesmwingirwa2128 hawana pesa
@@jamesmwingirwa2128 am not the head of the government boss
Then stop complaining Acha wenye hawajalipwa wapige kelele
@@jamesmwingirwa2128 Am not complaining, just an idea. He should pay the salaries instead of launching an necessary activities
its a must and not request. otherwise let him leave office.
Ulisema 70
@Mathew Owino,yes 70Shs per Kg.
mjinga wewe ulisema ni sabini waja ujinga konda vizuri
Mjinga n wewe
ebu jiangalie.shilingi sabini kuna mahindi ulipanda mahali ikujiwe kwa hiyo bei.akili punguani wewe
bado😂😂😂😂 huyu jamaa wa mahindi anatupima
Mr promise let us see
Mwambie 150 bado iko juu sana....
Hhhhh
Wacheni promises mingi za bure...
The rains have destroyed our plants what plans do you have over it
ndindi nyoro the spanner boy
150 pia ni mingi fikisha 70bob
Itashuka taratibu taratibu upo tumia akili
Hio ya 150 ume iona? Promises are the order of the day!
@@fatumajuma592 uongo tupu
Ai Mr president that shirt aaja magararan
First pay Civil Servants....Uhuru regime projects.....
unga ni 150 wapi sisi tunauziwa unga 220 coz kitambo rais akisema unga ni 150 police wanaingia kila duka wakiangalia unga kama bei ni 150
Mvua smenyesha,kapande chakula uone hata 20ksh,itafike,shida yenu hamtaki shamba,mnapenda mandamano
Why. Not 100/ and below.
@flaq mamai,panda kwako hiyo mahindi ukitaka hiyo ya 100
Fungua server wewe taka taka. Kama Unga haitakuwa 70 wachana nayo
Not 70 bob again
No sir. Tunataka irudi 230/
punguza kila kitu but server utafungua
Haifunguliwi upo
Wàcheni kusumbua ruto kwani ana shamba la unga
I thought it was going to be 50.
Ama bure?
@@justathought7235 Panda mahindi zako ukitaka vya bwerere.
@Samson Olai,ya 50 utatoa owa shamba yako.
..ehh..ikiwa 50 na watu hawajalipwa..?..nani atanunua...au itakua ni """kijusaidia"" vile mungiki waliiba zile kondoo za uhuru...
@@qrankmw. na bado mnaamini mta nunua 150 hahaaaaa it is like trusting a hyena to guard your livestock....
Nice movie
😂😂😂
You mean nice move?
Ni vile baba amasema ndio unasema
Only Unga? what about other items?
Unga ni 200 sio 170 Mr Rais...
Labda tutanunua wk Moja hiyo 150 the ff wk 200 they don't add value to Kenyan
I like working in surprises. Rutos mouth will fail him big time
And yours?
Why not 70
😢😢😢😢😢
Jamaa wa nimetenga atatenda kweli
Amesema atatenga unga next week 😄
Sh70 ndio tunataka
Ati 150😢
Uwongo kila siku
50 not 150 round hii maandamano hadi Barracks tomalizie na state house 😂😂😂
Zima candle ulale
@@keymoneykevkimani7143 lala weww
Wewe Richard akil hauna
@@sylviaecke1772 🛏
@@keymoneykevkimani7143 🕯🛌
Akwende uko wakati amesikia maandamano ndio anashukisha afunguwe server
150 is a joke...sema 119 bwana
UNGA ipungue tu.If you really won.why don't you open the savar Mwizi
TUTAENDELEA MAANDAMANO HADI KIELEWEKE THIS ROUND UTAKUWA KAMA WANYONGE TUMECHOKA NA HII BEI YA UNGA
Monday unga nitatafuta
So it's just 30bob,bure kabisaa.
Unga ilikua 120 before, 150 bado ni mob
Tunalima mahindi kenya unga inafaa kua bei poa kama 2kg 40sh
kweli kabisa
Unga should be retailing @70 Shillings.
Con man wewe achakudanganya watu
😮😮😮😮
And I hope there's no subsidy nonsense.
Unga should be retailing @70 Shillings.
@@wabannah9009 Without subsidy as no economy can grow with subsidy
@@eliudmathu8781 Even if there is no subsidy that Money ends up with Wakoras within the Government.
@@wabannah9009 I can't agree more with you but since subsidy are not sustainable, let's do away with them.What I know is with the current rain season,unga will come down to sh70 very soon
You didn't win...
THANKS MR.PRESIDENT
Thanks Mr president. Wewe umekosa vwakushukuru....jangili wewe
Tukushuru wwe sasa mkundu......zimia mbali
Awache uongo
150 Bado ni mingi
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Kaa tayari wewe mwizi tuko tayari kwamaandamano
Mwizi n ww
Liars liars...
150 ni kupunguza, takataka maraya kwani wakenya ni wajinga, wekeni mia tatu na muone hatutawaoba tunaishi Kwa mungu aliye hai maumbwa
Ss tutashukuru akitowa 80
Punguza hasira Mungu hapendi hayo matusi mkuu😅
STOP LYING PEOPLE PLZ PLE WE ARE TERED YOU QILL KNOW THIS TIME
Maliza watu wanaenda maandamano story za tear-gas adi lini na hao goons wanaharibu vitu za watu!
Open the server
Watu c wajinga bana c 70 tena
Panda chumva shusha ugali
Chumvi imepanda
🤣🤣🤣🤣
Mwoongo wewe
uga gani ina nunuliwa 170,,mombasa ni ni 240 danganya wakikuyu na wakalejinga