Kifo cha mtume live performance

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 205

  • @asiahassan2332
    @asiahassan2332 9 หลายเดือนก่อน +4

    February 24 naskiliza kutoka Dubai,I really like this nasheed coz it’s reminding me from my home country Tanzania and my family ❤️

    • @hajikassimu4646
      @hajikassimu4646 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah 😍 😍 😍 😍

  • @hajikassimu4646
    @hajikassimu4646 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu akbar qaswida yangu pendwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aishamkumba9857
    @aishamkumba9857 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah wallah raadhem kaswida hii hua nnaipenda sana allah awajaarie watunzi na waimbaji ishaallah

  • @mwanaidiismail3520
    @mwanaidiismail3520 4 ปีที่แล้ว +2

    hostadhi vumbi hakoseagi...namkumbuka hostadhi jumanne hostadhi makala ...

  • @idatally3846
    @idatally3846 3 ปีที่แล้ว +1

    Hio siku ni hatr aikutie amali allah tupe mwisho mwema aaammmmiiiin

  • @majidihamisi774
    @majidihamisi774 5 ปีที่แล้ว +13

    Wallah nilikua naitafuta sana hii qwasida kusema ukweli ahsante mlioiweka hii kwenye youtube

    • @aishaissa9783
      @aishaissa9783 5 ปีที่แล้ว

      majidi hamisi shukurani n'a ww kwa kuisikiriza

  • @jjumaa3641
    @jjumaa3641 3 ปีที่แล้ว +1

    Hadi kwetu Pemba imefika
    Raha sana ukijua kazi

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 3 ปีที่แล้ว +3

    Japo twaona machungu kifo Amri ya mungu subhanallah 😥😥 nilikua naitafuta sana hii

  • @nasrahaji2197
    @nasrahaji2197 5 ปีที่แล้ว +23

    Japo twaona machungu kifo ni amri ya mungu Subhanallah.... Allah atupe mwisho mwema .. Ameen Yarab

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 5 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah raha ilioje jamani uislamu raha sana

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 5 ปีที่แล้ว

      @Nana Miley Mohamedy nitakutumia ktk cm yng nyingine usijali

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 5 ปีที่แล้ว

      @Nana Miley Mohamedy mbona sikuon online nitakutumiaje mpenzi

    • @abbassalum6127
      @abbassalum6127 5 ปีที่แล้ว

      Masha Allah

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 5 ปีที่แล้ว +6

    allah karim mungu ni mwema siku zote kaswida nzur sana

  • @AminaAmina-xz9bt
    @AminaAmina-xz9bt 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah mungu awape afya njem

  • @aminambaruku9453
    @aminambaruku9453 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah mpaka machozi ahh uisilamu rahaaa

  • @caylacsuyu5979
    @caylacsuyu5979 5 ปีที่แล้ว +8

    Laailaha ilallahu
    Laailaha ilallahu
    Laaailaha ilallahu muhammadara sulullah❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zalhazakahlan5385
    @zalhazakahlan5385 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhnallaa japo twaona machungu kifo amri ya mungu maneno mazitoo.

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua ปีที่แล้ว +1

    Maashallah nai hiyo barabbara

  • @baturihassan3784
    @baturihassan3784 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah qaswida ipo naviwango

  • @amina.nakubalisanajuma5998
    @amina.nakubalisanajuma5998 5 ปีที่แล้ว +2

    wallah. kaswida nzur mnoo Allah awape khery INSHAALLAH. SHAUQ NAE UKO VZUR KWA NAI MASHALLAH

  • @Salama-p7w
    @Salama-p7w ปีที่แล้ว +1

    Kifo chake rassul kilimshangaza Omar haraka hakukubal Umaut wake nabiya Allah awazidishie kher watunzi wa Qasda hii

  • @sharifujuma5427
    @sharifujuma5427 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ❤
    يالاإمي في الهو العذري معذرة
    مني إيك ولوأنصفت لم تلم

  • @SakinaMuhsin-nc4zq
    @SakinaMuhsin-nc4zq ปีที่แล้ว

    Mashaallah,maneno mazito sana kweli kifo amri yamungu yarabi tupe mwisho mwema

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 4 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah jamn hii qaswida inanikumbusha mbali sana hongeren sana

  • @safinaibrahim115
    @safinaibrahim115 2 ปีที่แล้ว

    She he vumbi mashaallah Allah akupe umri mrefu

  • @kadirmapande3164
    @kadirmapande3164 ปีที่แล้ว

    niliwai kuiskia pale buza mulimba qaswida moja (kazaliwa maqa Muhammad) naipenda sana kama ipo nisaidie plz

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah niliitafuta Sana hii qaswida, shukraan

  • @allyfarajikimbilimbi6773
    @allyfarajikimbilimbi6773 5 ปีที่แล้ว +6

    MaaShaallah......Hii ni zaidi ya Qaswida kwangu100%

  • @mubarakasefu958
    @mubarakasefu958 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ndg zangu wanyumbani

  • @baronommy1014
    @baronommy1014 3 ปีที่แล้ว

    Madrasa gan hii...
    ماشاءاللہ...

    • @rahimkarim2306
      @rahimkarim2306 3 ปีที่แล้ว

      NEEMATUL RIDHWAA ipo PUGU,NA mtunzi wa Qaswida hii anaitwa almaalufu vumbi.

  • @shabanibukuru3998
    @shabanibukuru3998 4 ปีที่แล้ว +2

    Baarakallahu fiikum waalaikum

  • @lelaallububa5739
    @lelaallububa5739 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalh mung awape zaid mnapatikan sehem ngan mashaalh pend san kasd hii

  • @salimmnungwana1046
    @salimmnungwana1046 2 ปีที่แล้ว +1

    Very beautiful work!

  • @mwadinimwadini4068
    @mwadinimwadini4068 4 ปีที่แล้ว +1

    Swalli Allannabii. Allahumma Swallialleey

  • @ismailhamisi1940
    @ismailhamisi1940 5 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah dini yetu mzur mtume wetu mzur amekamilika kila kila idara kaswida mzur kamahii kwann tusifurah acheni hasadi jamani

    • @kilofakilofatv3367
      @kilofakilofatv3367 4 ปีที่แล้ว +1

      post yako tu inaonesha unafuraha ya kiwango cha juu allwah akulipe kher nyingi

    • @khadijakioza
      @khadijakioza 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊😊​@@kilofakilofatv3367

  • @AminaAmina-xz9bt
    @AminaAmina-xz9bt 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah masha Allah masha Allah 24/4/2021 😘😘😘😘😘😘😘😘❤❤❤❤

  • @zulfajuma9897
    @zulfajuma9897 5 ปีที่แล้ว +4

    mashaallah naikubali sana hii qaswida

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarakanllah hi kaswaida inaumiza

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua ปีที่แล้ว +1

    Marlin vumbi Tahti anaitendea haqqi

  • @mohamedsaid9330
    @mohamedsaid9330 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah! Asaliwe bwana mtume(s.a.w)

  • @sundaymalili9258
    @sundaymalili9258 4 ปีที่แล้ว +1

    Wallah MNA tisha Allah awajaalie

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 4 ปีที่แล้ว +4

    naomben munitumie jamn naipenda😭

  • @HamisJuma-vk6cv
    @HamisJuma-vk6cv ปีที่แล้ว

    😢😢😢 japo twaona machungu kifo amli ya mungu

  • @yahyamokiwa3871
    @yahyamokiwa3871 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaalaah,da mpaka nasinziaa👍

  • @habibuzuberi8256
    @habibuzuberi8256 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah barak llah fiq

  • @rajabunshoma8594
    @rajabunshoma8594 5 ปีที่แล้ว +1

    laa tudh'kar kutubu ssawa'al fighndahu twalaghali fajr fatifiul kindiyla

  • @hajratihamidu6962
    @hajratihamidu6962 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah. Naikubal sana hii qaswida 🤝

  • @allyfarajikimbilimbi6773
    @allyfarajikimbilimbi6773 5 ปีที่แล้ว +3

    Japo twaona Machungu Machunguu Machuuungu KIFO Amri ya MUNGU hakuna Wakuyapinga...

  • @salumuabdallahkibarisalumu2839
    @salumuabdallahkibarisalumu2839 5 ปีที่แล้ว +1

    Marhabaaaaaaaaaa mashaallah Allah awalipe inshaallah

  • @hajratihamidu6962
    @hajratihamidu6962 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah. Aswaliwe bwana mtume❤️❤️

  • @khalfansimba9610
    @khalfansimba9610 4 ปีที่แล้ว +1

    Twaib Twaib Twaib. Marhabaaa

  • @husseinmaulid8365
    @husseinmaulid8365 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji mp3 ya qasweeda hii, alo kuwa na link au kujua ni web gani naweza download pls naomba nisaidie,, nimetafuta sana. In sha allah

  • @nuryaabdul0178
    @nuryaabdul0178 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah

  • @allyfarajikimbilimbi6773
    @allyfarajikimbilimbi6773 5 ปีที่แล้ว +7

    Hii Madrasat inapatikana wapi Jamani NDUGU Zangu ndani ya iMANi..!!!!

  • @allyally2084
    @allyally2084 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye anayo japo audio

  • @Hamad-jw1mc
    @Hamad-jw1mc ปีที่แล้ว

    Mashallah qaswida hii

  • @nasraissah8036
    @nasraissah8036 4 ปีที่แล้ว +2

    mashallaah yaani napata faraja sana kuisikiliza oaswida hii walahi mauti ni safari nzito kwa mtu ambaye anae audio anitumie 0693758105

  • @ramadhaniathumani1601
    @ramadhaniathumani1601 5 ปีที่แล้ว +4

    very nice

  • @zuhurahamisi7382
    @zuhurahamisi7382 ปีที่แล้ว

    it so nice❤❤❤

  • @ismailhamisi1940
    @ismailhamisi1940 5 ปีที่แล้ว +4

    tuwe mabakhir wamali basi ata kumpenda mtume tunashindwa aaaaifai jamani

  • @zaitunially2155
    @zaitunially2155 4 ปีที่แล้ว +1

    Allaahu maswaliiy

  • @mustafamaulid4236
    @mustafamaulid4236 5 ปีที่แล้ว +3

    hii ni qaswida ya kipekee duniani inayo pooza moyowangu

  • @samiryshamsa4330
    @samiryshamsa4330 5 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahal ul bidaa!!

  • @baturihassan3784
    @baturihassan3784 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii qaswida naipenda sana wallah

    • @zubedamohammed1941
      @zubedamohammed1941 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mwenye nayo naomba anitumie naipenda

    • @assadaboubakar740
      @assadaboubakar740 11 หลายเดือนก่อน

      @@zubedamohammed1941 umeipata mhe? kama bado ntumie namba yako nikutumie

  • @fatumabaruti1134
    @fatumabaruti1134 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah

  • @majanindalu2566
    @majanindalu2566 5 ปีที่แล้ว +3

    Jazakalahu kharia

  • @jumanneabdallah1424
    @jumanneabdallah1424 5 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah

  • @mwanahamisomary4647
    @mwanahamisomary4647 2 ปีที่แล้ว

    Jins ya kudownload hii kaswida Google msaada Kwa anaejua

  • @rhizykiss5468
    @rhizykiss5468 5 ปีที่แล้ว +1

    Mabrouck

  • @mwanakomboharidi4540
    @mwanakomboharidi4540 10 หลายเดือนก่อน

    😢😢 ❤ Mtume

  • @latiphasuleyman3018
    @latiphasuleyman3018 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha aaalah 😘

  • @jumadulaz9061
    @jumadulaz9061 5 ปีที่แล้ว +1

    mashaaaaaaaalhaaaaa

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 4 ปีที่แล้ว +2

    صلو على انبي🤲🤗

    • @hawagr1834
      @hawagr1834 3 ปีที่แล้ว

      Alahu maswali wasalm ghaleee

  • @mohammedabudu7770
    @mohammedabudu7770 5 ปีที่แล้ว +3

    Allahumma swaliy wa sillim Alayhi

  • @abdulsheha9924
    @abdulsheha9924 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 mashaallah

  • @jamilaomari5157
    @jamilaomari5157 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalwa💚💚💚

  • @dallaxngaona1345
    @dallaxngaona1345 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtume wetuuuuu

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 ปีที่แล้ว

    2023❤❤❤❤❤❤❤❤❤2023

  • @mohmmadnaymohammad1380
    @mohmmadnaymohammad1380 4 ปีที่แล้ว +1

    mashallah qaswida nzuri
    ya maqan rasti ninayoipenda
    naomba hayo maneno +254798120680

  • @idatali3897
    @idatali3897 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah sku nying naitfta hii qaswida wallah leo nimefrah nafcni

    • @mbarakmkune332
      @mbarakmkune332 5 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah

    • @jsduudyehevge2178
      @jsduudyehevge2178 4 ปีที่แล้ว

      Mashalla

    • @binmadenge6764
      @binmadenge6764 4 ปีที่แล้ว

      Janihuundiomfumomzuli wakupigakaswida inautulivu,inahuzunishasana

    • @binmadenge6764
      @binmadenge6764 4 ปีที่แล้ว

      Mmh

    • @SaidMohamed-xl2hp
      @SaidMohamed-xl2hp 4 ปีที่แล้ว

      Hatali sana hadi machozi jamani alie nayo anitumie kwenye namba hii 0713 612910 wasp

  • @dallaxngaona1345
    @dallaxngaona1345 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @hossammkange723
    @hossammkange723 3 ปีที่แล้ว

    Rast nzito ngumu

  • @allyfarajikimbilimbi6773
    @allyfarajikimbilimbi6773 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaadamu fikiri Uiandae Safari,,Maisha kwenye Kaburi hakuna wa Kuyaimiri....Tamlilia Laasul.

  • @ramadhanisaid8147
    @ramadhanisaid8147 4 ปีที่แล้ว

    Wanapga dufu mpka mchoz Wa furaha unatoka

  • @saalimahmad8962
    @saalimahmad8962 5 ปีที่แล้ว

    Aallaaahh daahh vtaa

  • @manenorajabu5701
    @manenorajabu5701 5 ปีที่แล้ว +2

    ahandullah

  • @ismailhamisi1940
    @ismailhamisi1940 5 ปีที่แล้ว

    🌏duniani akuna mfanowake

  • @khamisdihoma2939
    @khamisdihoma2939 4 ปีที่แล้ว

    Mvumbi jaman ad lahaasana

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 5 ปีที่แล้ว +2

    Plz plz jamn😭 naomben audio yake hii nipen walau jina la madrasa 🙏

  • @yahayaj7846
    @yahayaj7846 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii madrassa inaitwaje!

  • @iddyomary6167
    @iddyomary6167 4 ปีที่แล้ว

    ostadhi yahya maarifa wa vumbi

  • @vestermahanga6673
    @vestermahanga6673 3 ปีที่แล้ว

    🇲 🇦 🇸 🇭 🇦 🇱 🇱 🇦 🇭

  • @sirajimohamed4860
    @sirajimohamed4860 5 ปีที่แล้ว +1

    SHEKH katika mipito yake

    • @sirajimohamed4860
      @sirajimohamed4860 5 ปีที่แล้ว

      shekh VUMBI kaika mipito yake

    • @mwanaidiismail3520
      @mwanaidiismail3520 5 ปีที่แล้ว

      Mashaallah...hostadhi vumbi namkubali sana amenifundisha mm...madrasa nemalwaly ya tabata kwa hostaz juma

  • @abdallahsaidi173
    @abdallahsaidi173 5 ปีที่แล้ว

    Ahmad vita kaka

  • @salkhekihange4820
    @salkhekihange4820 5 ปีที่แล้ว

    Ntawapataje hii madrasa jmn

    • @jumaipanda1884
      @jumaipanda1884 5 ปีที่แล้ว

      wako Buguruni Malapa

    • @sweethmteta5709
      @sweethmteta5709 3 ปีที่แล้ว

      @@jumaipanda1884 inaitwaje

    • @jumaipanda1884
      @jumaipanda1884 3 ปีที่แล้ว

      @@sweethmteta5709 inaitwa Kifo cha Mtume mwimbaji na Mtunzi ni Ustadh Yahaya Vumbi

  • @adijalimooo9333
    @adijalimooo9333 3 ปีที่แล้ว

    Audio

  • @mwamvuaally7850
    @mwamvuaally7850 4 ปีที่แล้ว

    Kipo buguruni rozana

    • @hemedmasud474
      @hemedmasud474 3 ปีที่แล้ว

      Ipo vingunguti

    • @fakihijabu8071
      @fakihijabu8071 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah ujumbe mzuri san hongereni wana madrasa

  • @bakarymusha3811
    @bakarymusha3811 3 ปีที่แล้ว

    Bekaby

  • @rajabushabani1208
    @rajabushabani1208 5 ปีที่แล้ว +1

    aswaliwe mtumee

    • @aminambaruku9453
      @aminambaruku9453 5 ปีที่แล้ว

      Rajabu Shabani Allahummaswalli wasallim alayhi

  • @fadhilamele8329
    @fadhilamele8329 4 ปีที่แล้ว

    sisemi kitu hapo pana wenyewe

  • @fatmamiraj8576
    @fatmamiraj8576 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mashallah