Mashaallah Allah bariq hivi ndo vitu vya kusikiliza yani najikuta kama nipo peponi mashaallah mashaallah mashaallah raha tupu alhamdullah kuzaliwa ktk dini ya uislam na Inshaallah Allah atujalie mwisho mwema.
Muhammad , swallallaahu alayhi wasallam. It reminds me from madrasatil Buhri Mahurunga Mtwara. I miss you my people . InshaAllah we shall meet and pray together for Muhammad (P.B.U.H.M)
Mashaallah sifa zake Nabia,Allah atujaalie kheri tuzidi kumsifu Nabii Muhammad,Waumin wenzangu wa dini yetu ya Allah ya Islamic nawashauri msibishane na watu wenye elimu za mazuko maana hao lengo lao kuu n kuuwa Uislam,hao ni Wafuasi wa Sheitwani.
Jaman mpaka nimekumbuka miaka iyoo Madrasa yangu ya Relwe Shamsiya kwa Mwalim Omari Allah Akulipe kwa Mazuri yako Naakupe kaul thabit Mbele yake "" Jaman Mwalimu twiri "Mwalimu haji """Wanafunzi wenzangu Zaituni""" Ally jasho Salut kwenye Yaan mlikuwa Mnanogesha Maulidi hatariii " Shamsiya Enz izo bhana Relwe moshi Oyeeeeeeeee..
Raha ilioje waislamu kukusanyika pamoja na kumdhikiri mungu na kumtaja mtume kwa wema, mtume SAW amesema atakae nitakirehema na amani juu yangu nita msalia mara kumi. Nyinyi mnao pinga mazazi ya mtume mtuambie watoto wenu watamjua vipi mtume bila kutafuta vitabu vya mazazi ya mtume, kumsalia mtume silazima dufu au firimbi
Hata mimi nilikua mmoja wa kucheza dufu ukweli ni kua watu wa maulidi hata swala mtihani Wao ni dufu tu swala ya mashehe ndo maana vijana wengi tuliopitia madrasa za maulidi mtihani
Kuna wapuuzi wanasema maulidi bidaa wakati msikitin anaenda ramadhan baada ya ramadhani unapotaka kukosoa kitu ebu jitasimini ww mwenyewe kwanza ni msafi na sio unabisha vitu ambavyo una elimu yako kwanza fuata yako je kaburini utapokelewa vipi

Maashalah mnanikumbusha madrasat nur yamtongan.apa ostaz haji apa kambenga kule kitogo.madrasat shiraaa pemben
😭😭😭 yani vitu hivi nikiviona nafurahi sana Yan mpaka machoz nakumbuka mbali sana Allah awafanyie wepesi kila penye uzito
Amin Amin Amin 🙏🙏🙏🙏😩😩😩😩😩
Huku kuhemukwa tayari ni tatizo mungu awape wepesi,
Abdulfatah Ibrahim nguyu from Oman 🇴🇲 very happy to day 👌
Mashallah nakumbuka enzi izo jaman al madrasat zimaam kutoka nasako mkuranga pwani
Mashaallah muimbaji mpuliza nai mmefanya dufu inoge sana hongereni sana
Muhammad , swallallaahu alayhi wasallam. It reminds me from madrasatil Buhri Mahurunga Mtwara. I miss you my people . InshaAllah we shall meet and pray together for Muhammad (P.B.U.H.M)
Ameen yaa rabbal alamin
African are real lover of Hozoor Muhammad SallalLaho Alaihi Wasallam
love from India
Mashaallah sifa zake Nabia,Allah atujaalie kheri tuzidi kumsifu Nabii Muhammad,Waumin wenzangu wa dini yetu ya Allah ya Islamic nawashauri msibishane na watu wenye elimu za mazuko maana hao lengo lao kuu n kuuwa Uislam,hao ni Wafuasi wa Sheitwani.
Nimekubuka anzi izo madrasat salama sumbawanga tulikuwa wamoto kweli sisi🔥🔥🔥🔥
Hongereni jamn hilo dufu nalipenda sana mashaallah mkoo vizur
مشاء الله و بارك الله استمعت بكم الله اكبر استمروا شكرا لكم
Mnanikumbusha madrasat moja hv ipo huku tabora (@l ah,zab) hatwar kwa hyo mipigo wallah
Hii dufu ninayoijua sasa Maashaallah
الله الله، عازف الناي مش معقول، يعطيكم ألف عافية
Mnanikumbusha madrast taalim na madrast ghazal za pemba ni watamu sana kwa dufu
Mashallahh 🤲🤲🌹♥️♥️♥️
صلاة على نبي محمد عليه صلاة والسلام سبحان الله
Saw
Ajib ,,,,from Indonesia,,,sallam
Share with others. Shukran
Daaah huyu mzee mwenye koti na kitambaa chekundu fund sana kwenye kucheza
Masha allah,ana hakika nakumbuka mbali sana,
Mashaallah nakumbuka enzi zangu Singida, mitunduruni Taufiq
Hamisi Huka kumbe ww uko kama mm tyu uko wap saiv man
Mashaalh mashaalh nakumbuk jmn tz daaa
Mambo ya hayo yananikumbusha kisiwani MAFIA marimbani Tisha sana
Maashaallah nakumbuka madrasat kadiria Lushoto Tanga
Share na wengine wafurahi
Wallahi this is beautiful ❤
Alhamdulillah...
ماشا الله تبارك الرحمن
Masha Allah.
Zaynab Kupaza
مجلس مهيب ايماني رهيب ماشاء الله
Enzi zetu raha sana bora ukeshe huku lkn cyo kwenye taarabu
Mashall ah.
مع الأسف لم افهم اللغه ولاكن جميل جميل جميل جميل جميل جدا الله الله
Nakuku Bali ahmedi
اللغة السواحلية مشتق من اللغة العربية واللغات الأفريقية
MashaAllah 💖💖💖💖🌹🌹💖
الناي والطار والمرواس تحيين
ماشاء الله
akhukum fillah min indonesia🙌🙌🙌
Maulid nikumfurahsha mtume
Napenda sana dufu la namna hii yn fulu mzki nai mtindo mmoja
MashaAllha
MashaAlla....😍😍
Mashallah
Taqbirii
Maashallah
Mashaaallahh
Mashaaallah❤️❤️❤️❤️❤️
Maashalah uislam raha sana . tumswalie mtume wetu kipenzi
Alahmaswal wasalimaele
Yazidu Hussein Kwiro. so nice muve allahumma swalli wasallim aleih
Furaha iliyoje mashaalh
Mashaalla 🙏
MashaAllah MashaAllah twari hilo nahitaji marashi hapa 😇😇😇😍😍😍😍😍🌹🌹🌹🌹🌹Volume🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Qawida. Wazazi. 6👏👏👏👏👏
Nimempenda msomaji hongera zke
Mashaaallah
Mashaaalah qaswida muzuri Sana
Hadi raha nakumbuka mbali sana
Mashaallah
maaashaallah
dooooh khatwaaareee sana
Mashaallah nakumbuka enz zangu nikiwa Madras a tnuur mkuu Kilimanjaro
Ayman Abdallah
mashalah iyo nai nimemkumbuka ustadhi wangu jumanne .kokote ulipo asalamalekum ustadhi✋✋
Shufaa Saidi Wallahykumsalam warhamatullah taala wabarakatuh
Hujambo
Nakumbuka mbali Sana nikiwa madrasatul muniira magomeni kidugaro
Janani Raha kweli kweli
Masha llah
MashAllah 🥰🥰
Jaman mpaka nimekumbuka miaka iyoo Madrasa yangu ya Relwe Shamsiya kwa Mwalim Omari Allah Akulipe kwa Mazuri yako Naakupe kaul thabit Mbele yake "" Jaman Mwalimu twiri "Mwalimu haji """Wanafunzi wenzangu Zaituni""" Ally jasho Salut kwenye Yaan mlikuwa Mnanogesha Maulidi hatariii " Shamsiya Enz izo bhana Relwe moshi Oyeeeeeeeee..
Ameen yaa rabbal alamin
Watumie na wengine waone raha
daaah nakumbuka mbalii sanaa
Ahlam Mohamed
Mna nikumbusha mbali sana
mashaallah
Jamn nmependa hii kitu walai hyu msomaji mashallah
daaaah nakumbuk mbl sana jamn mungu awajaze yalio Na heri
asante
Mashallah
Maşallah 😊
tumsifu myume wetu muhammadi n saw jamani NAyo bid;aa?
Maxhallah
qaswida si bidaa tumseifu .tume(s.a.w)
kwa nini mnaenda kwenye studio za wakristu wanatanguliza kwaya zao mjitambue waislam jamani
يا سلام
Namuomba Ustaadhi wangu Abdallah hapo nyuma ya anaye ghani.....
Sheikh hii madrasa ipo wapi
Raha ilioje waislamu kukusanyika pamoja na kumdhikiri mungu na kumtaja mtume kwa wema, mtume SAW amesema atakae nitakirehema na amani juu yangu nita msalia mara kumi. Nyinyi mnao pinga mazazi ya mtume mtuambie watoto wenu watamjua vipi mtume bila kutafuta vitabu vya mazazi ya mtume, kumsalia mtume silazima dufu au firimbi
رائع جدا
Mashalha caswida mzuri
mashaallah hakika mnaweza
mashallhaa
mungu awabariki!!
Ferouz Mwinyimvua mashaalllah
Moyoni mwangu raha tupu izi ndio burudani za uislam allahu Akbar
Nuri nawakubali nimekutanao maranyingi San kambenga mtundu was six dah hatari san
Mashaallah
Hilo ndy dufu sio mnatuletea mambo yenu ya mziki moto.dufu halina kichwa wala miguu.
mashallah
Aisha Abdj
Nidhwamu ya kusimama sijaipenda, imevuruga , laakin ingekua mabrook!.
mussa sadik Hakika ujasoma madrasa,, Tena inapendeza Sana wanaume mkisimama mkicheza dufu
Shkh mussa hyo ndo asli ya dufu hyo
Napenda sana qaswaida za namna hii
Khalifa Said napenda hizi watoto wameharibu maana ya kaswida
Dufu ndio hili Sasa lakini vijana sasahivi wanahalibu thaman ya Dufu
Kuwa Muslim sio adhabu ni furahaa Ndio njia salama
Natamani kujua wanaptikana wapi hawa
Mashalla
mashaalah
Raha iliyoje... Wa haki mtume
Raha tupu
Sasa sisi tutafurahia Wapi Kama kila kitu ni bidaa. Napenda sana kasweda.
Sophia Angel -furaha iliumbwa peponi hekuumbwa duniani
Hata mimi nilikua mmoja wa kucheza dufu ukweli ni kua watu wa maulidi hata swala mtihani Wao ni dufu tu swala ya mashehe ndo maana vijana wengi tuliopitia madrasa za maulidi mtihani
SubhanAllah
maasha Allah nimeipenda sana hongera zenu
Nimemwambia ni bzuUeu
kipindi icho madrasa nasubri pilau raha wallah
Tusomeni jamani sio kilajambo nibidaa
Said mustafa
Mtoni mbuyuni au azizi Ali?.... Mmenikumbusha mbali sana... Sisi tulikuwa Badawiyy mtoni hapo
Aisee naipenda sana. Hii kitu yaaani acha tyuuu
SELEMANI ABDALLAH
haifai wanaume kuoga dufu
SELEMANI ABDALLAH ,Birasulilah walbadawi yarasulilaahi dhilbadawi,,,,,)
watu wa bidaa tokeni zenu Allah alam
daa nimekumbka mbali aisee yan apo pilau linaliwa mida ya saa 8 usiku ukisinzia imekula kwako
Mnanikumbusha madrasaty tahadhibu iliokuainaongozwa na ustadhi hasani usinge kaliua tabora.
Hiyo ndio dufu sio madrasat zetu sasa hv wanapiga rusha roho kina mama hawajistir na miostadh njaa inaona sawa tu kesho mujihandae kumjib mungu
Nimeipnda kwel
Kuna wapuuzi wanasema maulidi bidaa wakati msikitin anaenda ramadhan baada ya ramadhani unapotaka kukosoa kitu ebu jitasimini ww mwenyewe kwanza ni msafi na sio unabisha vitu ambavyo una elimu yako kwanza fuata yako je kaburini utapokelewa vipi
Bidaa tu!!
Shekhe aowanaosema bidaa achananao wapishane na mambo mazuri pepo wataisikia tu
Nice
😭😭😭😭😭😭
Raha bin maraha mashaallah mashaallah
Subhaana Llah ndo uislam tuliobakiza
Dufu kali sana
Allah as willedit
Jamani ni kweli tulikua tukipiga hilo dufu lakini kazi hiyo nikazi ya wamama tusi pinge , mfanyeni utafiti mtakuta ukweli wake