DENIS MPAGAZE: Utamjuaje Mtu Aliyekombolewa Kifikra? Sehemu ya 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @IbrahimDaudi-bo7ke
    @IbrahimDaudi-bo7ke 7 หลายเดือนก่อน +1

    Upo Sawa Kaka Nakupata Vizuri

  • @kistamvoice
    @kistamvoice 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji vitabu vya mpagaZe navipataje❤

  • @diegohaya8062
    @diegohaya8062 3 ปีที่แล้ว +9

    Mavoice over wangu bora kwenye huu mwaka ni ANANIAS EDGAR Na VOLDER BN BYJUKA. Hwa watu ni noma sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @freddymukindikwa3644
    @freddymukindikwa3644 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana broo kupitiya ninyi nimeji funza mengi sana na nimebadilika sana mume ni change sana ninyi ni walimu wazuri sana mubarikiwe sana Mungu awajaze mengi sana kweli mume ni sahidiya sana asante big tanks.

  • @lameckmathias1188
    @lameckmathias1188 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mwalimu wa nidhamu.MUNGU akupe neema elimu yako iwafikie wengi Duniani.Amen

  • @DeoAmossi
    @DeoAmossi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kak umenifany

  • @henryiddy6548
    @henryiddy6548 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana mwalimu mungu akubariki

  • @jumakitandu5438
    @jumakitandu5438 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka tungepata vitabu ambavyo sio soft copy ingekuwa poa sana

  • @fredricknkole5481
    @fredricknkole5481 3 ปีที่แล้ว +3

    Aise we kaka umamaneno

  • @ismailvuai3035
    @ismailvuai3035 3 ปีที่แล้ว +3

    Tupo pamoja broo

  • @asifiweonesmo3309
    @asifiweonesmo3309 2 ปีที่แล้ว +1

    We noma brother

  • @godwinmushi856
    @godwinmushi856 3 ปีที่แล้ว +2

    Najifunza sana

  • @matasamadulu2970
    @matasamadulu2970 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mimi nitapataje vitabu hivyo mbona Niko Burundi ?

  • @martinemaganga2546
    @martinemaganga2546 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa kaka

  • @hotafricatv8700
    @hotafricatv8700 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah

  • @alhandumtalemwa8468
    @alhandumtalemwa8468 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki

  • @manasengobei9968
    @manasengobei9968 3 ปีที่แล้ว +2

    This guy gives me hope, I won't give up.

  • @elijahjacob7724
    @elijahjacob7724 3 ปีที่แล้ว +1

    Ata Mungu alikosea kumuumba shetani afu akamleta duniani akuwa na sehemu nyingne ya kumpleka.

    • @hakiukweli6677
      @hakiukweli6677 3 ปีที่แล้ว

      Hangempeleka sehemu yingine kwa sababu Mungu ni muamzi wa Kweli mbingu na dunia ilikuwa lazma navyo vishuhudiye ubaya wa shetani

  • @swimcoachabel1105
    @swimcoachabel1105 3 ปีที่แล้ว +1

    Napataje kitabu cha ukombozi wa fikra had copy

  • @khadijatoto6410
    @khadijatoto6410 2 ปีที่แล้ว +2

    Je vous accepte

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 ปีที่แล้ว +1

    big up bro

  • @mathewemanuel4749
    @mathewemanuel4749 3 ปีที่แล้ว +2

    Umenielimisha kaka

  • @kakamusa7938
    @kakamusa7938 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuma nr. Ku comment.

  • @cizandayishimiye1696
    @cizandayishimiye1696 2 ปีที่แล้ว +1

    👏🏾

  • @WandibaNyamasagi-d2v
    @WandibaNyamasagi-d2v หลายเดือนก่อน

    Nipo kinondon vitabu vyako vinapatikana wapi

  • @miketyga6515
    @miketyga6515 3 ปีที่แล้ว

    100