Serious huyu Mwinyi alikuwa kiongozi aliyependa nchi yake na watu wake, hakika alikuwa mcha Mungu, dhana ya kuajibika imepotea ktk zama hizi ila daima tutawakumbuka wazee wetu walioomesha kutojali nafasi zao na fedha kwa masilahi mapana ya nchi yetu na watu wake, tutamkumbuka hata mzee wetu lowasa na ndo maana elfu mbili na kumi na tano tulimchagua hata km hajashinda ila alikuwa na kura nyingi kuonesha wananchi wanawakubali viongozi wenye kuajibika wanapokesea, kwan wewe malaika. TUNAKUTAKIA MIAKA MINGI MZEE WETU WA RUKSA NADHANI NDO MAANA MUNGU ANAZIDI KUKUJALIA MIAKA MINGI HAPANA DUNIANI
Hakika Ali Hassan Mwinyi, daima tutamkumbuka, ni kiongozi anayeajibiika kwa wanachi wake na watanzania wote. Na mimi namtakia mzee wetu wa Ruksa heri ya kuzaliwa kwake
Ww hujui lolote kuhusu kinachoendelea ndani ya Taifa lako, funga mdomo wako. Niposema namchukia sijui Kwa nn, usidhani hakuna jambo, na siyo Kila kitu lazima useme hadharani. Kwa hyo ww Kaa hivyo hivyo kama kondoo. Utakuja kugunduwa ukishazeeka. Kwa Sasa hutajuwa kitu.
@@miltonjohn9779 nasisitiza kapime afya yako ya akili! Wewe umejuaje sijui mambo ya nchi hii?Je unajua umri wangu? Una IQ ya kuku ndiyo maana umemtukana mzee Mwinyi.
Serious huyu Mwinyi alikuwa kiongozi aliyependa nchi yake na watu wake, hakika alikuwa mcha Mungu, dhana ya kuajibika imepotea ktk zama hizi ila daima tutawakumbuka wazee wetu walioomesha kutojali nafasi zao na fedha kwa masilahi mapana ya nchi yetu na watu wake, tutamkumbuka hata mzee wetu lowasa na ndo maana elfu mbili na kumi na tano tulimchagua hata km hajashinda ila alikuwa na kura nyingi kuonesha wananchi wanawakubali viongozi wenye kuajibika wanapokesea, kwan wewe malaika. TUNAKUTAKIA MIAKA MINGI MZEE WETU WA RUKSA NADHANI NDO MAANA MUNGU ANAZIDI KUKUJALIA MIAKA MINGI HAPANA DUNIANI
Ongera sana bba umekula chumvi aswaa
Muandishi wa barua inaonekana wazi ameyashika maadili toka kwa wazazi
Hakika Ali Hassan Mwinyi, daima tutamkumbuka, ni kiongozi anayeajibiika kwa wanachi wake na watanzania wote. Na mimi namtakia mzee wetu wa Ruksa heri ya kuzaliwa kwake
True legend ❤
Legend
Huyu msenge z simpendi kama nn sujui Kwa nn!
Kapime afya ya akili yako
Ww hujui lolote kuhusu kinachoendelea ndani ya Taifa lako, funga mdomo wako.
Niposema namchukia sijui Kwa nn, usidhani hakuna jambo, na siyo Kila kitu lazima useme hadharani. Kwa hyo ww Kaa hivyo hivyo kama kondoo. Utakuja kugunduwa ukishazeeka. Kwa Sasa hutajuwa kitu.
@@miltonjohn9779 nasisitiza kapime afya yako ya akili! Wewe umejuaje sijui mambo ya nchi hii?Je unajua umri wangu? Una IQ ya kuku ndiyo maana umemtukana mzee Mwinyi.
Muogope Mungu
Kwa upande wako kuna lipi baya alifanya ndg yangu??