Hakuna haja yakuvunja nyumba ya watu madai mengi ni upuuzi..la maana binti hakupigwa ,kaumia mwenyewe kwa kuruka ukuta alipwe aondoke mengine majirani acheni umbea na wivu 😊 tafuteni pesa
Yaani arusha hapafai kuishi kutokana na hii hali ya wananchi na waandishi wa habari Kaneno kadogo tu wanakakuza na inaonekana hii wametengeneza tu lakini mama huyo wanamtuhumu bure.
Daah ashukuriwe mwenyezi MUNGU aliyempa huyo binti akili ya kujiongeza kuruka ukuta maana siyo mchezo linge mkuta jambo masikin 😢😢😢huyo mama hana hata roho ya utu jamani sisi wadada wadada tunapitia mengi kwenye majumba ya watu 😢
Sio shehe huyo anavaa barakhashea tu lakini mtu Kama huyo ndio anatuharibia uislamu dini yetu. Tumkemee asivae kofia yetu kwanini yeye Ni mpiga vyombo!!
Bora haka kamejiongeza kabla hakajauliwa 😢 wazazi tunajua family zingine ni dun ila msiachie watoto wenu ovyo ovyo.. halafu mwenye kiti acha ujinga hilo tu mtu kukaa kipekee bila kuwa na ujiran mwema ni moja ya ishara kuwa mtoto alikuwa anateseka
Ongeeni na huyo mama jamani maana wafanyakazi siku hizi ni changamoto hapo sijajua mnavunja nyumba ili iweje maana haviendani huyo mtoto kaumizwa na huyo mama kwani? Fanyeni uchunguzi mm ninazo kesi nyingi Sana za watoto wa kazi saa nyingine tujue ukweli kabla ya kufanya chochote
Nyumba yihuze pesa zigawanye kwa Nini alimfukuza Kelvin Mume aliojenga hio nyumba ??? sharia china sema lazima nyumba yihuze au ikiwa Kelvin aliojenga kabla yakumuoa huo binti mchawi basi Kelvin amfukuze au yende mahakamani
Mkoa wa Arusha kuna.shida kuliko mikoa yote.Wenyewe wanasema makonda ataunyoosha.Bahati mbaya makonda mwenyewe yupo.bisy na ubunge.Amepelekwa Arusha akahemee ubunge,baada ya kushindikana kigamboni.
Ila nasem kuna mabos wanapat mfanyakaz nzur wanashindw kuishinay na kun mabint wanapat maboss wazur ila mfanyakaz akawa mot wa kuotea mbal pole mdog wangu
Jamani wasichana wakazi wakipata maboss wazuri hawadumu wakipata maboss wenye roho jiwe wanavumilia aisee mie msichana nilimpenda wakamdanganya unakaaje namasikin nenda kafanye kazi kwa maboss alichokutana nacho walinitafuta tena mie masikin hata hivyo wasichana mjifunze
Pamoja na ukatili huo huwezi huna haki ya kurushia mawe na kupiga teke geti wakati hukuchangia hata mia kujenga nyumba ..huo ni upumbavu .kulingana na madhaifu ya kibinadamu Sheria ipo
Jamani mtu kuweka msalaba haina maana hilo ni kanisa ,,,hehehe kwa maana hata mganga wakienyeji anaweza kuweka msalaba na ukasema hilo ni kanisa ? Ni swala la ufahamu tuu lakini siwalaumu
Huyo mweny kit namuona yupo perfect sana, Mtu na nusu fulani hv
Hongera zake🎉
Utamfungiaje mwadamu anae jitambua ndani jamani hata kama ni House girl bado ni mwadamu apewe haki zake 😢
Duu 😮😮 Arusha kwa vimbwanga na nyie mmezidi kwa kweli
Yaani hatali jamani
Wametisha
Arusha ya miaka ya sasa imebadilika sana aiseeh
Yaan hapiti wiki cjuw shida nn arusha
Ni kwa vile Kuna wanahabari wengi.kwako Kuna vimbwanga ila hakuna wanahabari
MRUDISHENI HUYO BINTI ARUDI KWAO ATAUAWA.
Mbn mwenyekit msenge Sanaa, upate uhakik km alikuwa anateswa kwel, kwnz hatuua Moja wapo miezi 4 hajalipwa tayal huko ndo kuteswa
Mwenyekiti kama hajielewi
Huyo Mzee Bado sana Kama ni kiongozi hapo hakuna mtu
Mwenyekiti mitano Tena ❤❤❤❤
Kichaaaaa huyu mzeee ushaona MTU anatoka anafunga milango yote Na kutoka Na funguo😢 tayari jibu analo
Jamani uyu mama ni mara ya pili hii khaaa achukuliwe atua
Dah u jamaa ni détective 😅
Wewe baba ww unasikia kweli mtoto anachiingea unasema uchunguz uchunguz Gani hapo Tena 😢😢😢😢
Mwenyeketi upo sawa tuangalie pande zote
Arusha hamn tofaut na wakenya
Mabinti ninavyowajua Wala sitetei upande wwte
Ni kweli wasikilize pande zote. Hizi dari zinaficha siri nyingi sana
Huyo mama afungwe iwe fundisho watu wapo wungi.jamani tusichukulie shida za Mtu iwe manyanyaso no no
Arusha Kuna vijimambo sana
Huyu mwenyekiti chizi 😂😂😂
Huyu mwenyekiti kichwa maji kabisa, ivi mtu kama anaishi vzr anaweza kuluka get, jinga sana
😂😂😂mfanyakazi eti kama ametoka jehanamu
Huyo dada nyuma ya mwenyekiti aliyesuka rasta siwezi ishi bila yeye❤
Acha umalaya
@@NemaAli-zh6hr😂😂
@@NemaAli-zh6hr jmn neema usiniambie ivyo na akati mi nampenda sana
😂😂😂 jicho la 3 limeona au sio
😁😁😁😁
Jamani kwani hapo mlipo hamna fimbo mumchape hawa watoto wa watu hawa watatukòsti,ampatie fedha zake. Na huyo mama aadabishwe.
Mwenyekiti yuko sawa
Mbona mwenyekiti ni kama vile hajahelewa vizuri
Hakuna haja yakuvunja nyumba ya watu madai mengi ni upuuzi..la maana binti hakupigwa ,kaumia mwenyewe kwa kuruka ukuta alipwe aondoke mengine majirani acheni umbea na wivu 😊 tafuteni pesa
Lazima wewe ni shetani kabisa
Yaani na huyu anaroho mbaya kabisa
Yaani arusha hapafai kuishi kutokana na hii hali ya wananchi na waandishi wa habari
Kaneno kadogo tu wanakakuza na inaonekana hii wametengeneza tu lakini mama huyo wanamtuhumu bure.
Huyu mtoto muongo ipo interview kasema alikuwa anatumiwa bibi yake mshahara ila mwezi wa 12bado hajampa.
Wanawake Ni hatari sana aise, na Ni wakatili mno!!!
Mwenyekiti ana walakini huyu
Daah ashukuriwe mwenyezi MUNGU aliyempa huyo binti akili ya kujiongeza kuruka ukuta maana siyo mchezo linge mkuta jambo masikin 😢😢😢huyo mama hana hata roho ya utu jamani sisi wadada wadada tunapitia mengi kwenye majumba ya watu 😢
Mjomba anasema kaacha bia zake🤣😂
Mwenyekiti yupo saihi
Unachunguzaaa niniiiii huyo mtoto aongope ili iwejeee hapo mwenyekiti umefeliiii kabisaaa unamtetea nini alipwe mshahara wake arudi alipomtowa
Sheikh anajipongeza na bia
Sio shehe huyo anavaa barakhashea tu lakini mtu Kama huyo ndio anatuharibia uislamu dini yetu. Tumkemee asivae kofia yetu kwanini yeye Ni mpiga vyombo!!
Ivi mwenyekiti ni kuma et, Shahidi ni muhanga mwenyewe unataka ushahidi kutoka Kwa nani?,,,,,fala kweli
Duuuh jmn kwanini anafanya ivo
Bora haka kamejiongeza kabla hakajauliwa 😢 wazazi tunajua family zingine ni dun ila msiachie watoto wenu ovyo ovyo.. halafu mwenye kiti acha ujinga hilo tu mtu kukaa kipekee bila kuwa na ujiran mwema ni moja ya ishara kuwa mtoto alikuwa anateseka
Mhhh jaman yamezidi sasa huyo atakuwa malaika mtoa roho😢
Kweli ni malaika mtoa nafsi 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Sio malaika mtoa roho huyu shetani kabisaaaaaaaa mtoa. Roho
Unadhani atakubali huyo mama
Huyo mama ndio mlokole
Hivi hawa wandishi wa khabari huwa wana jificha wapi maana likitokea2 jambo washa fika😂😂😂😂😂
Kila kitu mipango ndugu..ht huyo binti kuruka ujue kashauriwa tyr
Kwa Mitandao hii unajiuliza wanatoka wapi?
😂😂😂😂 hawakawii utafikiri walitarajia tukio
😂😂😂
😂😂@@Yana_queen1
Huyu mwenyekiti anamuogopa huyo mama ukiwa na mwenyekiti ka huyu unaweza kukosa msaada kwake
Dah jamaa mnafki kweli😂😂😂😂
Pole sana binti, mwandishi niunganishe na huyo msichana, nikae nae tena nitamuendeleza
Agh wapi
Huwajui wadada wewe ...utakuta anamapungufu balaaa.sina hamu mm na mabinti
Huwajui wadada wewe ...utakuta anamapungufu balaaa.sina hamu mm na mabinti
Arumeru kumekucha mwezi kwanza mambo yameanza mapema😂😅
Ongeeni na huyo mama jamani maana wafanyakazi siku hizi ni changamoto hapo sijajua mnavunja nyumba ili iweje maana haviendani huyo mtoto kaumizwa na huyo mama kwani? Fanyeni uchunguzi mm ninazo kesi nyingi Sana za watoto wa kazi saa nyingine tujue ukweli kabla ya kufanya chochote
Serikali iingile kati unyanyasaji huu. Nchi hii kuna baadhi ya watu wanaendesha biashara ya utumwa wa binadamu!
Huyo bint ni mkubwa anaelewa Kila kitu .huyu bint hawezi kuwa muongo apewe nauli na mshahara wake arudishwe kwao
Anajipongeza😂😂😂😂
Alifanya kazi voda kelvin nani?
mkoa wa Arusha sijui unashida gani
Mwwnyekiti kwa akiri yako unahisi atasema ni kweli anamtesa, zaidi anaweza zusha amemuibia chochote ndani kesi ikamgeukia huyo binti
Shekhe anajipongeza na kabia kake
😅😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂
uyomama ninyanyasaji mukamate mupereke porosi sheriya ifuate mukondowake
Hili jambo ni la kutengenezwa.
😊
😊
😊😊
Wanawake tuwe na huruma mtoto wa mwenzio ni sawa na wako
😂😂😂😂😂😂😂 ameruka ukuta mm hoi
Unapofikwa na matatizo ndo utaelewa 😂
Tatizo ata wa dada wakazi nao wanawenge wakishakuwa na nyege wanatafuta sababu sana hawa ukute anaruka ukuta kwenda kwa mwanaume hao
Huyo mama jini
Dah ila uyo jamaa ni detactive😅
Nyumba yihuze pesa zigawanye kwa Nini alimfukuza Kelvin Mume aliojenga hio nyumba ??? sharia china sema lazima nyumba yihuze au ikiwa Kelvin aliojenga kabla yakumuoa huo binti mchawi basi Kelvin amfukuze au yende mahakamani
Watanzania hao na sio waarabu mbona hamsemi washenzi
😂😂😂 na kweli leo ingekuwa uwarabu
Kwa nini anafunga milango?uoni hapo kuna shida?
Mkoa wa Arusha kuna.shida kuliko mikoa yote.Wenyewe wanasema makonda ataunyoosha.Bahati mbaya makonda mwenyewe yupo.bisy na ubunge.Amepelekwa Arusha akahemee ubunge,baada ya kushindikana kigamboni.
😂
😂😂😂kweli Kabisa Makonda kaenda Arusha kutafuta Ubunge na ndo maana anafanya Kiki na waarusha Kila siku😂😂
Ila nasem kuna mabos wanapat mfanyakaz nzur wanashindw kuishinay na kun mabint wanapat maboss wazur ila mfanyakaz akawa mot wa kuotea mbal pole mdog wangu
Mabinti ni washenzi
Kwan huyo ni chiz hadi amufungie ndan acha ujinga mwenykt
Alivyo fiwa mliemda kuzika au
Wewe mwenyekiti ningekuwa karibu ningekupiga makofi paka ningeenda polisi maana unaongea utumbo
Umeona eeeh
@Aminahlamranl420-hw2ie ni mpuuzi sana wewe
jmn kwanini anafanya ivo
Haina mjadala arudi kwao
Jamani wasichana wakazi wakipata maboss wazuri hawadumu wakipata maboss wenye roho jiwe wanavumilia aisee mie msichana nilimpenda wakamdanganya unakaaje namasikin nenda kafanye kazi kwa maboss alichokutana nacho walinitafuta tena mie masikin hata hivyo wasichana mjifunze
Wewe mama kua ata na roho ya hofu ya mungu
Pepo tangu lini likawa na hofu ya Mungu na ww
Wengine tuna shida na wadada wa kazi alfu nyie mnawatewa nyie ndo munafanya watu tusipate wasichana
Uchunguzi gani tena mmh
WEWE UNAFIKIRI ATAKUBALI KUSEMA UKWELI?HUYO MAMA ATAKATAA
Yani mapepo yote ilikuwa na fukuzwa APA wakati ya ibada imemuganda mama oyu na mapepo ipo ndani
Achukuliwe hatua huyo mama mbona hana haruma ivi tunawachukiliaj dada wakazi akiamua ubaya mbna mnakufa cku moja
Pamoja na ukatili huo huwezi huna haki ya kurushia mawe na kupiga teke geti wakati hukuchangia hata mia kujenga nyumba ..huo ni upumbavu .kulingana na madhaifu ya kibinadamu Sheria ipo
hii ndo dawa ya wakatili tena walitakiwa wabomoe kabisa ukuta
Na wananchi wanachojua kukimbilia ni kuvunja tu mali za watu na kufanya uharibifu
@@paulabelleghe451sio sawa
Unataka ahojiwe nini zaid ya kupelekwa police
Eeh M/Mungu haya manyanyaso ytaisha lin oko kizazi chako hich
Jamani mtu kuweka msalaba haina maana hilo ni kanisa ,,,hehehe kwa maana hata mganga wakienyeji anaweza kuweka msalaba na ukasema hilo ni kanisa ? Ni swala la ufahamu tuu lakini siwalaumu
utajua mwenyewe na uelewa wako hojakuu hapa sio msalaba niunyanyasaji
Acha wavunje nyumba
Acharya ujingaaa ww mwenyeketi
Huyu mwandishi yupo sahihi hivyo kumrekod bint bila ya kumuonesha sura
Waandishi wote hawaonyeshagi
MWENYEKITI WA MTAA ANASHIDA NAE MTUANAWEZAJE KULUKA UKUTA MREFU KAMA HUO BILA MATESO YEYE NI CHIZI
We mzee unajua huyo mama atakubali kuongea ukweli au
Mwenyekiti kafanya jambo jema sana aiseeh
yaani Arusha matukio kila siku
Unakua kama sio mzazi
Arusha Arusha Arusha
Hawa wa mama ndo wanafanya tunanyimwa wafanyakazi
Umeonaeee ukigisa huku hawataki acha tu
Arusha kwa visanga
Achunguzwe mwenyekiti atakua namahusiano nahuyo mama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ata mm nna wasiwasi nae😂
Ni kichaa halijielewi
Hawa wamama wajinga ndio wanatufanya tukose wadada wakazi
chuga
mngemcharaza nyie wa meru mmeshindwa kumuadabisha huyo kijuso mshirikina kweli
Ww mzee wewe unamtetea huyo mama ,jamaa wa kwanza kasema anakaa na wafanyakazi kama misukule halafu unamtete huna adabu zee zima hovyo
Ndio walokole was leo
Wanawahasira mnoo
🎉
Huyu mwenyekiti Hana akili
Mwenyekiti mwenyewe ni ele