MUHADHARA | NASAHA ZA WAZI NO 02 ( B ) - SHEIKH ABUU MUAWIYA HASSAN AWADHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024
- Muhadhara wa kielimu uliotolewa katika masjid BUKHAARIY , Unguja - Zanzibar - Tanzania. Muhadhiri wa MUHADHARA huu ni Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI (Allah Amuhifadhi). Huu ni mwendelezo wa NASAHA ZA WAZI kwenda kwa waislamu katika safu ya masalafiy Tanzania kote na popote watakapofikiwa na ujumbe huu!
Yaliyomo katika Kipande hich cha kwanza ni : -
• MLANGO WA ADABU NA AKHLAQI
• HESHIMA KWA WANAZUONI
Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI ametahadharisha kuwa huu ni muhadhara na wala si ruduud kama ilivyozoeleka katika hizi siku za karibuni! hii sio Radd kwa masalafiy au raddi kwa masuffiy, ispokuwa ni masaha za kielimu kwa wote.
Sheikh amezungumzia baadhi ya mambo yahusuyo elimu katika dini, fuatilia muendelezo wa muhadhara huu kupitia Channel yetu hapa!
baarakallah fiykum Wajazzakumullah khayra.
Daaah Allah amsamehe sheikh wetu
Allah amrehemu na amsamehe na amlipe pepo.
Sheikh wetu ameshafiriki dunia inna lillahi wa inna ilayhi raajiu
Allah amrehemu Sheikh wetu!
Allah amrehem
Allah amrehemu shekh dah hakika tumepoteza mwanachuoni mkubwa Sanaa rahimahullah
Tunamuomba Allah Āzza Wajalla kwa rehma zake amghufirie amrehemu Sheikh wetu!
بارك الله فيك يا شيخنا
وفيك بارك الله
Mwenzenu natamani iwe ndoto jamani abuu muawiy wew ndy sababu ya sisi kuuoenda usalafi kwahakika wengi wetu tulikua tukiuchukia usalafi kwa matendo machafu ya baadhi ya wanao jinasbsha na daawa hii ila wanaichafua tulipo fatilia oudio zako ndy tukabainikiwa alafu mi ndy ilikua dua yangu kua allah ajaalie nisome kwako japo risala kadhaa ila wapi ndoto yangu haija timia
Mimi nimekhasirika zaidi, nimeanza kusikiliza audio zake na tayari kashakufa tayari kumbe, lau masalafi wote wakiwa kama yeye sisi woote tutaupenda usalafi pengine
Din imekua mjadala wala so matendo
Je muko na group la whtssap la shekhe wetu tupate kufaidika
Assalam aleykum warahamtullah wabarakatuh
Afuwan! Naomba tuwasiliane kwa namba hii +255678337917 ili uweze kuungwa na magroup yetu!
Baarakallah Fiykum wajazzakumullah khaira.
Sheikh wetu ameshafariki dunia inna lillahi wa inna ilayhi raajiun
Labda kaburini Allah amrehemu
watu wa baatil wanakanyagana! na mtakanyagana mpaka qiyama! huyu anamkemea Mafuta kuwakosea adabu maulama lkn hii sifa ni ya masalafi wote
Allahuaghalam, Allah akubaarik
huyu nachuki zake kika kukicha wanazidi kupungua tu
Allahuaghalam ikiwa ni chuki ama ni haqi! Tunamuomba Allah Āzza Wajalla atuongoze.
Ndugu yangu mimi nakuusia hayo maneno yako sio maneno ya sawa
Yaani kufa kwa ndugu yko wewe inafurai unasema afadhali wapungue ivii wewe una dini kweli au umegeuza chama au timu ya mpira
Usifanye hivyo ndugu yangu nakuusia sana mtake msamaha Allah kwa hayo maneno yako kwani amekwisha kuyahifadhi katika daftari lako
Na yeye Allah ni mwingi wa huruma na nimwenye kuwasamehe waja wake
huku dawa salafiya inazidi chanja mbuga
Da'wa salafiya haina mmiliki mwanaadam, Allah atuongoze katika njia ya kheri!
@@DhuicTzdaawa salafia haina IMAMU. Na ukikosa imamu basi bilisi hukaa mbele Yako