WANAOCHAFUA USALAFI NI MASALAFI WENYEWE || ABU MUAWIYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @theofanskombenge5573
    @theofanskombenge5573 8 หลายเดือนก่อน +3

    Bachu always is real,strong na hupepesi macho mola akulinde🙏🙏

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ndugu zetu masalafi wanapaswa waji tathmini kwenye baadhi ya mambo walio yafanya, bila hivo wataiweka da'wah sehemu mbaya sana, kwa sbb maslahi ya Da'wah ni makubwa zaidi kuliko maslahi yetu binafsi.
    Na watambuwe kua wao wanapatia na kukosea, hivyo basi pale wanapo kosea na ikawabainikia kua wamekosea kweli, imma kwa kukumbushwa au kwa wenyewe kuyadiriki makosa yao, bila kupitia mkumbushaji.
    Tunawaombea kheri ndugu zetu wote walio ktk manhaj ya Salaf Asswaalih.
    Allaah Azza Wajalla awahifadhi na awape ujasiri wa kurekebisha pale wanapo kosea.

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 8 หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @user-fm8dz1bt8l
      @user-fm8dz1bt8l 8 หลายเดือนก่อน +2

      Tuna mtihani mkubwa sana ninavojua mimi masalafi na maanswaari site manhaji yeti ni Moja zilobaki ni chuki tu za kilimo baine yeti,

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shekh Muhammad bachu nimtu wa haqq hana uhizbya hana ukikundi kabisaa ALLAH amlinde

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 2 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehemu sheikh wetu Hassan Awadhi nimesoma nae Daru ulumu na baadhi ya sehemu nyengine

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Allahuma kk kwa shekh Ali kiroboto kwa kwel shekh abuu muawiya alikuwa na elimu kubwa Maana alikuwa na pupa na elimu sanaa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Allahuma amiynn kk

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaa Allah darsa nzur sana

  • @mohamedzanzibar1365
    @mohamedzanzibar1365 8 หลายเดือนก่อน

    أحبك في الله
    Keep working brother, allah is with you🤝

  • @IbrahMiracle-em4sh
    @IbrahMiracle-em4sh 8 หลายเดือนก่อน +5

    Yan mahizb na masuf akili zao sawa kwan mafuta akikataliwa ndo kkataliwa mtume si kassim ni duat kama maduat wengine nyie wapuuz kwel iv mnazan hiyo ni hoja

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wazee wakuhizbisha ALLAH awaongoze

  • @user-sz9et1sc5t
    @user-sz9et1sc5t 8 หลายเดือนก่อน

    Hali ni mbaya Allah atuongoze waumini

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Amrehemu

  • @khamisiabdallah8737
    @khamisiabdallah8737 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani mkimkataa mafuta yeye anadhurika na Nini? Na huenda wakawa sio masalafi wakawa ni mahizb kama ww tu

  • @user-xk6lv2yz9y
    @user-xk6lv2yz9y 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akuifadhi sheikh Bachu

  • @Muswlih
    @Muswlih 8 หลายเดือนก่อน +1

    Abuu Muawiyah hizbi kw vigezo GANI?? Tunaombeni kanuni juu ya kumwita hizbi

  • @khamisiabdallah8737
    @khamisiabdallah8737 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani masalafi ni maasum?

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona bachu onaonyesha unafurahia farqa katika manhaj ssalafi

  • @muhidini_abubakar
    @muhidini_abubakar 2 หลายเดือนก่อน

    LEO IKIWA NAANGALIA VIDEO HII TAREHE 23/6/2024 NI SIKU AMBAYO ABUU MUAWIYAH AMEFARIKI
    INNALILLAH WA INNA IALYHI RAJIUN 😢😢😢

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +1

      Namipia nimidahi naasikiliza hapa. .. Allah amsamee makosayake Amuingize peponi kwahurumawake Ya.rahmani.

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 8 หลายเดือนก่อน

    Unahaja gani yakuandika hivyo heading kwa sampuli kama hiyo ,kwani ulikosa namna sahahi yakuandika

  • @Hawanalugha
    @Hawanalugha 8 หลายเดือนก่อน

    jamani hii nidini sio time ya mpira tuweni makini

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini mbona unaonekana kuwa wewe ni mudhabdhab bainal haqqi walbaatwili

  • @IbrahMiracle-em4sh
    @IbrahMiracle-em4sh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama yy kama hiyo imetokea ndo masalafi tunaunga mkono au ndo manhaj yetu we hizb kuna salaf na usalaf acha upumbavu bali maswala ya utapel nyie mnayaunga mkono kabisa

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 8 หลายเดือนก่อน

      Unaujua Uhizbi kweli?
      Hizbi ni nin?

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      Yy mwenyewe hapo alipo ni hizbyah 😢

    • @saidsalum523
      @saidsalum523 8 หลายเดือนก่อน

      Ndugu salafi wenzangu tumuogopeni Allah,,tuna tabia mbaya ambayo itatutia katiba adhabu,,Allah kakataza kujitukuza lakini sisi miongoni mwetu tunayo tabia hiyo, na tunapenda kuwatia katika uhizbi masalafi wenzetu bila ya hoja za msingi.

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      @@saidsalum523 kabisa kaka

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 8 หลายเดือนก่อน

    KWA HIYO KOSA LIKIWA KWA SALAFI NYIE MWATOA NASAHA NA SI RADDI LAKINI IKIWA KWA MWISLAM MWENGINE KINYUME NA SALAFI INAKUA NI RADDI?

  • @user-sz9et1sc5t
    @user-sz9et1sc5t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hali nimbaya

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu abu muawiya ni hizbi

    • @saidsalum523
      @saidsalum523 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa hoja gani Abuu Muawiya awe hizbi?,,nakhofia masalafi wengi tunaingia makosani kwa kuwatuhumu vibaya masalafi wenzetu. Namuomba Allah akuongoze wewe na mimi.

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      @@saidsalum523 hana hoja huyu ni ushabiki tu

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      Tupe hoja yakielimu kwamba abuu mu3wiya ni hizbi

    • @khamisabdulla9517
      @khamisabdulla9517 3 หลายเดือนก่อน

      Ni nani hizbi? Vigezo vya hizbi ili tuvigogotexe kwa abuu muawiya huna hoja uskut nyamaza

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน

      Wewee ni hizbu salafi

  • @khamisiabdallah8737
    @khamisiabdallah8737 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani Abuu Muawiya ni Nani? Na huyu Hassan awadhi ni nan?

    • @Abubakarhaji-cq2cq
      @Abubakarhaji-cq2cq 8 หลายเดือนก่อน

      Ndio huyo huyo
      Abuu Muawiya ni Kun-ya yake
      Hassan Awadh ndio jina lake

    • @khamisabdulla9517
      @khamisabdulla9517 3 หลายเดือนก่อน

      Khamis