Hongereni sana kwa Kuanzisha hii Channel but tafuteni coverage nzuri inayoitambulisha Tunduru,, mf.Uoto wa Asili, Mashamba ya Korosho, Misitu ya Hifandhi Tengefu ya wanyama,Ofisi za Biashara za Madini nk
Tunduru Paralegal Centre ni Kituo cha Msaada wa Sheria kinachopatikana Wilaya ya Tunduru, moja ya majukumu yake ni Utoaji wa Huduma za Msaada wa Kisheria kwa jamii bila malipo pia Ujengaji Uwezo katika sekta za masuala mbalimbali.Karibuni sana, Ofisi zetu ziko Mtaa wa Uhindini Mkabala na Jengo jipya la Biashara la Kariakoo
Nimepakumbuka sana nikiwa Mozambique
ongela sana kaka nakupa Tano nimemmis sana nyumbani apo tunduru nipo daaa wasalimie watu kalibu sana manyara
home boy hapo kaka ,tupo wengi nje ya nyumbani
Kazi nzuri kaka, Tukuombe tutangazie Mazao ya Biashara yanayopatikana kwetu.
Ndilo lengo tuta tangaza
napend san om ingawa nimetok md mwingi❤❤❤❤
Siku nitarud home❤❤❤
Bado masai broo tunasubiri vidio
Napenda kuja huko nauli toka dar
Matemanga stand up
Safi Sana nyumbani hapo
Tupo pamoja ndugu usisahau..subscribe .
I miss you my home
safi sanaaa
Hongereni sana kwa Kuanzisha hii Channel but tafuteni coverage nzuri inayoitambulisha Tunduru,, mf.Uoto wa Asili, Mashamba ya Korosho, Misitu ya Hifandhi Tengefu ya wanyama,Ofisi za Biashara za Madini nk
My home tunduru
Wow home sweet home
Tunduru pazuri sana
Karibu kwetu tunduru
Tunduru Paralegal Centre ni Kituo cha Msaada wa Sheria kinachopatikana Wilaya ya Tunduru, moja ya majukumu yake ni Utoaji wa Huduma za Msaada wa Kisheria kwa jamii bila malipo pia Ujengaji Uwezo katika sekta za masuala mbalimbali.Karibuni sana, Ofisi zetu ziko Mtaa wa Uhindini Mkabala na Jengo jipya la Biashara la Kariakoo
Masasi broo
Masasi tunakuja
Nitarudi 2 nyumbani
Namwiqnyu hoooyeeeeee
Sweet home I was born there
Sure???