Kama chadema chimbuko la maanndamano ñi ali kibao kutekwa na kuuliwa kwa nini wasisubiri uchuñguzi ufanyike na kama wao wanawajua walio muuwa ndio maana wana haraka kwa nini wasitoe ushirikiano polisi iwakamate.basi wao chadema kama hawakufanya hivyo ndio wauwaji hio ni danganya toto watanzania tusiyumbishwe na chadema.😅
Kutokuwa na imani wapo sawa kwasababu hata tarifa zilipotolewa kwamba mtu kashushwa kwenye gari hawakuonyesha jitihada za mapema kufuatilia suala hilo hadi palipoonekana umauti
Mnyika... Mbowe...SIKU Wana chadema halisi watakapokuja kugundua michezo yenu michafu....hakika mtajajuta kuchagua KAZI ya siasa...maana mnatuchezea akili kwa maslahi ynubinafc
Nasikitika kuona Kodi zetu zinatumika vibaya kama kweli hii nguvu wanayotumia kutumia kuzuia maandamano vp kama ungetumia kuzuia uteaji na wanaoiwa wa tz?
Acha kuongea pumba hiyo ni moja ya kazi ya polisi, kodi yatumikaje vibaya?....we ulitaka wakae tu vituoni siku zote? Acha kihemko na chuki zako binafsi tafuta hela kijana
Ukweli ndiyo huo msije kwenda kumteka huyu mzee wa watu
samia ondoka kabisa hatukutaki hata kidogo
Ujiga wa Tz😢😢😢😢
Ndiyo kwanini wanauwa watu?
Mtuhumiwa mmoja tena binti,askari 10 na silaha,hii ni kuonyesha ni jinsi silaha hazina kazi,askari wetu wapo kwa maslahi ya wakubwa.
Kukamata chadema hawasovu tatizo
Wabongo woga wala hawana 1 hem njooni angalieni kwetu kenya
Upinzani wko sa hihi
Kama chadema chimbuko la maanndamano ñi ali kibao kutekwa na kuuliwa kwa nini wasisubiri uchuñguzi ufanyike na kama wao wanawajua walio muuwa ndio maana wana haraka kwa nini wasitoe ushirikiano polisi iwakamate.basi wao chadema kama hawakufanya hivyo ndio wauwaji hio ni danganya toto watanzania tusiyumbishwe na chadema.😅
Hatutaki hai mabeberu wanaotuma kina lisu mbona huko mauaji ya huko kwao hawachukui watu kwetu
Mbona watu wanaendelea shughuli zao amani ipi mnayoitaka acheni unafiki
Mbona vyombo vya habari kama mmekuwa wachochezi zaidi?
Kwamba huyo mdada ndo shujaa wengine mko wapi
Wahuni tu ninyi na wapambe wao .Hao niwahuni matikio hayo wanafanya wenyewe
Fanyeni kazi
Kutokuwa na imani wapo sawa kwasababu hata tarifa zilipotolewa kwamba mtu kashushwa kwenye gari hawakuonyesha jitihada za mapema kufuatilia suala hilo hadi palipoonekana umauti
Good ameongea kitu chamsingi huyu mwananchi
Nyinyi siasa mchezo mchafu Kwanza tukae mbali na nao izozote ni komedi za siasa
Mwandishi mbona unahitubia
Huyo mbona mnampeleka kama anaenda kula tembezeni kuchapo
We vua jezi yetu apoinausija na nini wakati wenzako tunaenda mbeya
Mnyika... Mbowe...SIKU Wana chadema halisi watakapokuja kugundua michezo yenu michafu....hakika mtajajuta kuchagua KAZI ya siasa...maana mnatuchezea akili kwa maslahi ynubinafc
Haya sio maandamano ya amani kwani unaposema samia must go una maanisha nini walipokuwa wana Fanya maandamano ya amani walipewa ulinzi
Nasikitika kuona Kodi zetu zinatumika vibaya kama kweli hii nguvu wanayotumia kutumia kuzuia maandamano vp kama ungetumia kuzuia uteaji na wanaoiwa wa tz?
Acha kuongea pumba hiyo ni moja ya kazi ya polisi, kodi yatumikaje vibaya?....we ulitaka wakae tu vituoni siku zote? Acha kihemko na chuki zako binafsi tafuta hela kijana
Siku zote walikuwa wapi mpaka watu wanatekwa ovyo na kuuawa?@@husseinmramba
@@husseinmrambaKichwa kikubwa ubongo mdogo.
Kila kitu kina mwisho @@AyoubAbdullrahmanAmir huwezi kuzima jambo linalotambulika kisheria na hayo ni matumizi mabaya ya mamlaka .
Policeccm
Haya ni Maandamano Batili. Nawapongeza Jeshi la Polisi kwa Kazi Nzuri.
Waue wenyewe afu sisi tuandamanishwe ujinga huo sifanyi
Kwamba huyo mdada ndo shujaa wengine mko wapi