Huyu kaka anaweza kua anaongea akaonekana snitch au analopoka, lakini kwa jicho la tatu anaongea ukweli. Sasa hivi imekua kama fashion ya kuongeza shape lakini madhara yake ni makubwa.. Mimi nina ushahidi sio wakuambiwa bali wakujionea mwenyewe. Jamani Afya ni kila kitu. Tutunze afya zetu.
Huyu jamaa ni shoga asiejielewa unagombnaj na mwanamke ongekea kazi yko uaiongelee mwingin..mshamba sana hemedi kwanza hajui kuact wala kuimba yupoyupo tuuu bora auze samaki....pesa lulu aliotumia surgery inamlisha hemed na ukoo wake miaka sita
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Siyo vibaya kutomkubali mtu...hata mimi kiukweli kwenye muziki simkubali 😅
Kumekuchaa tenaaa namakuchaaa yakeee huyuuu broo nomaaa
Waandishi wa Habar i msichochee huu u gonvi wa hemed na lulu cha msingi mu wapatanishe
Nusu box nusu mtu😂😂😂😂
MKENYA uyu TPF if u know u know Hemedi Big Deal ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from NRBI
Hapa ndio tunampata Joyce wowo wakina mwakijambile😅😅😅😅😅😅
Huyu kaka anaweza kua anaongea akaonekana snitch au analopoka, lakini kwa jicho la tatu anaongea ukweli. Sasa hivi imekua kama fashion ya kuongeza shape lakini madhara yake ni makubwa.. Mimi nina ushahidi sio wakuambiwa bali wakujionea mwenyewe. Jamani Afya ni kila kitu. Tutunze afya zetu.
Kweli ndugu
Ila kuhusu kuimba kiukweli haujui na anaebisha aniimbie Vers moja ya wimbo wake kudaddeki
Kwani kuna haja gani ya kumsema
Hira hemedi 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Papi upo sahihi umejiongeza plastic, Belinda Mwakijambile hajui kuimba,
Huy jamaa ni balaaa 😊
Kashika shari mara ngap 😂😂
Tuliambiwa kuna wanaume kam mabint ndio huy unamuongeleaj mwanamke ambye hana muda wa ww umama huo
Umeona ee
Umeona ee
Ila ukweli mzuri lulu kwenye kuimba ni kisanga pia ni anapambana saana 😅😅😅
Kwani lulu ndo wakwanza kuongeza shape na ata kma kaongeza mwili ni wake kwani ajui kama Kuna madhara vitu vingine shobo tu na mambo ya watu😏😏
ILA PHD ETI BELINDA MWAKI JAMBILE MAKALIO YAKE YAME VIMBA VIMBA KAMA MAFENESI KUMBE NGUO ZINA STILI WATU
Lulu umeyatimba na ss umeingia Choo cha kiume ngojea miguno tu
Uyu kaka sio mnzima atakuwa anashida kichwani.
WANAWAKE MKIWEKA MAKALIO FEKI MKIAMBIWA UKWELI MNAKUJA NA MANENO KAMA HAYA UNAYOSEMA.... MCHINA ATAWAMALIZA WANAUME NUNABAKI NA ORIGINAL 😂😂🤣
KAYA TAKA MWENYE NDOMANA KAAMBIWA UKWELI
Uyu anaongea kuus shep mda wote mbn aongei ya maaan sas
Sasa PhD mwenyewe ni slay queen wanaume weupo haswa wa kiafrica hawana jipya yaani ovyo😂😂😂
Misiwezi kutembea na mwanaume mweupe kwanza hayana mvuto nawalasiyo matamu nahayapendezi kiufupi weupe waachieni weupe
@MariamuJuma-t8z 🤣🤣🤣🤣
Mbona lulu. Diva mwimbaji mzari
Kumeanza kuchangamkaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ni shoga asiejielewa unagombnaj na mwanamke ongekea kazi yko uaiongelee mwingin..mshamba sana hemedi kwanza hajui kuact wala kuimba yupoyupo tuuu bora auze samaki....pesa lulu aliotumia surgery inamlisha hemed na ukoo wake miaka sita
Berinda ayui kuimba lulu bola huigize tu haujui kuimba
Mwaume? Mkamilifu? Zaid ya dkk20 unamuongelea mwanamke??? Kutakua na shida mahali! Kiufup hata wew hemed kuimba haujui
MBONA INTERVIEW YENYEWE INA DAKIKA 18 TU BROO ACHA UONGO BANA AMEANZA KUMZUNGUMZIA BAADA YA DAKIKA YA 5 KIUFUPI LULUDIVA HATA MIMI SIMUELEWI
😀😀
Lulu ndokaimba nae
Mikono yake membamba kama ya lulu diva 😂
kushaanza kuchangamka
Na uyo lulu diva ndio kwanza hajazaa alafu kafanya surgery
😂😂😂dah
Je wakina sisi tunaojichubua😂 itakuaje
Acha kuwadharau wanawake
😂😂😂 yakipumbavu
Naamini ulimtongoza amekukataa fala ww
Lulu kwel ni pimbi tu watu hawajui hat nyimbo zake yan ni muuz uchi tu yan mjini
Hemedi ni mpuuziiii. Unatafuta kiki kupitia jina la binti wa WATU. Mpuuzi sana
Tuachie lulu wetu wwbona unapaka mkorogo afu umezeeka
Usiingilie vitu visivyo kuhusu mwache lulu diva ajibu mwenyewe
😂😂😂😂😂😂😂
Kajichonga mbona na wewe unajichubua zee zima
Hemed ajajichubua ndiyo rangi yake halisi. Toto limechanganya.
@azizasaid5255 ni mweupe lakin anauongeza ye mwenyewe Alishawahi kukiri kuwa anapenda kung'aa lazima ajiongezee
@@FlorenceMlemimmmmmh makubwa Aya atahajiongezi nmwarabu Koko mwarabu wamchongo kiufupi hajichumbui nmwarabu ilaanaasri yauatabu