Kwa kienba magoli ya yanga yote sio halali yan mpira umechezwa na wat watatu na beki kaenda kukaa langoni kaua ofsid na bado Aziz kapigapas kipa kaiputa ndo imeanguka kwa muda akampa dube bado ofsid tu hahahaha
Mjinga Moja we eat wamexomea haw bwabwaji kama wew unacem anadangaj Kam anadangaj Kacomee wew ion kama rahis bila xhak we ni ubaya ubwela ubwege ujinga upumbavuuu 🤫🤫 a lot 😅😅😅
Skia we boya hapa hatuangalii timu gani imeshinda ila tunaangalia na kuchambua mpira pamoja na sheria zake, koma tutufanya sisi machoko yaani mbumbu ktk sheria za mpira pumbu la mjomba ako 👺
Hawa marefa kwa nini hamuwafundishi sheria za mpira kabla hawajaingia uwanjani???? Matokeo yake mnaanza kukosoa baada ya makosa kutokea hiyo inasaidia nini? maana hayo maelezo yenu hayabadirishi matokeo.
Yan nyiny utopolo nafas yen ndio hiy usitegemee maajab kuwafung dodom jiji n makosa kam hay golikiper wao anayoyafny usitegeemee kil mech utapat kitong
...Kiemba amenishangaza saanaa, ni ameongea kama lay man, yaani mtu mbumbumbu, nilitarajia aongee kama mchezaji mzoefu na kocha, kwa mujibu wa sheria za FIFA goli la Dube ni halali kabisaa namshauri Kiemba arudi tena darasani kusoma
🌹🌹🌹🌹🌹🌹 yako osman
Sema ameni ukiiona!
Umemaliza mchambuzi, wanalalamika kwasababu hawajui kidhunguuu😂
To be in the half of the opponent inamaanisha nusu ya uwanja upande wa mpizani. Yaani nusu ya uwanja baada ya kuvuka mstari wa katikati.
Wewe ndiye Othman Kazi?
Keimba anajua mashuti sio uchambuzi
Kwa kienba magoli ya yanga yote sio halali yan mpira umechezwa na wat watatu na beki kaenda kukaa langoni kaua ofsid na bado Aziz kapigapas kipa kaiputa ndo imeanguka kwa muda akampa dube bado ofsid tu hahahaha
Kwa makolo ni offside kwa waungwana wachambuzi ni halali hilo goli
Kiemba c mchambuz n mshabik wa team
Wachambuzi wa azam mnaaza kuumbuka sasa kwa kuweka ushabiki wa timu fulani
Refa ndo kashamaliza, wachambuzi hawana taaluma ya urefa,
We ujui kitu, unawadanganya watu tu hapa... na inasikitisha unaongea kwa nidhamu uongo mtupu
Mjinga Moja we eat wamexomea haw bwabwaji kama wew unacem anadangaj Kam anadangaj Kacomee wew ion kama rahis bila xhak we ni ubaya ubwela ubwege ujinga upumbavuuu 🤫🤫 a lot 😅😅😅
Sasa si ukasome wew hivyo vifungu
Sema wew ndo hujui kitu
Kuna mtu kasema ni offside kwamba yeye anzijua Sheria za mpira amezungumza kwenye radio ya ufm
Tafakari zaidi maana ya "in the half of the opponent" Umetoa tafsiri isiyo sahihi.
Unastahil ku wa mwanahabari umejiongeza kuichambua kisheria umeitendea haki taaluma yako,
Kiemba ni Mnafiki hajui sheria za Mpira
Sasa akanushi maelezo Haya. Eti Naye ni Mchambuzi nimemdharau kumbe hajui.
Kiemba siyo mchezaji mkongwae, kwenye mpira amecheza mda mfupi sana, huwezi kumlinganisha nawakongwe kama akina lunyamila, mohamed hussein (mmachinga), Ramadan lenny, matola nk.
Skia we boya hapa hatuangalii timu gani imeshinda ila tunaangalia na kuchambua mpira pamoja na sheria zake, koma tutufanya sisi machoko yaani mbumbu ktk sheria za mpira pumbu la mjomba ako 👺
Naonelea achen kuchambua achen marefa wafanye kaz yao
Mchambuzi uchwara AMRI KIYEMBA,jifunze tafsiri.
Unasema anaongea uwongo wakati kiingereza hukijui.
Hawa marefa kwa nini hamuwafundishi sheria za mpira kabla hawajaingia uwanjani????
Matokeo yake mnaanza kukosoa baada ya makosa kutokea hiyo inasaidia nini? maana hayo maelezo yenu hayabadirishi matokeo.
mpuuzi we unaweka picha ya Athuman kazi halaf unkuja kubwabwaja kingereza chenyewe hujui hovyooo
kunamtu amesema ati kama beki akiwa wamwisho nisawa na kiba sa si angeudaka?
Kiemba yuko kishabiki c mchambuzi ila hawezi kulifuta ni goli halali hata kwenye malejeo ya picha
Michambuzi mingine ina mihemko na mapenzi Aka mikolo wafundushe yai
Umefika.wakati.wa.kila.timu.kukaa.kwenye.nafasi.yake..azam.tayali..nafasi.ndo.hiyo.ya3..bado.kolo.mech.ijayo.anarudi.nafasi.yake.ya.pili..kwishaaa
Yan nyiny utopolo nafas yen ndio hiy usitegemee maajab kuwafung dodom jiji n makosa kam hay golikiper wao anayoyafny usitegeemee kil mech utapat kitong
Ss kitonga lazima tupate ata ww utatupa mseleleko maana kibonde wetu na lazima utupe tatu za muhimu@@OmarSuleiman-o8o
Nimeshawatuma.singida.black.stars.wakushushe.ukae.ulipozoea..hapo.juu.sio.kwako..mkia.nafasi.yake.ni.nyuma
@@MinakiPazi n singida akifungw ntaanz kumlaum refaree maan singid hajwah kufumfung simba
Hii.ni.singida.nyingine.sio.uliyoizoea.ww..kumbuka.kuna.elvis.rupia.anakusubiri
Wachambuzi wa Azam hamna kitu
Mbona unachokisoma na kukitafsir nibtofauti au english inakusumbua
Wewe jamaa fifa inatakiwa wakufikilie unaelewa sio kama wanaokariri
Kiemba sawa sawa na mwanamke malaya
Hakika
Kiemba alitaka kubance mzani mitaani kwaajil ya ile penat ya juz