MCHAMBUZI OSMAN KAZI: HII HAIKUPASWA KUWA PENATI/REFA AMEKOSEA HAPA/KAPOMBE ALIJIRUSHA KWELI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 97

  • @mosesmsuka5691
    @mosesmsuka5691 19 วันที่ผ่านมา +10

    Kuna wachambuzi pale Azam Yani Ramadhani Mbwaduke na Amri Kiemba wamegeuka kuwa machawa wa Simba Kila kitu kwa Simba ni sahihi tu, Mbwaduke saivi amekuwa chawa

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 18 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona wachambuzi wengi wamesema ni penati,wachambuzi wa crown,clouds e fm na wengine wamekili ni clear penalty sasa wewe unawalaumuje wawili tu punguza chuki na kazi za watu

    • @salmaamani7021
      @salmaamani7021 18 วันที่ผ่านมา

      Hata mie nimeona

    • @godfreykarigo6404
      @godfreykarigo6404 18 วันที่ผ่านมา

      Kapombe alifanyiwa faulo au sio faulo na kama ni faulo ndani ya box inaamuliwaje

    • @RamadhanhajiKhamiss
      @RamadhanhajiKhamiss 18 วันที่ผ่านมา

      Ili iwe faulu lazima kuwe ukaribu na mpira pamoja na mchezaji wa mpira

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 วันที่ผ่านมา

      Nenda kasuke kwanz kisha urudi. Utakuwa na akili

  • @Tambweath
    @Tambweath 18 วันที่ผ่านมา

    Pia hakua sawa na mchezaji Kapombe alikua amezidi

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 19 วันที่ผ่านมา +1

    Penati FC

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mbeleko FC. Penati FC

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 18 วันที่ผ่านมา +2

    Pale hakukuwa na possibility of playing ball kwa kapombe

  • @HassanMdetele
    @HassanMdetele 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kuishangaa Simba kubebwa, ni sawa na kuishangaa Wahindi kujanba,

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 วันที่ผ่านมา

      Mbona hamjalalamika la mkono?

  • @NdomaSamwel
    @NdomaSamwel 19 วันที่ผ่านมา +4

    Simba wamepata ushindi wa kuiba dhidi ya jkt tanzania

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 18 วันที่ผ่านมา

      Na walipewa penalty ya uwongo Tena dhidi ya Dodoma Jiji.. shabalala akijiangusha tu kwenye box, wakapewa penalty

  • @AbeidRamadhan
    @AbeidRamadhan 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mchambuzi wa simba

  • @JohnMshana-w8r
    @JohnMshana-w8r 18 วันที่ผ่านมา +1

    Refa alitoa card ya njano then red not direct red card.Chambua vizuri.

  • @chemstry409
    @chemstry409 18 วันที่ผ่านมา +1

    MECHI KUMI NA NNE (14)..PENALTY KUMI NA MBILI (12)....DUUUUHHH....

    • @SeyangaSudi-r6u
      @SeyangaSudi-r6u 18 วันที่ผ่านมา

      Dunia kubwa hakuna Cha duuh! Kama timu pinzan inafanya makosa ndani ya penat inatakiwa iwe nn? Na hiyo ndo Simba inayotengeneza timu mziki ukikaai sawa inakuwaje?pongezi kwa jkt timu nzuri na kama unajua mpira na kanuni za soka ni clea penat! Halafu huyo sio otman kazi anaechambua ni mjinga flan mpotoshaji uchambuzi uchwara

  • @andrewsalufu
    @andrewsalufu 18 วันที่ผ่านมา

    Mpira haukumfikia Shomari , yaani pasi Ile haikuenda kwa Shomari.

  • @gavanankanabo8358
    @gavanankanabo8358 18 วันที่ผ่านมา

    Haisaidii lolote point 3 tayari kwa mnyama

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 18 วันที่ผ่านมา

    Kiemba chawa wa simba kuna posho zao pale

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 18 วันที่ผ่านมา +1

    Bahasha Refa football club 😢

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 วันที่ผ่านมา

      Utalaumu sana. Baridi ni Kali kileleni

  • @simonkitta478
    @simonkitta478 18 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka kabla ya ao wawili kilikuwa na mchezaji aiiyekuwepo kabla hao hawaja ingia kwenye boksi!!!!

  • @IddiKilomeye
    @IddiKilomeye 18 วันที่ผ่านมา

    Hayo Nimaagizo Ya TFF

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 18 วันที่ผ่านมา

    Wakati kafunga simba kila mchambuzi atasema ilikuwa penalti

  • @SAIDKHAMISOMAR
    @SAIDKHAMISOMAR 18 วันที่ผ่านมา

    Kwenye tukio lasimba vitu vyote ulivovizungumza havipo, kwasababu mchezaji wa simba hakuwa na uwezo wakuucheza mpira, wala hakuwa na uwezo wakufunga goal. Taya mpira ulisha zuiliwa na mchezaji wa JKT. Natukio lililotokea halikuwa la penalty.Hemu soma tena iyo sheria halafu angalia na tukio lenyewe. Wacha kuzungumza mambo ya ushabiki. Hilo sio tukio la penalty

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 18 วันที่ผ่านมา

    Sheria hiyo ni yakwako ni kwamapenzi timu Yako ipo sawa kwa kutetea

  • @HudumaKwawateja
    @HudumaKwawateja 18 วันที่ผ่านมา

    Shida wachambuzi wengi mnaibuka kuitetea simba lakini mbona hata simba wanafanya makosa kama hayo ila izo penalty hazitoke na hakuna mchambuzi anayeongelea mfano ile penalty walinyimwa kagera kamala c alicheza faulo au mnataka kusema ingekuwa Kwa simba isingetoka pia hata huyo kazi now amepoteza mvuto kwa kutetea maovu

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 18 วันที่ผ่านมา

    Penati halali kabisa sema yanga ndo tatizo waliumia sana jkt wenyewe kimya ila 🐸🐸🐸🐸🐸 analia lia

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      🦟🦟🦟nyamazen

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 18 วันที่ผ่านมา

    Hii sheriya iyendelee isiwe kwa tim ya penalty tim haina uwezo wa ushindi mnaibeba tu simba ikibebwa sheriya teleee zinatafutwa

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 18 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani siyo -- Simba spot club --- ni SIMBA SPORTS CLUB -- ukisema Spot,unakuwa umeta kitu kingine.

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      Kwan Kuma utofaut gan

    • @JumaHUssi
      @JumaHUssi 18 วันที่ผ่านมา

      hata wewe umechemsha. Kwa kiswahili, "umeta" ni kitu chengine kabisa.

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      @JumaHUssi wap nimechemsha

  • @aponicemville3366
    @aponicemville3366 18 วันที่ผ่านมา

    Kad nyekundu ni uongo ile ni njano kwa vile alikuwa na njano nyingine ndo mana akapewa nyekundu iyo sheria imeshapitwa na wakati siku iz ukimkata mtu ndan ya 18 ni kad ya njano na penati

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 18 วันที่ผ่านมา +2

    Akuna penat mbeleko TU

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi 18 วันที่ผ่านมา

    Ile KADI nyekundu sio Kwa sababu ya faulu. Ile imetolewa baada ya muamuzi msaidizi kumkumbusha muamizi kuwa huyu mchezaji tayari kadi ya njano. Acha kutafsiri kikolokolo. Alipokuweko Shomari, hakukuwa na uwezekano hata wa kuufikia mpira, achiliabali kudai alinyimwa nafasi ya kufunga.

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 18 วันที่ผ่านมา

    huyu othman kazi yy amrkuwa mkosoaji ila wakat wake alifanya madudu zaidi yahaya kwanza mpira ukiwa speed unawapa wakat mgmu sana marfaree

    • @MussaHamadi-s5c
      @MussaHamadi-s5c 18 วันที่ผ่านมา

      Hapana wakati mgumu munabebwa sana simba kwan nan asiye ona

  • @ABELSHEYO-q2e
    @ABELSHEYO-q2e 18 วันที่ผ่านมา

    Mbona goli la backa la mkono hamsemi mnapotezea kwa penart halali kabisa ya simba duu yanga wamechoka sanà

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      Maradona wA pili bacca

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 18 วันที่ผ่านมา

    What goes around comes back around

  • @DanielMusa-u1y
    @DanielMusa-u1y 18 วันที่ผ่านมา

    Wote haumjui mpira mtulie

  • @mosesmsuka5691
    @mosesmsuka5691 19 วันที่ผ่านมา

    Sasa unategemea Othimani Kazi aseme sio penalty wakati nimwanachama wa simba

  • @linuslusian-d5w
    @linuslusian-d5w 18 วันที่ผ่านมา +2

    mbona Azizi alisukumwa ndani ya penaiti boxs haikuwa penairte

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 18 วันที่ผ่านมา

    Wacheni wasifie tu Simba Yao lkni tunayaona mabovu yao mda sio mrefu awtaanza kupiga kelele

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 วันที่ผ่านมา

      Kazi kwako unayejua ball😅😅😅😅 timu yako Ina point ngapi kweli ndani na nje😊😊😊😊😊

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 18 วันที่ผ่านมา

    Bacca alifunga kwa mkono mbona hawachambui au wachambuzi ni mashoga wa yanga 😂😂

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 18 วันที่ผ่านมา

      Nenda kaangalie walichosema kuhusu goli la bacca

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 18 วันที่ผ่านมา

      Usiropokee tu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 18 วันที่ผ่านมา

      @musamagulu2023 baka alibaka Tanzania prisons kwa mkono

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@musamagulu2023waambie bacca n maradona wA pili

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      Bacca no maradona wA pili na maradona aliwah kufUNGA kwa mkono

  • @Mathamayaka
    @Mathamayaka 18 วันที่ผ่านมา

    Wale Simba mbwaduke na kiemba

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna mpira uliokuwa unakwenda kwake kwani ulizuiwa na mchezaji mwingine. Angekimbia Bure!

    • @ABUU961
      @ABUU961 18 วันที่ผ่านมา

      Kumbuka na yule mchezaji alie zuia mpira alishika

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 yan waalim wanakaz sasa mpira ulizuiwa ukiwa unaenda wap na shomar alikua anaenda wap?

    • @sallumabeid1162
      @sallumabeid1162 18 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli maana hata kama angebaki peke take ule mpira usingemfikia sasa sijuu amezuiliwa kitu gani

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@ramadhanirama7970walete tuwachalaze mboko ho wajinga wajinga😅😅😅😅😅😅

  • @BardwinMpunga
    @BardwinMpunga 18 วันที่ผ่านมา

    Wandishi wabovu

  • @BarakaMwampashi-w5t
    @BarakaMwampashi-w5t 18 วันที่ผ่านมา

    Uyo refa ni Kuma musiwe mnachambuwa ujinga mafara nyie

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r 18 วันที่ผ่านมา

    HUYU MBWA ANAEZUNGUMZA NI MSENGE MAANDISHI JUU YA PENALT OSMAN KAZI AMESEMA HAIKUPASWA KUA PENALT,,YEYE ANASEMA NJE YA ANDIKO AMA UCHAMBUZI WA KAZE ,,USHABIKI WA MCHAMBUZI MSEMAJI,,,

  • @selestinevalence4606
    @selestinevalence4606 17 วันที่ผ่านมา

    Huo mpira kapombe usingemkuta maana mchezaji wa JKT alishablok mpira ila ww mchambuzi sio rizik kabisa

  • @vincentshekibula6670
    @vincentshekibula6670 18 วันที่ผ่านมา

    Nguruwe

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 18 วันที่ผ่านมา

    PENATI 12
    KWENYE MECHI 14!!!
    NA BADO HAMWONI KUWA HIYO TIMU INABEBWA ILI ISHINDE IWE IWAVYO.

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 18 วันที่ผ่านมา

      Ni penati 6 sio 12

    • @ramadhanirama7970
      @ramadhanirama7970 18 วันที่ผ่านมา

      Unaumia ukiwa wap?

  • @salumjimola9208
    @salumjimola9208 18 วันที่ผ่านมา

    Hii channel ni utopolo😂😂😂

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 18 วันที่ผ่านมา

    Mchambuz mkwel kuna mtu anaitwa salamba yule jamaa ana juwa sana lakini kuna mchambuz alikua jana kakaa na yule rasta aongei kiuchambuz kabisa anaongea kima penz

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 18 วันที่ผ่านมา

    Kawe refa wewe na goli la mkono la utoppolo u nasema nini?

  • @ElimegioKazoba
    @ElimegioKazoba 18 วันที่ผ่านมา

    Hivi ninyi mbona hajadili golibaka ka mkono

    • @JeniAlex-e4v
      @JeniAlex-e4v 18 วันที่ผ่านมา

      Yule n maradona wA pili

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 18 วันที่ผ่านมา

    Penalti 12 zipi wewe mchambuzi .Ukipiga kona 40 kwenye mechi inaruhusiwa?Penalti zinaweza 20 mradi tu ziwe Penalti kweli.

  • @zainahassani3966
    @zainahassani3966 18 วันที่ผ่านมา

    Othumani kazi umechapia si kama Sheria unajua wewe tu acha usimba wasaidieni hivi vilabu vidogo

  • @JosephSaidJikolo
    @JosephSaidJikolo 18 วันที่ผ่านมา

    Bebweni sana mtatukuta tu wababe wenu tunawasubiri

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi wanasheria hakuna kipengele cha kumshitaki mtu kukusemea jambo ambalo ww hujasema? Hebu mutusaidie watu tupate mitaji kwa hawa wenye vimedia uchwara

  • @zubedamasanja8270
    @zubedamasanja8270 18 วันที่ผ่านมา

    Kilakosalitahukumiwa liwe dogoau kubwa

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 18 วันที่ผ่านมา

    Kwaio ww ndo osman kaz au mpumbavu

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 18 วันที่ผ่านมา

    Muongo wewe ule mpira ulikuwa una kwenda kwa kapomve?mbona mbatumia nguvu sana

  • @EliasRichardSozigwa
    @EliasRichardSozigwa 18 วันที่ผ่านมา

    Hawa ndio wachambuzi uchwala

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 18 วันที่ผ่านมา

    Hivi wewe ndio Osman kazi?
    Kwani Kapombe alikuwa anafukuzia mpira ulioko wapi? Mnahalalisha vitu ambavyo ni vya hovyo MAKOLO nyie kenge waheid

  • @BarakaMwampashi-w5t
    @BarakaMwampashi-w5t 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni fala penati ya wapi kama hiyo wajinga ttuu

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z 18 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wajinga sio penanti hiyo itakua ipi

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 18 วันที่ผ่านมา

    Penati halali waache midomo wanajuwa kil kitu kama penati

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu bek anafaa kihojiwa lwanini alimpalamia kapombe hivi eneo la hatarii hakujua matokeo?

  • @kassimmgwami
    @kassimmgwami 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe muongo labda kutafsiri kiingereza hujui kolo wewe.