Mama wa Martha aliongeA mwanzoni akasema japo ana mume, lkn anaogopa yasije yakamkuta ya ndoa yake ya mwanzo, alipofiwa na mumewe alinyang'anywa kula kitu. Huyu mume wa sasa ana watoto wengine, je ikitokea Mungu kamchukua halafu ndugu au watoto wa mume wakisema aondoke mama atakwenda wapi? Hiyo ndio hofu ya mama, alitaka Martha amsaidie ili naye awe na kwake kwa tahadhari
Kwaivo waume zake tu ndo watakaokufaga, yeye haezi kufa kabla y mume? Na si asubiri basi hayo yatokee aone kama hatosaidiwa? Kuna ukakasi mwingi sana ktk malalamiko ya huyu mama
Unamsameheaje Mtu asietaka kusamehewa Hata ukimsamehe Wala hajirudi huyu ni shida Mimi Hata kama ntasikiliza nyimbo kwasababu zilo redion Lkn Mimi Urafiki Wao nimeukataa na Mungu kwa Kuwa anajua Yeye atakuwa Jibu Hata hivi nyinyi mtamsema Bite Lkn pengine Mungu alipenda kulileta jambo hili nuruni pengine kupitia Maombi ya mama ndio Mungu kafichua kumbuka mimba Leba, kulea ,Joan hakuusika hakuusikahilo mwenye hekima akumbuke hilo
Sio lazima, coz haezi lazimishwa atunze mzazi wake, na akidida kumtuza basi na hasijibaze kwa uimbaji wa injili, na kutunza mzazi ni amri ya Mungu mkuu, basi kama haezi kuitii hiyo sheria, anatuhubiria Mungu Mgani, weeeee
Inatakiwa itumike akili kubwa sana Ili kumnasua Matha katika sakata hili bila kuacha aibu! Nje ya Hilo Matha atapata aibu kubwa sana! Kajitumbukiza ktk shimo ambalo hakujua hatima yake
Kati ya wote walioliongelea hili jambo wewe tu ubayehojiwa hapa ndio una akili. Walokole wengi wana tabia chafu sana tena sana. Kazi yao ni kujifanya wana maombi na wawazi. Waambie
Mwanamke kama Martha kwenye bibilia anawakilisha wanawake wapumbavu, Mama kaongea vile badala ya kutafuta namna ya kumwomba msamaha unaendelea kukua kimya na kushupaza shingo hiyo ni dharau kwa mama aliyekuzaa. Shusho nae ni walewale hamna lolote pale.
Uko smart sana kaka you're speaking the truth. Kusuka tu ndo sijapenda
Napenda kaka tongue nabaki TU na cheeka ila anaongea ukweli
Kaka unaakili sana jamaniyaani
Umetisha Broo
Ukiangalia vizuri joan alikuwepo
Nimelia sana,ila kakaa wewe unawez kuchekesha ktk uzuni,asante nimekuelewa
Mama wa Martha aliongeA mwanzoni akasema japo ana mume, lkn anaogopa yasije yakamkuta ya ndoa yake ya mwanzo, alipofiwa na mumewe alinyang'anywa kula kitu. Huyu mume wa sasa ana watoto wengine, je ikitokea Mungu kamchukua halafu ndugu au watoto wa mume wakisema aondoke mama atakwenda wapi? Hiyo ndio hofu ya mama, alitaka Martha amsaidie ili naye awe na kwake kwa tahadhari
Nae pia ana mtt nae anaitwa pendo.
Kwaivo waume zake tu ndo watakaokufaga, yeye haezi kufa kabla y mume? Na si asubiri basi hayo yatokee aone kama hatosaidiwa? Kuna ukakasi mwingi sana ktk malalamiko ya huyu mama
Lazima mama awe na Hofu kwasababu amepitia Mengi tuliopita kwenye Moto tunamuelewa sana
Kila. Mtu. Hajui. Ninaniwakutabgulia. Je. Kamamume. Katangulia.
Kwann aliolewa na kashapitia mengi. Hata akisaidiwa vitachukuliwa tu
Umeongea kweli kabisa😊
Martha hana la kuongea .Usagaji ni aibu tu
🥺🥺🥺🥺
Aibu mbaya sana 😂
Tena kwa mlokole kama yeye
Walokole hovyoooo
Kuna uongo mingi coz they say mama anaokota kopo it's like marrha ana onewa
Martha amtunze mama yk,
Mungu ni pendo. huwezi mpenda mungu usie muona. akaacha mama unae muona.
Jamaa anaongea ukweli,biashara tu.Martha katumiwa tu .
Martha atumiwe yeye ni mtoto?
Hatumwachi kabisaa tunae tunae.paka aseme kitu
Hatosema kabisa na katiishwa na watenda kazi mlimani anyamaze kimyaaa.
Joan angejuwa na busara angeondoka kwa Martha au wakaombe radhi mama KASEMA Hata kwa mwanae hapàjui
Twashangazwa sana na mambo yanayo zungumuzwa kuhusu Martha, wa kongomani wasema pole, ila watengeneze mambo yao mapema.
Martha ni mpumbavu hata kuona picha za nyimbo zake hakuna asipo panda mazabaoni kusema kweli na kweli tutaujua tu hata afiche
Uwe na amani martha hapandi madhabahuni kuongea chochote watenda kazi ndio wapo juu ya kulipiga hili na litapita tu.
Ninakubaliana na huyu kaka.Kulimaliza hili swala inabidi Martha ajitokeze kueleza ukweli.Kunyamaza haita solve kitu.
Matha hatojitokeza na haitatokea.watenda kazi wapo mlimani kuliondoka hili katika ulimwengu wa roho.
Mume wa mathar alisema,kuwa shusho ndo kocha wa mathar.
Mwanaume kusuka nywele hasa katika nchi yetu ni kusapoti ushoga MUNGU tusaidie 😢😢😢😢
Unamsameheaje Mtu asietaka kusamehewa Hata ukimsamehe Wala hajirudi huyu ni shida Mimi Hata kama ntasikiliza nyimbo kwasababu zilo redion Lkn Mimi Urafiki Wao nimeukataa na Mungu kwa Kuwa anajua Yeye atakuwa Jibu Hata hivi nyinyi mtamsema Bite Lkn pengine Mungu alipenda kulileta jambo hili nuruni pengine kupitia Maombi ya mama ndio Mungu kafichua kumbuka mimba Leba, kulea ,Joan hakuusika hakuusikahilo mwenye hekima akumbuke hilo
Kabisa
Elimu inaumuimu
Joani mbona alikuwepo😂 na alikuwa anamshoot na simu yake ,, wamenishinda tabis😢
Hawaoni hata aibu
Kumtunza mama yake paka familia iweke vikao na media iingilie Kati🤔
Sio lazima, coz haezi lazimishwa atunze mzazi wake, na akidida kumtuza basi na hasijibaze kwa uimbaji wa injili, na kutunza mzazi ni amri ya Mungu mkuu, basi kama haezi kuitii hiyo sheria, anatuhubiria Mungu Mgani, weeeee
@agnesmutindi3094 Apo sasa.haya NI maajabu makubwa Sana mm nikiskia hii story ya Martha namshangaa Martha Sanaa🤔
Muombeye mwenzenu musi ukumu mwenye ukymu yiko
Ndio wote tabia yao hao! Sasa Shetani Acha Awashughulikie Wanaliaibisha Kanisa!
Mpaka Sasa Shetani Anawatukana Wakristu!
Kuna shida bado wanateteana hivo
Siyo baba wa kufikia ni
Baba mlezi ndugu mpendwa
Huyo matha aombewe na nani akamuombe kwanza mama yake msamaha halafu tutamuombea
Shushu angeonekana wa maana angemchukua mathar hàdi Kwa mama yake wakamaliza kuliko alichofanya ana sport ujinga
Point
Kweli kabisa
Moyosaduku😢😮
Anawaambia mumtolde Mungu sio binadamu
AMINA
Ila ndugu zetu hao wanachekesha
NI KWELI KABISA SHUSHO AMEPOTEA NA SASA AMUKUA WAKALA WA SHETANI. AMEAMUA KUWATOA WENZAKE KAFARA
Joan shetani na martha wasagaji awataenda mbiguni
So uyo martha aishi kama nyie mnavo taka. Alie msema ni mdogo wake na mama ake , Ye kajikakalia kimya bado hamtaki
Jamani tumuombeye marht tunye mupenda ap0 aduwi wanapata nafasi
Usiwe na mashaka martha amebebwa kimaombi tayari na watu wapo mlimani kufa kupona hili nalo litapita
Anaimba Injili huku kasuka Rasta na yeye aitwe mvuta BANGI ?
Kama cc wa kristo ni wanafiki asije akaingia kwenye ibada za kikirsto asije akaingia nyumba ya ibada
😂😂😂😂😂😂 kelele 😂😂😂
Shushoooo👎, Nkone👍.
Inatakiwa itumike akili kubwa sana Ili kumnasua Matha katika sakata hili bila kuacha aibu! Nje ya Hilo Matha atapata aibu kubwa sana! Kajitumbukiza ktk shimo ambalo hakujua hatima yake
Mna matatizo nyie na njaa zenu😅😅😅😅😅😅😅
Wewe nani ? Mungu akubariki sana kwa hekima kubwa sana
Anaitwa Mr Tongenyama
Ni bola kuokoka kuliko kupoteza maisha yake
Aah wapi