SNURA APEWA ZAWADI YA KIWANJA NA MAWIFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    SNURA APEWA ZAWADI YA KIWANJA NA MAWIFI
    #Bonatv #Exclusive

ความคิดเห็น • 50

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +2

    MC kichefu chefuuu sanaaa dooookooo majilaniiii hiyo kwioooooo👌👌👌 hongera sana dd snura

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +6

    Majilan🤣🤣🤣wazaramoo oyeee
    Kwan hata snura c aliimba salali😂

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 ปีที่แล้ว +6

    MC Majilanii zetu🤣🤣🤣🤣🤣 hehehe! Kiswahili kimekwenda Ukraine"🙈🤣🤣🤣🤣

    • @abouassifmabrouk8110
      @abouassifmabrouk8110 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha nimecheka kwa sauti 🤩🤩🤩🤩

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 ปีที่แล้ว

      Kwani sindivo.mnavosema.watu wabara L mwasema.R na R.mwasema.S

  • @esterkilleo2638
    @esterkilleo2638 2 ปีที่แล้ว +5

    Hahahaha sio kwa majilani hao haha jitahidi kutamka maneno kiufasaha kwenye R Isimame kwenye L isimame sema majirani sio majilani khaaaaa

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 ปีที่แล้ว +2

    Kitu cha ajabu kuna maadui wa Snura watakua wanaumia ndani kwa ndani mfano wa Shilole

  • @fatmamohammed2397
    @fatmamohammed2397 2 ปีที่แล้ว

    Mc unachefua unafuja kiswahili lazima kwenye R ueke R na sio L Eti majilani chefuuuuuuu

  • @salhamamake6796
    @salhamamake6796 2 ปีที่แล้ว

    Weeee karibu nijishangae.... Majilani

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 2 ปีที่แล้ว +1

    Majilani, mpoo!!!

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweli majilani 😂😂😂😂kiswahili kigumu

  • @salhaayubu6027
    @salhaayubu6027 2 ปีที่แล้ว +1

    Mc tamka vzr majiran sio majilan khaaa

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 ปีที่แล้ว

    Halafu utakuta jitu linamdharau mwenziwe kisa hajui kizungu wkt ww lugha yko ya kiswahili hukijui Majilani Ndio nn

  • @sophiaabdallah6803
    @sophiaabdallah6803 2 ปีที่แล้ว

    Mume was sunura

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 2 ปีที่แล้ว +3

    Tabia mbaya mtangazaji zawadi ni zawadi hakuna ukristo wala uislam hapo

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 2 ปีที่แล้ว

      Mc_hajielewi_kabisa_harusi_ya_snura_hovyo_mek_up_mbaya_mc_hovyo_eti_Waislam_hawajui_kubeba_Zawad__hovyo

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 ปีที่แล้ว +1

    Wawapi majilaniii

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 2 ปีที่แล้ว +2

    Harahara majilani 🤔🤔🤔🤔

  • @saadakombo4090
    @saadakombo4090 2 ปีที่แล้ว

    Hivi hakukuwa na WA kumshtua jmn majilani hiyo kwani vp.wallah nimecheka kwasauti.mpk jilani kanigongea mlango

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว

    KWANI SANURA ANA KAA CHANIKA

  • @mamacaroline6046
    @mamacaroline6046 2 ปีที่แล้ว

    Hicho kiwanja maneno bila karatasi🤣🤣🤣

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 ปีที่แล้ว

    HARA HARA MAJIRANI ndio patakalika hapo ?

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 2 ปีที่แล้ว +2

    Majilani oyeee

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 2 ปีที่แล้ว

    hahahaa mtangazaji mc umenichekesha hujui kiswahili kwani lazima utangaze

  • @khadijaabdullah6328
    @khadijaabdullah6328 2 ปีที่แล้ว +1

    Mc nyoko udini wa nn sasa apo

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 2 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💃💃💃

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 2 ปีที่แล้ว

    Uongo_mtupu_zawadi_ya_kiwanja_achen_Usanii

  • @maimoonabakari1426
    @maimoonabakari1426 2 ปีที่แล้ว

    Majilan!

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 ปีที่แล้ว

    Hivi ni majirani au majilani

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 ปีที่แล้ว +1

    Mamaharusi inabidi upunguwe umenenepasana

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji chapwa

  • @bahatizuberi9265
    @bahatizuberi9265 2 ปีที่แล้ว

    Hara hara jilani 😆

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃

  • @sajdatomar6025
    @sajdatomar6025 2 ปีที่แล้ว +1

    Majilani flom chanika mpooooo

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว +1

    Unatukera hatari majilani majilani

  • @nusuranusura4688
    @nusuranusura4688 2 ปีที่แล้ว +1

    Mc alkishakuwa na maneno mengi lazima.aharibu ladha ya shughuli. Eti wakristo wengi, waislam.hatutoagi zawadi, tushasahau, sasa hilo neno hapo.limeingia kwa mantiki gani? Au ulijisikia tu kumuharibia snura mwenye shughuli yake pambeee. Kajifunze lugha uache kusema majilani wewe

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 2 ปีที่แล้ว

    Mc kiswahili gan hicho

  • @mayroseclemence99
    @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว

    Kwhy waislam hawatoagi zawadi

  • @safiasaid6715
    @safiasaid6715 2 ปีที่แล้ว

    Majilani

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว

      Jamani majirani duh

    • @rahmaabubakarisaanatu1961
      @rahmaabubakarisaanatu1961 2 ปีที่แล้ว

      Mc please kajifundishe lugha ya kiswahili. Yaani umeharibu shughuli kbs. Kitonga kina madhara yk.