Jamani hawa wamapasa sio kwakufanana du . Ingekuwa miye sijuwi kama ningemujuwa jamani Huyu Mungu anajuwa kuumba kweli hawa miye takuwa tu nauliza mmewangu niyupi ju nisije ndaganyika
Yaaani ni kweli sema mmoja mfupi mwingine mrefu..mm mapacha wangu wa kike wanafanana saaaana na kimo kiko sawa ..hadi mwenyewe nashindwa kuwatambua haraka mpka niwaangalie kuna mmoja ana alama ya baka mkononi..ndo nijue nani ni nani
Aiseeeeee hahahaha nimekumbuka mbali sana...mchumba wangu mm ni mapacha, ilinichukia muda kumtofautisha maana ni brian kwa briton, walifanana kila kitu mpka dimpo wote walikuwa nayo, ilinifanya mpka kuna wakat nikimuona mmoja wao inanilazim nikae kwa kutulia mpka nione action zake, maana wa kwangu ni mpole lkn shemeji ni muongeaj, lkn siku wakiamua kukaa kimya nachanganyikiwa 😂😂😂😂😂......so nilianza kwa kuwachunguza tofauti zao na hapo ni miaka miwili imepita, so nilianza kutafuta tofaut zao ukiachana na uchangamf Lkn nilikuja kugundua utofaut wao mkubwa ni macho, 😂😂😂😂😂...mmoja macho yake akikuangalia sana yanageuka kuwa makengeza na mwengine ni kawaida japo pia yamefanana sana😅😅😅😅na hii mpka leo nisipodeal na macho nachanganyikiwa sana
Mapacha wa Mchungaji wetu msaafu Mchg Ntele na Wana Praise team wetu KKKT wazohill David and Gidion Ntele. Hongera sana David Hakika utumishi wako unaonekana
Hongera ndugu zangu wa kisarawe nimepata faraja sana kuwaona Brothers long time since 2012
Mbingu zinaona na ardhi ikawe shahidi siku Moja na mm nikawe mama wa mapacha wanaofanana ee Mungu tia muhuri ktk hili
Wow I like your confidence
Hata mimi napenda Sana watoto mapacha😍😍
Najishikamanisha na maneno haya yamekua kwangu katika jina la Yesu na yamewekwa muhuri wa damu ya Yesu
amina
Mungu wetu ni mwaminifu aombae atapewa Muombe na atakupatia hitaji LA moyo wako
Nawapendaga sana Mapacha kama hawa' Ee YARABBI Nijaalie na Mimi nipate Mapacha kama hawa' YARABBI🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Amin
Salama ACHA t2 mm mwenyew nawatakia Ila mungu atatupa t2 tuendee kumuomba🙏🤝
@@yousifyousif-p7f In-shaa Allah🤲🤲🤲
Amen 🙏
Njoo mm hapa pacha
Walomuona shemeji akimpa ishara wanyooshe kidole
😂😂😂😂 upo makini balaa
Eti
Nimeona
😂😂we ni mfukunyuku😂
hongera Sana college mate, MUNGU akawape furaha katika Safari yenu hii mpya na maisha mema
Nami mungu nijaliee tumbo langu kishike mapacha kama hawa
Amin
Msiwe mnatumia sindano za kuzuia mimba sasa
Mungu nijalie nami mapacha waje wafute machozi yangu
Mwenynzi mungu nibariki siku moj namimi nipate mapacha3
My favourite couples, perusi na mumewe wana kipawa cha uimbaji na uchezaji jmn nawapenda sna
Mm ninao nawao wamefanana asante mungu
Hongera president wetu kljs kwa hatua I .I wish nipate mapacha wakufanana
Napenda mapach pia,naamini siku moja Mungu atanijalia na Mimi,Amen
Hongera sanaa teacher. Binafsi mlikuwa mnanichanganya. Hata hapo nimekosea nilijua bwana harusi ni aliyeondoka😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu nijalie na Mm mtu anipende tufunge ndoa na sie🥹❤❤maa shaa Allah
Mwakan inshallah mwaka huo hautaisha nitabeba mimba yamume wangu halali nawatakua mapacha watatu nitazaa wote wakiwa wazima nanitalea mungu nimwema naamini atanitimizia inshallah
Nashukuru Mungu kwakunipatia mapacha kama hao nazidi kuomba Mungu azidi kuwakuza
Jaman so amaizing hongera dada wako ni wako2
M pia nataman nje kuwa mama wa watoto mapacha naiman mng at ckia maomb yng🤲
Napenda mapacha mungu nijalie na mim
I love this, Ila huu mtihani mgumu aki 😊..
Namuomba Mungu anipe na mimi mapacha kama hawa Jamani Hadi rahaa wamefanana n bibi Arusi uko vizuri 🎉❤
Acha umalaya kwahyo unataka wanaume wote wawili wakulale
Wewe unamaanisha nini kusema wanaume wote wawili wakulale?
I can't wait to see my two boys
😍😍😂 DJ apewe mauwa yake 🎉🎉 pia maan kaitendea haki hii segment 😊😊🔥🔥🙌🏿
Mungu nami siku moja unitendee nam nipate ata wawili tu
Tulisoma wote mrangu ttc congrants ntele david
Mungu Akutendee sawa sawa na haja ya Moyo wako
Mpaka nawaonea wivu❤️
Wamependeza very nice
Hongera sana choir master David ntelee🎉🎉🎉🎉
Saafi biharusi mtarajiwa mzuri Sana na anajiheshimu
We umejuaje kwenye kujiheshim hapo
@@nancyg8664 nalo swali ila nimedanganywa na sura na muonekano.
Kabisaa Dada wa watu anajiheshimu sanaa
Hata ningekuwa mimi nisingekubali shemeji aaibike ishara mhim
Mashaallah.namimi ni pacha nimefurahi mno
As long as ni pacha hata ningekosea tungesolve mbele Kwa mbele 😂😂😂😂
Hongera sanaa kipenz hongera ikawe her kwako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hâta kama wafanane kama nyanya lazima tofaut IPO so anawajua
Utofauti wa kwanza hata style yao ya ndevu iko tofaut 🤣🤣
Mhmhmh kabsa mtu mtu wako hushindwe mjua aaah so kwel hata feelings tu all in all congrats 🥰🤗
Wewe hujawahi kuona mapacha wanaofanana, wakiwa washenzi wanaweza wakakula wote kwa zamu na uaijue kamwe hayo tumeisha yaona sana
Mungu naomba na me nipate twins wa kufanana ❤❤❤❤❤❤❤
❤naipenda sana ❤
Mama yangu mungu akupe maisha marefu kwa kunizaa tukiwa mapacha jaman hakuna kit kizur kama kuzaliwa mapacha 🥰🥰
Mashaa allah wamefanana.
😂😂😂bebe alikua ana tabasamu sana nilihisi kumbe kuhisi kwangu imekua ndivyo ilivyo❤
Angewachanganya sema bwana harusi aliuza code (na kutaja rangi yake ya saa)
Mungu aje anipe namimi mapacha nawapenda sanaaaaaa
Hongera sana
Utofaut wao mwingne alikuw mref kidog 4:18
Congratulations 🎊🎉🎊🎉
Nipe hii baraka we Mungu
Hongere n jmn mumependezaje
Wow pelus wangu nakukubali kipenzi 😊
Mungu unaishi na me nipate pacha wanaofanana sana
My love Gideon nteleeeee❤️😍
Mmoja kamzidi mwenzake urefu kidogo
Congratulations Bro David
Beautiful 🎉
3:05 kabisa kamuonesha na vidoro
Woow dada kaweza
Ukiangalia vizuri ndevu wamemtia tofauti.
Ukimwomba mungu kwa uamninifu hakuna linaloshindikana🙏
Jamani hawa wamapasa sio kwakufanana du . Ingekuwa miye sijuwi kama ningemujuwa jamani Huyu Mungu anajuwa kuumba kweli hawa miye takuwa tu nauliza mmewangu niyupi ju nisije ndaganyika
Yaaani ni kweli sema mmoja mfupi mwingine mrefu..mm mapacha wangu wa kike wanafanana saaaana na kimo kiko sawa ..hadi mwenyewe nashindwa kuwatambua haraka mpka niwaangalie kuna mmoja ana alama ya baka mkononi..ndo nijue nani ni nani
@@lelaiddy6856 hatari sana iyo Mungu niwahajabu sana
Mungu anipe mapacha
Soo beautiful ❤
jaman so beautiful❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah
Wahooo ❤❤❤ beautiful 🎉🎉
Hadi raha
Noma sana hy ila imekaa vyema sana hongera kwa mc
Jamani maashalah
Mapacha ni inshu wakifanana kuwatambua balaa ila mmoja alionyesha ishara mpendenza sana hongereni suti zenu zimewapendenza balaa
😂😂😂😂ila beb alikuwa anacheka😂😂kwa akili zangu ninavyozijua ningeshindwa haki😂
Nice nice♥️👏
Mwenyew ningeshindwaa
Mnependeza so nice
Saa walizovaa zinawatifautisha
Huyu shemeji amemuonyeshe kwa ishara hapo nyie angalieni kwa umakini 😂
Nimeona pia.
Kuna mda walikua wameweka ote ivo vidole 😁😁
Kwan yy sianajua mume wake niyupi
Sio kweli dhana yako tu
Nimeona kabisa anamkatalia
Mwanamke anaraha sana mana akija shemeji anampa tu atajuaje kama nimmewe? Hapo tu amepewa ishala ndio amemjua mmewe halisi
Kali hiyo
Mmoja mrefu mwingine mfupi
Pia waupande wa kushoto mnene kiasi mwenzake mwembamba kiasi
Daah aiseh yet macho
Aiseeeeee hahahaha nimekumbuka mbali sana...mchumba wangu mm ni mapacha, ilinichukia muda kumtofautisha maana ni brian kwa briton, walifanana kila kitu mpka dimpo wote walikuwa nayo, ilinifanya mpka kuna wakat nikimuona mmoja wao inanilazim nikae kwa kutulia mpka nione action zake, maana wa kwangu ni mpole lkn shemeji ni muongeaj, lkn siku wakiamua kukaa kimya nachanganyikiwa 😂😂😂😂😂......so nilianza kwa kuwachunguza tofauti zao na hapo ni miaka miwili imepita, so nilianza kutafuta tofaut zao ukiachana na uchangamf
Lkn nilikuja kugundua utofaut wao mkubwa ni macho, 😂😂😂😂😂...mmoja macho yake akikuangalia sana yanageuka kuwa makengeza na mwengine ni kawaida japo pia yamefanana sana😅😅😅😅na hii mpka leo nisipodeal na macho nachanganyikiwa sana
Ila mmoja katumia ishara bila hivyo asingejua
Kweli
Wooow bravo
❤❤🙌🔥🔥
Mmoja mrefu mwengine mfupi
Alie mfupi mweupe na huyo mrefu maji ya kunde
Mimi nilijua tu kwa ishata ya kucheka sana
Waaoooo nice Bibi harus amshukur xhemel maana....🎉🎉🎉🎉
Goatee zao ziko tofauti....Kuna Mmoja zimepanda mpaka Juu ...mwengine ziko chinichini tu
😊
Kasaidiwa na shemeji yake mara mbili bila hivyo hakuwa na uwezo wa kuwatogautisha sana ila nimeipenda
Nani mwengine anawaza huyu dada alikosea 😂 afu wametofautiana vichwa bwana mmoja nywele zipo nyuma zaid❤
Mmoja anapenda kucheka mmoja kinuno
Shemej katoa ishala na kidole angalien kwa makini
Wala hawafanani sana kiasi cha kumshinda mtu kuwatofautisha 😂😂
Mapacha wa Mchungaji wetu msaafu Mchg Ntele na Wana Praise team wetu KKKT wazohill David and Gidion Ntele.
Hongera sana David Hakika utumishi wako unaonekana
SHEMEJI AMEOKOA JAHAZI.. AMETOA ISHARA 1:58
Mbon Kama alijioneshea yeye 😂😂😂alf akatikisa kichwa Kama amekisea embu angalia vinzur
❤
Mbaka raha jamani na mm natamani mapacha 👨👩👧👦👨👩👧👦
Utofaut wao mwingne alikuw mref kidog 😅😅
Mbona wanafanana sana🤣🤣
Hongera sana David mkawe na amani
Nasty 😊😊
Kweli bint alikuwa making hongera
Uko vizuri