KUISHI NA MWENYE VVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2020
  • #MUBASHARA
    MEZA HURU JANUARI 21, 2020

ความคิดเห็น • 23

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +1

    Ongereeni sana,mmenitia moyo,wengi wananyanyapaliwa na Waume zao na kuachwa solemba,MUNGU Amụmbūle hiyo mwanamme wako,

  • @omaryhassan8789
    @omaryhassan8789 2 ปีที่แล้ว

    Hongera zawadi upo vizuri utafika mbali

  • @edgersenyagwa3583
    @edgersenyagwa3583 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah jamaa nampongeza Sana nijasili Good ameonyesha upendo wa kweli.

  • @lilymsophe4405
    @lilymsophe4405 3 ปีที่แล้ว +5

    Hivi unaweza kupata vvu wakati wa kunyoa nywele saluni

  • @asmitacatering8660
    @asmitacatering8660 3 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe kaka na wewe dada mungu azidi kuwalinda.... Huo ndio upendo wa kweli.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kaka Hamisi kwa upendo wako kwa bi Zawadi.Big up

  • @dianadaniel815
    @dianadaniel815 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namb ya doctor pia Kaka khamix umenifunza kitu hongera Sana nisaidien namb ya doctor plz

  • @mushijohn3626
    @mushijohn3626 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 ปีที่แล้ว

    Hamis Allah akuzidishieni umri waziada

  • @user-gs6st5hk1m
    @user-gs6st5hk1m 11 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga wewe kwani kilamtu apa nduniani nimkamilifu kama haujapata ni mungutu ndie anakulinda

  • @aishanakintu6792
    @aishanakintu6792 2 ปีที่แล้ว +1

    Mina mnyanyapaa kama kapata kwa njia ya uzinzi kama kapata kwa njia ya kupitia kwa wazazi wakati wa kuzaliwa sito mnyanyapaa

    • @neemamalaki8512
      @neemamalaki8512 ปีที่แล้ว

      Wewe ujawahi kutembea na mtu zaidi ya mmoja au kwa bahati tu Mungu amekuepusha upaswi kumnyanyasa hata Kama amepata kwa njia ya kujichanganya.

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukimwi ni biashara

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 ปีที่แล้ว +1

    Katika mahojiano nilisubiri swali la kuwa aliupata wapi au kwa nani lakini sikupata jibu

    • @happynelson1180
      @happynelson1180 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nilisubiri lakini sikupata jibu kuwa aliupata wapi

    • @aminamose7411
      @aminamose7411 ปีที่แล้ว

      😂

  • @aishanakintu6792
    @aishanakintu6792 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi naomba number ya doktal

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huyo zawadi kwa nini alilala nae bila kinga wakati alijua ana maambukizi je angemuambukiza na ndiyo maana huyo zawadi aliambukizwa ukimwi sababu ya kulala na watu bila kujikinga

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 ปีที่แล้ว

      Kinga ya ukimwi kuacha zinaa.Kondomu hazikingi kwani huweza kupasuka