MASHABIKI WA TP MAZEMBE WALIA BAADA YA KIFUNGWA NA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
  • Yanga vs tp mazembe

ความคิดเห็น • 15

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi วันที่ผ่านมา +1

    Nyie makolo mazwazwa sana kule Congo mlitusema yanga mbovu leo tumewafunguka mnasema mbovu na alipotangulia kupata goli mliamini mmemaliza na matokeo yalivyo yanawaumiza

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mulisema TP MAZEMBE mtaifunga YANGAA, Sasa Kiko wapiíiii 7,

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi วันที่ผ่านมา +1

    Wewe hujawai kuifunga mazembe iwe hapa au kwake ko mnaumia makolo

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo la mazembe kamdomo ! Kamdomo!

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 2 วันที่ผ่านมา +1

    Acha kulalamika ww mmezidiwa na Yangaaa

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix วันที่ผ่านมา

    uzeni mech tu zilizo baki

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi วันที่ผ่านมา +1

    Uache kuangalia usiache utajua mwenyewe na umaandazi wako

  • @RamadhaniKambi-f5z
    @RamadhaniKambi-f5z วันที่ผ่านมา +1

    Ww umepasuka na haohao chura kenge ww

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix วันที่ผ่านมา

    ote nyie hamuendi tp uza mech zilizo baki

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u วันที่ผ่านมา

    Kiukweli mazembe wabovu chura kaokota embe chini ya mpera mechi inayokuja chura apati tena matokeo

    • @ZawadiMoris
      @ZawadiMoris วันที่ผ่านมา +1

      Tunza kauli yako

  • @Nassoromohamed-ig7bz
    @Nassoromohamed-ig7bz 2 วันที่ผ่านมา

    hamkawii kusema mletewe malaika

    • @RamadhaniKambi-f5z
      @RamadhaniKambi-f5z วันที่ผ่านมา

      Kuwa ww.malaika ushinde na ngoja zamu yako ije mtoto malaika

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 วันที่ผ่านมา

    Robo mkifika naacha kuangalia mpira mtoto wa juzi mpira hajui maneno mengiiii ww tp mazembe hio uozo unaongea hivyo inauonyesha jinsi gani yanga ilivyo mbovu😢

    • @RamadhaniKambi-f5z
      @RamadhaniKambi-f5z วันที่ผ่านมา +1

      Sio mazembe tu hata ww uwozo tu mala 4 na yatano inakuja mtoto malaika