Sisi wananchi tunasema good good good stuff 👍 I see our country leaders our coach stuff and us supporters allover the world 🌎 we have to say thank you very much to all over us.very happiness. Thank you very much all God bless our country team 🙏 amiin amiin yaarab amiin hakika kwa soote dawar
JAMANI MZIZE ALISILIMU MBONA MNAMNYIMA HAKI YAKE JINA LAKE NI WALIID MZIZE. JAPO VITAMBULISHO NA PASSPORT BADO KUBADILIKA NA USAJILI JINA LA ZAMANI. ILA HUKU NJE TUMWITE WALID. HONGERA KWAKE MBWADUKE MZEE WA DATA KUMPA HAKI MZIZE KILA, MARA KUMUITA WALID.
@elkanakilumbe acha chuki huyo mzize ndo huyo huyo Walid alisilimu kwenye msikiti wa kichangani magomeni kea shelh wa mkoa wa Dat es salaam. Na akachagua jina la Walid yaani la shekh aliemsilimisha kama hujui kaa kimya, ila majina aliyosajiliwa ni yale ya zamani ila atakapobadilisha passport na documents zote sasa huo ubishi wa Mavi kunuka bila sababu
@@Kabeya410Sasa unatumia nguvu hivyo ya nini😂ni kweli Yanga hawajawahi kumsajili Walid ila walimsajili Clement na documents zote umesema zina jina la Clement bado kwahiyo huyo ni Clement hata kama anaitwa Walid huko nje halitambuliki kazini kwake hapo Yanga😂😂😂😂
Kamwe! Kwa iyo umeamua kuifanyia mapambio zinaa? Ww ni mtu wa mpira sifia mpira kufanya mapambio ya zinaa, liwati, ulevi, kamari na uchafu mwengine waachie wasanii wakina Diamond, jielewe usiropoke tu ukiwa mbele ya kamera.
Ally kama ally gusa achia twende kwao mauwa yako baba pamoja mzinze🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Asante. Mwenyekiti. Wa. Wasemaji. Kongole. Sana. Ally. Mimi. Naomba. Namba. Zako. Brother
Sisi wananchi tunasema good good good stuff 👍 I see our country leaders our coach stuff and us supporters allover the world 🌎 we have to say thank you very much to all over us.very happiness. Thank you very much all God bless our country team 🙏 amiin amiin yaarab amiin hakika kwa soote dawar
Mungu azidi kutusimamia hatimaye tufike Robo, Nusu hadi Fainali 🎉🎉🎉🎉🎉
Dogo kamwe ninakuelewa sana mungu akulinde
Yani kamwe usipohojiwa Mimi Huwa Sina amani moyoni kabisa Yani raha yangu uwasimange mpaka wakome
Uyumwamba sio poa 😂😂😂 sio kwamaneno hayo ase big up msemaji wetu
Umependeza sana semaji letu
Nakubal kamwe broo kx nxuli
Ahsante mwenyekiti
Big up sana
Z🔥🔥
Goal la Mzize ni goal Bora la wiki😅😅😅😅😅
Semaji😊
Dukaliko maeneogani mwennyekiti
Lipo Sinza
Umependeza ally
😂😂😂 eti bunju
Unajibu taratibu bila kelele kama yule wa buza kwa mparange
Yaan hapa sasa ndio naamani baada ya kamwe kuzungumza
Sasa B-20 Si unamiliki Club ya Simba 😂😂😂😂
Gusa achia tende kwao
Kweli aly agekuwa fulan agevua kwel
Baba maneno hayo aziz kesho upepo ukikata akituvurugia timu utasemaj
Kwan mwafulani anaxemaje
JAMANI MZIZE ALISILIMU MBONA MNAMNYIMA HAKI YAKE JINA LAKE NI WALIID MZIZE. JAPO VITAMBULISHO NA PASSPORT BADO KUBADILIKA NA USAJILI JINA LA ZAMANI. ILA HUKU NJE TUMWITE WALID. HONGERA KWAKE MBWADUKE MZEE WA DATA KUMPA HAKI MZIZE KILA, MARA KUMUITA WALID.
Yanga hawana mchezaji anayeitwa Walid..
@elkanakilumbe acha chuki huyo mzize ndo huyo huyo Walid alisilimu kwenye msikiti wa kichangani magomeni kea shelh wa mkoa wa Dat es salaam. Na akachagua jina la Walid yaani la shekh aliemsilimisha kama hujui kaa kimya, ila majina aliyosajiliwa ni yale ya zamani ila atakapobadilisha passport na documents zote sasa huo ubishi wa Mavi kunuka bila sababu
@@Kabeya410Sasa unatumia nguvu hivyo ya nini😂ni kweli Yanga hawajawahi kumsajili Walid ila walimsajili Clement na documents zote umesema zina jina la Clement bado kwahiyo huyo ni Clement hata kama anaitwa Walid huko nje halitambuliki kazini kwake hapo Yanga😂😂😂😂
Ila matako yako ndio yupo @@elkanakilumbe
@@JosephineItambukwani vitambulisho haviwezi badirishika Majina? Mbona mimi nimebadirisha mpaka kitambulisho cha Nida
Tuomba utuambie duka hilo lipowapi hapa Dsm au wilaya gani
Sinza makaburin
Kamwe!
Kwa iyo umeamua kuifanyia mapambio zinaa? Ww ni mtu wa mpira sifia mpira kufanya mapambio ya zinaa, liwati, ulevi, kamari na uchafu mwengine waachie wasanii wakina Diamond, jielewe usiropoke tu ukiwa mbele ya kamera.
😂😂😂😂
Goal la Mzize ni goal Bora la wiki😅😅😅😅😅