Saivi Sina haja ya kupoteza muda wangu kusikiliza uchambuzi wa redion, ni Bora kuingiza bando nikusikilize mwamba wangu na sir teacher Mbwaduke a.k.a Mr. Next level 😂😂😂 hekenya saluti ❤
Yes. Generally Mazembe wote walipotea lakini mada hapa ni Kibwana na mtu aliyekuwa akimkaba. Mechi ya 1 kwao DRC walau Kabwit alifurukuta kidogo kwa mfano, alipiga 2 shots zote off target lakini hapa Dar alipotezwa zaidi na kutopiga shuti hadi wakamtoa Dakika ya 70'.
Ww unajua mm sna Boom 💥💥💥
Uko vizuri, ww ndo mchambuzi wangu bora wa msimu
Moja ya mchambuzi mahili Sana usiye na ushabiki WA club na utasaidia Sana kukuza vipaji na kuhamasisha wachezaji kujituma heko Sana MBWADUKE
Mwaduke usisahau kibwana alimpiga mtu chenga hadi akateguka mguu akafuatwa na machela 😂😂😂😂😂😂
Mchambuzi pekee mwenye kujua anachikifanya na asiye na utahira wa ushabiki 🙌🏾🙌🏾
Kabwit alidhibitiwa na Kibwana mpaka dogo akatolewa nje 😂😂😂
UFAFANUZI
Namba ya jezi ya Oscar Kabwit Tshikomb ni 16...siyo 19.
By Mhariri - Mbwaduke Stats 'Spoti Next Level'
Nakuelewa Sana kamanda wa uchambuzi
Yaani hapa bongo mko wawili tu. Wewe na mzinga Ila wewe is the best
Wewe hii kazi umeisomea, hawa wengine wanaojiita wachambuzi kumbe ni wachambuzi wa mchele😅
Kibwana na dickson job ni wachezaji wapambanaji, ving'ang'anizi haswa. Hawakubali kushindwa kirahisi..
Mbwaduke, nakutakia Baraka za MUNGU
Yani kibabage sijawahi mkubalii hata asilimia 1 kibwana mwamba sana.
Jamani mimi huyu mwandishi mi nampenda sana hua anachabua vizuli sana
Asee first half uyo kabwit alimsumbua kibwana mpk sio poa 😂😂 dogo msumbufu sana uyo aseee
Makini snaa kak
Kibwana Shomari anacheza kwa akili sana juhudi na maarifa kwa kiwango chahali yavjuu
Tupo pamoja kaka
Jamaa anameza
Chambuzi langu bora tz ana majungu anaongea fact❤
Ukisema 'ana majungu' maana yake 'anayo majungu'
Matokeo yake badala ya kumsifia unampondea bila ya kujijua!
Usahihi andika;
'hana majungu'
Saivi Sina haja ya kupoteza muda wangu kusikiliza uchambuzi wa redion, ni Bora kuingiza bando nikusikilize mwamba wangu na sir teacher Mbwaduke a.k.a Mr. Next level 😂😂😂 hekenya saluti ❤
Safi sana kibwana s
Big up mchambuzi
Mungu mkubwa katika wachezaji ambao walitufanya wanayanga tuliumizwa kitendo cha kutokumchezesha kwa msim mzima
Simba tuchukue winga huyo badala ya Mutale budo
Mchambuzi wangu bora.........
Abiria uwanjani 😂😂😂
Mbaduke ndiyo mchambuzi wangu wa mwaka , na Bora muda wote mwanzo alikuwa mwalimu kashasha,brow unajua kuchambua mpira mpaka punje ,niite john ojwando
Nice
Exelent football pundit
Yaani mi mbwanduke uchambuzi wako unanifanya ninunue banco la elfu 10
Mchanbuzi pekee ambaye unaongea fact na sio kushabikia mung akutunze akujalie afya njema,
Ila Simba tukiachana na ushabiki na utan, jana yanga wameupiga mwing
Mbwaduke hatari sana wengine wamuige
Sio kwamba TP Wote walipotea? Tusubirie Mechi zilizobakia. Pia tunaomba takwimu za Oscar za mechi ya kwanza kule Congo.😃😃
Yes. Generally Mazembe wote walipotea lakini mada hapa ni Kibwana na mtu aliyekuwa akimkaba. Mechi ya 1 kwao DRC walau Kabwit alifurukuta kidogo kwa mfano, alipiga 2 shots zote off target lakini hapa Dar alipotezwa zaidi na kutopiga shuti hadi wakamtoa Dakika ya 70'.
Mwalimu uposaw
Mwana mahesabu uchambuz wa vitendo
Huyu ndy mchambuzi wa soka sio wambeya wa manze na tandika
Mze wadata emu mchambue mzize saivi kaka ramadhani kutoka nbc na caff
Usihofu. Kwa Mzee wa Data Imeisha hiyo Kiongozi!
Mchambuzi wangu bora......
Hana baya huyu mrugulu ana balaaaaa