Asagwile_-_Subira official video
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 เม.ย. 2021
- Hakuna Rafiki mwema na anaetunza siri ubaya na maumivu yetu kama Moyo moyo ni kitu muhimu saana na mungu anautumia moyo kutudhihirishia makuu yake
subira produced by @walterchilambo
Artist Asagwile
guitar version @jacksolo
director @pacha - เพลง
Shabiki wa 2024 tujuane hapa nipeni like moja
Moyo wangu Tulia Misiba ni muda😭😭🥹 Najuwa una mengi ya kusema na mm ok Moyo una mengi yakuongea….🥹😭😭
Favorite song
Kuwa NA subiraaaaa
AMINA
yess kwenye uvumilivu kuna njia
amen mzee baba lazima tuwe na subira
Kuwa na subira
kaka pamoja sana
Makin sana
Kaka sijawaigi kukungaga nakuona mbar
Blessings
Nimebarikiwa kiukweli Mungu akutumie zaidi
That is big suprise ile nyimbo yangu pendwa kabisa nilokuwa naisubiri waoooooow imenifikiaaa tena vizurii 😍😍💪💪💝💝💝💝....kaka angu @asagwile_ hongera saaanaa hii nyimbo ni jibu la mioyo ya watu.... Mungu azidi kukutumia mafuta ya upako yazidi kumiminika na Mungu akubariki na kukuinua kwa viwango vya juu 👏👏👏👏
Kazi nzuri
Nice work my blood
God bless you
Wanibarik huu wimbo sana kaka
Hatari sana MUNGU akubariki sana kaka
🙏🙏🙏🙏
nakukubali bruh
Imekubalika
Asante sana 🤝 kazi nzuri mkuu, Mungu na a bariki kazi ya mikono yako.
🙏🏼mbona km naanza kutamani kuingi uku kwenye gospel 😇😇😇 mchizi kichiz ngoma kali
Karibu mtumishi
🔥
🥰🥰🥰💖💖
Kaka kazi ni 🔥🔥🔥🔥
Baba baba😭❤️🙌🙌
bro umeuwaaa
My kaka go gooooooo wimbo uliojaa nguvu ya Mungu Asante sana Mungu azidi kukupa maono kupitia karama yako
Ameen
Ameen
🔥🔥
Safi Sana Kaka well done.
Moyo wangu kuwa nasubira umenitia sana moyo brother 💪
Ubarikiwe sana
Hongera Sana kamanda wangu kwa wimbo mzurii Sana wa subira
Sijawai kusikiliza track zako lakin kupitia status ya rich kiskul ndy imenileta uku ..keep up uko vzr sana piga kaz
Shukrani my brother karibu sana
❤🙏Thanks For The Song Brother..!
"UTAFANIKIWA MOYO,UTAKUJA KUSHINDA MOYO...!"
Wimbo mzuri sana
Shukrani
Subira🔥🎹
Nice one Asagwile💯,kila hatua mungu yupo na wewe...one love ❤❤😊
🥳
Wimbo mzuri Sana huu
Mungu akubariki,wimbo mzuri sana keep it up bro..
My favorite song❤
I just love this song.. may the Lord continue using you my brother..❤️❤️
Thanks my sister God bless you
I love this song ❤️
Believing God got us is everything we need. Amen
Ameen
I always appreciate yo hard work brother...since BSS🔥🔥🔥
Asante brother
I can hear Walter chilambos voice mbona hako kwa video
Produced by Walter Chilambo hard lips
@@asagwileofficial4492
From 254🇰🇪🇰🇪Kenya flowing you bro the song is dope I love it good work keep the fire 🔥🔥🔥 burning you are a star 💪💪💪
Blessing
My brother God bless you my name is james ntambwe kutoka kongo kazi nzuri sana napenda tu wasiliane number yangu iyi hapa mimi msaani wa Gospel +243991845227🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ameen