Jamani Jamani Tumaini wana Shangilieni hakika mnajua kutupa raha. Nafurahi kuona mmeanza kuziachia NYIMBO ZA MATUMAINI online. Nilisubiri muda mrefu kwa hamu. Hii Album iko ya kipekee, mlimaanisha hasa kusema Nyimbo za Matumaini. Sasa nausubiri wimbo mwingine NIONAPO AMANI KAMA SHWARI. Mungu Muumba Mbingu na Nchi awabariki awatunze awainue zaidi
Am so happy nimekuwa wakwanza kuview na kucomment on your song. My five year daughter has been singing some of your songs word by word since when she was 4. Lots of Love From Mombasa Kenya. Mungu awabariki sana.
Yule anaye imba lead katika taabu za dunia ana nibariki Sana.
Narikiwa sana na nyibombo zenu
Mungu azidi kuwainua katika uimbaji nabarikiwa sana
Niliutafuta Sana huu wimbo
Kwakweli jambo kuu ni kujiuliza jee jina langu Limeandikwaje kitabuni mbiguni. Lakufanya ni kutubu kila wakati na kuyafanya yampendezayo Mungu.
Mungu awabariki sana wimbo huu naupenda sana wanigusa moyo wangu kwa kiasi kikubwa
Lyrics
Verse 1:
Siitafuti mali,
wala utajiri;
Nataka kwa yakini
nipate Mwokozi.
Chuoni mwa Ufalme,
niambie Yesu,
Jina langu yakini
limeandikwa, Je?
Limeandikwa, Je?
Jina langu huko?
Kitabuni mbinguni,
limeandikwa je?
Verse 2:
Dhambi zangu ni nyingi,
ni kama mchanga,
Lakini damu yako,
Mwokozi, Yatosha;
Kwani umeahidi:
zijapo nyekundu
Zitakuwa nyeupe
ilivyo theluji.
Verse 3:
Mji mzuri sana,
wa majumba makuu,
Walipo malaika,
mji bila ovu;
Wakakapo walio
na mavazi safi,
Limeandikwa sasa,
jina langu huko?
Mungu awabariki sana Tumaini Shangilieni Kwaya. Huduma hii ni maalumu toka kwa Mungu.
Jamani Jamani Tumaini wana Shangilieni hakika mnajua kutupa raha. Nafurahi kuona mmeanza kuziachia NYIMBO ZA MATUMAINI online. Nilisubiri muda mrefu kwa hamu. Hii Album iko ya kipekee, mlimaanisha hasa kusema Nyimbo za Matumaini. Sasa nausubiri wimbo mwingine NIONAPO AMANI KAMA SHWARI. Mungu Muumba Mbingu na Nchi awabariki awatunze awainue zaidi
Amen amen limeandikwa je ee mungu
Congratulations Tumaini shangilieni choir for this blessing song, may almighty God gives bless you all
Nyimbo hizi zimenibariki kabisa. Mubarikiwe pia kiroho
4:17
NICE
Mungu atukuzwe
Poweful
Another great hit, I'm glad I'm the 3rd to write a comment. God bless you guys.....still waiting for you in Scotland
Waooo how my name written their,oooooooh!! Jesus
Nendeni mkaimbe kwa Mkapa
Am so happy nimekuwa wakwanza kuview na kucomment on your song. My five year daughter has been singing some of your songs word by word since when she was 4. Lots of Love From Mombasa Kenya. Mungu awabariki sana.
I am so blessed with this song, this is one of my favorite songs and the holy spirit is moving in it.
Soul moving song, beautiful ❤️
Amina