Kanisa la Aina yake kujengwa DSM/Lina Makaburi 12 ndani na makanisa mengine mawili ndani yake/tazama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025
  • Ni baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya kutukuka kwa msalaba kutoka kituo cha hija cha Pugu Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam
    #breezonlinetv #kanisakatoliki #daressalaam

ความคิดเห็น • 52

  • @estabauna3604
    @estabauna3604 ปีที่แล้ว +12

    Wewe usie na hela ubaki na uchoyo wako. Ila sisi tunao ujua upendo wa Mungu kwetu tutachangia tu kwa ajili ya Sifa na Utukufu wa Mungu.

  • @fredmselle2227
    @fredmselle2227 ปีที่แล้ว +8

    Mungu anisaidie niweke sadaka yangu mahali hapo

  • @issahmwambasi6113
    @issahmwambasi6113 ปีที่แล้ว +1

    WanaJimbo Kuu la Dar es Salaam mmepata hii neema ya kumjengea Mungu nyumba itumieni. Kuna walioishi wakatamani kuifanya kazi hii wamerehemika bila kuifanya, Mungu amewaweka hai sasa kwa kazi hii ili muifanye na jina la kila mwanaJimbo atakayenyoosha na kutoa majitoleo yake kwa kazi hii atakuwa ameweka hazina yake mbinguni ambako hakuna nondo wala kutu za kuharibuni. Mwenyezi awasaidie

  • @rwelamira
    @rwelamira ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli, hii ni fursa ya kuchota Baraka kwa Wana Daresalaam. Changua ujenzi na omba chochote kwa maombezi ya Mama Maria, utafanikiwa papo hapo. Jaribu uone

  • @gracemnyani6848
    @gracemnyani6848 ปีที่แล้ว +9

    Mama Bikira Maria tunaomba usimamie hatua zote za ujenzi

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wote kwani muliandaa kanisa Zuri kweli jamani

  • @venosamamsery9326
    @venosamamsery9326 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atukuzwe kwa kazi nzuri hii. Mungu awabariki

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness ปีที่แล้ว +4

    Fr. Henry Rimisho

  • @uniqueman-uo1cb
    @uniqueman-uo1cb 5 หลายเดือนก่อน

    Linatajariwa kukamikika lini.
    Ni lizuri kwa kweli...

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 ปีที่แล้ว +4

    Halafu kuna vitu vya ajabu vinataka kushindana na kanisa moja takatifu la kitume

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว

      Kanisa ata mshetani watu wanaweza kujenga kigezo si pesa tu

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 ปีที่แล้ว +1

    Tema kuwe na nafas maana siku rukiambiwa tuwe kusanyiko patoshe maana tupo wengi sisi

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 ปีที่แล้ว

    MUNGU ni mkubwa🎉

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo ya makuburi kwa ajili ya maaskofu.....duuu maana yake wakae mkao wa kujiandaa

    • @fredmselle2227
      @fredmselle2227 ปีที่แล้ว

      Sio kidogo aiseee hapo majitoleo ya kweli kwa Mungu yanajitokeza

    • @erastonyika8967
      @erastonyika8967 ปีที่แล้ว

      Maaskofu wengi huzikwa kanisani na makanisa mengi ya kiaskofu yana makaburi yaliyokwisha andaliwa kwa ajili ya maaskofu

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว

      Ni imani kubwa

    • @malifezajrdealf8982
      @malifezajrdealf8982 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kristo alivyojuwa atakufa na siku ya tatu atafufuka. Basi ni wazi hata sisi wanadamu tunajianda kwa fumbo hilo.. huku tukisali na kumwabudu yeye aliye haki.

  • @aminamiraji9032
    @aminamiraji9032 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU ni mwema hashindwi kitu
    Tutalijenga tu Nia tumeshaipata

  • @ushindihalisi7917
    @ushindihalisi7917 ปีที่แล้ว +2

    Kuishi kwingi,kuona mengi.mizimu inaabudiwa.Uchawi si lazima uwe na matunguri,kwenda kinyume na muumba ni uchawi.Utawekaje makaburi kwenye nyumba ya ibada,huo ni uchawi.Muumba ni hachangamani na wafu.

    • @gloryjose2233
      @gloryjose2233 ปีที่แล้ว +2

      Sio lazima uandike, nenda panapokuhusu, tuache wakatoliki tunajivunia ukatoliki wetu na tutajenga Tena kwa haraka kwa msaada wa Mungu

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว +2

      Hayakuhusu, kwa nini unaumia..Kama huelewi na unakwazika,uliza. Huu ni utamaduni wa Kanisa tangu zamani, ni imani kubwa mtu kujiandalia kaburi

    • @issahmwambasi6113
      @issahmwambasi6113 ปีที่แล้ว

      Mungu na akukemee

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu hiyo Kristo alikufa na akafufuka hivyo awamiliki walio hai na wafu kadhalika....

    • @malifezajrdealf8982
      @malifezajrdealf8982 7 หลายเดือนก่อน

      Ni wewe tu ukifa ndiyo utakuwa mzimu. Sisi tutakuwa na bwana yesu mawinguni

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob ปีที่แล้ว

    Hili kitakuwa ni kituo cha utalii cha kiroho

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wakatholiki ni kazi ndogo sana kwetu tutalijenga tu

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hadhi ya Jimbo kuu la Dar es salaam kanisa la Mt Joseph ni dogo sana kuendelea kuitwa Kanisa la Kiaskofu maana kwasasa linazidiwa na Makanisa mapya ya Parokia mbalimbali kwa ukubwa na Uzuri.

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 ปีที่แล้ว

      Kanisa kuu la Mt Yosefu lilijengwa kwa ustadi wa kipekee unaojulikana kama "Gothic " kwa hiyo ni jengo lenye umaridadi wa kipekee na adimu huwezi linganisha na majengo yanayojengwa kisasa. Hivyo limehifadhiwa na sheria ya UNESCO ya uhifadhi wa turathi za dunia haliwezi kufanyiwa marekebisho kama vile kulibomoa ili kulipanua au kulibadilisha umbo/ muonekano wake.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว

    Mjenge Kwa ustadi mkubwa Nyumba ya Mungu

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  ปีที่แล้ว +2

      Sawa msemaji wa waumini

    • @kasakealex5444
      @kasakealex5444 ปีที่แล้ว +4

      Ukiona huwezi bro bora usi comment chochote ,kwani lazima utoe wewe ndio nyumba ya Mungu ijengwe??

    • @ntegrity277
      @ntegrity277 ปีที่แล้ว +1

      @@kasakealex5444 Sorry

    • @ntegrity277
      @ntegrity277 ปีที่แล้ว +1

      @@kasakealex5444 Sorry

    • @kasakealex5444
      @kasakealex5444 ปีที่แล้ว +4

      Sawa kaka ni katika kueleweshana kwa wema tu,maana tukitafakari kwa kina utaona namna Wamisionari walivyofanya kazi ya kujena nyumba za Mungu leo tunawakumbuka sasa na sisi tunaweka nini ambacho kitakua hazina mbele za Mungu kama sio kumshukuru Mungu kwa kumjengea nyumba yake ya Kumwabudu,tunaalikwa sote Kanisa litajengwa na sisi .......Tumsifu Yesu Kristu

  • @augustinopanga9622
    @augustinopanga9622 ปีที่แล้ว +1

    Ina uwezo wa kumchukua watuwangapi?

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 ปีที่แล้ว +1

    KWA SASA UKRISTO UNA MADHEHEBU 47,000 HUO UTAKUWA NI MUENDELEZO TU... SASA MOJA YA VITU MUNGU ALIVIKATAZA NI PAMOJA NA KUSALI KWENYE MAKABURI NA NJIANI

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 ปีที่แล้ว

      Mungu yupi alikataza kusali kwenye makaburi? Maana kuna Mungu Muumba na kuna miungu kama vile mungu wa mwezi Lah na mungu wa jua Akber...sasa wewe unamuongelea yupi?

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza hivi utamaduni wa kuzika viongozi wa kidini ndani ya makanisa ni maelekezo kutoka kwa Mungu?na kama jibu ni hapana utaratibu huu ulitoka wapi?

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 ปีที่แล้ว

      Kwani ni wapi na lini Mungu alitoa maelekezo kwa watu kuhusu namna ya kuzika maiti?

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 ปีที่แล้ว

      Pole sana hakiri nidogo sana nenda ukasome utaelewa.

    • @reginajacob1879
      @reginajacob1879 ปีที่แล้ว

      Unajijibu mwenyewe kuwa ni hapana.

    • @rogath_silayo
      @rogath_silayo ปีที่แล้ว

      Kwani wapi kumeandikwa lazima maiti izikwe nje!!! Onesha kifungu Cha Biblia ambapo Mungu anatoa maelezo ya namna maiti itakavyozikwa???