BILA UOGA MZEE AFUNGUKA "RAIS MAGUFULI BIASHARA SIO NZURI, TUPUNGUZIENI BEI, USHURU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2021
  • JPM katika ziara ya kikazi mkoani Morogoro amewasikiliza wafanyabiashara katika soko Kuu la Manispaa ya Morogoro

ความคิดเห็น • 80

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 3 ปีที่แล้ว +30

    Baba Bakarii kuwakilisha wafanyabiashara wanyonge.. SAFI SANA

  • @jollityjorgan5920
    @jollityjorgan5920 3 ปีที่แล้ว +15

    Baba bakariiii

  • @sharifuhamisi4190
    @sharifuhamisi4190 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyuu baba bakari katika maneno ya kuambiwa jaman au macho yangu!

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaan hapa wanachezea sharubu za magufuli😂mzee umewakilisha wenzio yaan kuna rushwa hapi

  • @sendaalexandre9078
    @sendaalexandre9078 3 ปีที่แล้ว +10

    Mzee wa maneno ya kuambiwa

    • @farhafarhan4393
      @farhafarhan4393 3 ปีที่แล้ว

      Senda Alexandre nilikuwa nafananish nisha wahi kumuona wapi huy mbona sura yake siyo ngeniii

  • @sharifuhamisi4190
    @sharifuhamisi4190 3 ปีที่แล้ว +7

    Kutoka afu 60 kwa mwaka hadi laki 3 na 60 duuh so poa

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 3 ปีที่แล้ว +9

    Eti una miaka mingpi wew 😀😀😀😀😀😀😀

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba Bakari akiwa anatiririka huku akijiamini kabisa mbele ya mkuu wetu,Safi sana

  • @sumaiyusuph8844
    @sumaiyusuph8844 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba bakariiii maneno ya kuambiwa

  • @Manfilly
    @Manfilly 3 ปีที่แล้ว +4

    Aliye muona mzee KAMA (Baba Bakari) wa Maneno ya kuambiwa aje hapo

  • @fahimabdalah5491
    @fahimabdalah5491 3 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania muko n bahati mumepata rais mzuri

  • @mohamedkuchengo9477
    @mohamedkuchengo9477 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu baba bakari wa maneno ya kuambiwa

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu C Mzee Wa Maneno Ya Kuambiwa #Baba_Bakari...!!
    #MzeeKama!!

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa maneno yakuambiwa

  • @simontchaz5272
    @simontchaz5272 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kodi kubwa biashara ngumu sana aiseee

  • @shijacs23
    @shijacs23 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakiona gari tu hao!! :))))

  • @alfredyfredrick8955
    @alfredyfredrick8955 3 ปีที่แล้ว +1

    maneno ya kuambiwa nimekukumbuka mzee

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 3 ปีที่แล้ว

    Eeeehee maneno ya kuambiwa umejieleza vzr tena kwakumshawishi kiongozi bila ya kigugumizi umeokoa wengi mzee

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wa maneno ya kuambiwa!!

    • @emanuelmasele8213
      @emanuelmasele8213 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe Na wew umelitambua eh. Babake Na Stan bakora# Maneno ya kuambiwa

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoza ushuru wa halmashauri wamekimbia

  • @halimamuketi6738
    @halimamuketi6738 3 ปีที่แล้ว

    Semeni alhamdulillah watz

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka raisi aende , viongozi wengne wako wapi

  • @elishakilasi6793
    @elishakilasi6793 3 ปีที่แล้ว +2

    Saf-mzeee

  • @kambiayoubu4923
    @kambiayoubu4923 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kama

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 3 ปีที่แล้ว

    Masikini Wamesaurika wanaitwa walala hoi WABUNGE kilasiku ulaya na madili Rakini leo jpm kama sisi tu sema yeye ndio baba wetu tunamshukuru mungu kutuletea kutoka mbinguni

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +5

    Babake bakar maneno ya kuambiwa 😂😂

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว

    Baba na huku kwenye biashar ya sim haki tete

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 3 ปีที่แล้ว

    Wote kila siku mnaongelea biashara na hakuna kinachofanyika tuacheni na shida zetu!! Wanasisa wanafiki

  • @tegezdomin8363
    @tegezdomin8363 3 ปีที่แล้ว

    Wafanyakazi wa halimashauri huwa wanafanyakazi kuwaumiza wananchi hawaangalii hali za wananchi

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 3 ปีที่แล้ว

    Jamani tuongee ukweli jpm raisi wa watanzania wote kumbukeni mataisi waliopita walikuaje walikua wanawajari watanzania kama hivi!

  • @thekingbudah3711
    @thekingbudah3711 3 ปีที่แล้ว

    Marais Waliopita ukimsimamisha kwenye msafara mnapigwa Risasi wote na Amumuoni. Usogerei walikua Wanasaini mikataba ulaya

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 3 ปีที่แล้ว

    Wazee kama hawa ndyo nguzo imara ya Taifa siyo wale Wazee waoga waoga wanaongelea chinchin

  • @Mohamedkasim2
    @Mohamedkasim2 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama stani kanchukulie mkoba wangu tunomkumbka gonga chin😅😅😅

  • @hamisiwaziri2360
    @hamisiwaziri2360 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo anae ambiwa pia hajui tatizo liko wapi😁
    Tanzania bhana duuh

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว

    Jaman huyu mzeee muuza soko sio wa FILAMU YA maneno ya kuambiwa

  • @mr_kajomba_og43
    @mr_kajomba_og43 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mzee sindo kacheza kwenye maneno yakuambiwa

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa magufuli sasa ni wakati wa kwawezesha wananchi ,Hii Tanzania siyo ya watu wasomi peke yao. Sisi wote ni WTANZANIA, na tunahitaji kuishi kwa raha pia kama Binadamu wengine. kutokuosoma kwetu hakumaanishi sisi hatufai.

  • @paschalnkuba6758
    @paschalnkuba6758 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona tarfa fup

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 3 ปีที่แล้ว

    Nchi hii maish ni magum san maan hyo biashara haina wanunuzi na kodi nying san

  • @expert5898
    @expert5898 3 ปีที่แล้ว

    Sasa inaingilianaje na UOGA hapo?

  • @naivashaazori6233
    @naivashaazori6233 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 ปีที่แล้ว

    WANYOGE HAO WANYONGE POMBE! BEI YA KIZIMBA IMEPANDA MARA 6??? POMBE OYEE NA UTAWALA WAKO NA TAYARI TUMESHALEW😂😂😂

  • @pendopaulo2268
    @pendopaulo2268 3 ปีที่แล้ว

    Bibi

  • @hangayamafenya8883
    @hangayamafenya8883 3 ปีที่แล้ว

    poa.mzee

  • @safakilasa3123
    @safakilasa3123 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba bakari

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 ปีที่แล้ว

    Baba Bakari

  • @abdinasirshukri1218
    @abdinasirshukri1218 3 ปีที่แล้ว

    Ukimaliza miaka 5 raisi tz kuja Kenya tunateseka walai

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

      Mbona Uhuru anafanya vizuri sana jmn...Kenya mnabahati sana

    • @abdinasirshukri1218
      @abdinasirshukri1218 3 ปีที่แล้ว

      @@jedidahbintidaudi8241 magufuli namba moja

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

      @@abdinasirshukri1218 unajuaje? Ona vile Kenyatta anavojenga nchi yake..

  • @mbuganitv3021
    @mbuganitv3021 3 ปีที่แล้ว +1

    kama wewe ni mtoto / ndugu / mchepuko ambae unapewa pesa hela unanunua bando za kukomentia "mitano tena" bila kujua ugumu wa hii pesa like hapa

    • @glorykarim1570
      @glorykarim1570 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa hahahaha wengi awajielewi kabisa😂

  • @mnomahboybright4743
    @mnomahboybright4743 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kama