hongera mzee Warioba, walioiba uchaguzi wa serikali za mitaa, 2024 ni wenye dhamana ya kuusimamia na pale ambapo CCM wameiba basi wamelindwa na wasimamizi na Jeshi la Polisi. Serikali ya CCM haikuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi huru na wa kidemokrasia bali igizo tu ili ionekane kuna uchaguzi wakati ni uhuni mtupu.... Wananchi wote wameona kilichofanyika na hakuna siri tena kuwa uchaguzi huu haukuwa wa haki wala huru ulikuwa uchaguzi wa kijeshi na siyo Kiraia. "Tijitafakari tena ili kulinda amani ya nci yetu"
Iam so proud of this old man, Hakika watoto wake na wajukuu wanajivunia kua nae. Sisi wananchi tunamshukuru MUNGU kwa uwepo wake, azidi kumuweka sababu ndo Mzee pekee aliyebaki mwenye kuweza kukemea na kusema kweli, wengine wote chumia tumbo hadi yule mkuu wa nchi aliyepita
Mungu akubariki sana baba. Akubariki sana wewe na maelfu ya vizazi vyako kama vile alivyotenda kwa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Akupe afya njema na maisha marefu sana. Amina.
Best speech. Hakika vyama vyetu vya siasa vinahitaji kuandaa vijana ambao watakuwa tayari kupambana kwa ajiri ya nchi ni si vijana wa sasa wanaoandaliwa kulinda vyama
Hali ilivyo huku mtaani kwa sasa ni shida tupu. Mioyo ya watu inavuja damu. Kuna chuki inayowaka ndani ya kila anayedhani ameonewa. Wengi hawana imani tena na mtu mwingine mwenye itikadi tofauti.
Mungu akubariki sana Babu mh.warioba hakika unaongea ukweli mtupu lkn sikio la kufa halisikii dawa waache wandelee kushupaza shingo ipo siku hawataamini kitakachotekea,Hakuna tena haki ktk uchaguzi ni uchafuzi tu
Je hawa watu walio penyeza kula bandiya walipewa shilingi ngapi mpaka wafanye hivyo tunasikia wengine walipewa sh 30000 na wengine 100000 je hawa ni wazarendo au ni wachumia tumbo
Kiukweli mzee umeongea mengi mazuri lakini umeingiwa na hofu mpaka unamtenga Rais na CCM kwenye haya ya uchafuzi lakini cc tulioko huku chini ndo tumeshuhudia namna CCM na serikali vilivyoshirikiana katibu wa CCM na mkuu wa wilaya ambavyo walivyokuwa wakishughulikia uenguwaji kupitia ofisi ya Das Ukweli nikwamba kuanzia ikulu mpaka kwa katibu wa Tawi wameshirikiana Moja kwa moja
Tunapopiga kelele za Tume Huru na Katiba Mpya ya Vyama vingi haikueleweka. Wakubwa wakatangaza kwamba kuna Tume Huru ya uchaguzi itakayosimamia Uhuru na Haki. Sasa ni wazi kwamba tunalazimishwa kuchukiana na kuuana wao kwa wao na anayelisimamia hilo ni CCM. Wapenda haki tunaweza kukata Rufaa kwa Mungu aliye na HAKI. Kuna watu Mungu atawaaibisha na kuwashusha chini.
Mzee mwenyekiti wa CCM anawezaje kuwa siyo serekali? Serekali, amirineshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama aliyeyaweka majeshi kwenye hali ya tahadhari ni mwenyekiti wa CCM. Siyo CCM kwa vipi? Baba yangu wewe nakupenda sana. Mzee Warioba jitoe CCM uwe neutral kwa Maslahi ya Mama Tanzania. Ushauri wangu kwako, jitafuteni wazee mnaolipenda Taifa hili, undeni umoja wa wazee wasiyofungamana na vyama vya kisiasa kuvishauri vyama na serekali yoyote itakayokuwa madarakani kwa maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania.
Watz tuwache kudhania vipi kabla ya kujuwa ukweli wameropoka sana kuitusi serikali na chama cha ccm haya sasa hiyohiyo serikali ndio iliyowakata hao wahalifu m,babakia kujisuta nyoyo zenu
Huyu mzee mm hata kumsikiliza naona kichefu chefu pumzika mzee kama wenzio shida nn au bado unatamani madaraka wazee wenzio wote wamepumzika tatizo nn umri huwo bado unahangaika na vyombo vya habari hatari tunajua kuwa upo mzee.
Yani leo Mzee wangu umenifanya nimtazame Mama kwa jicho la tofauti, kumbe MAMA alikuwa na nia njema ila MANYANG'AU YANAYO MZUNGUKA ndio changamoto. Mama aendelee na msimamo na ikimpendeza Mungu atupe KATIBA Mpya tumpe Mitano tena.
Huwezi kumuengua Mama na machafu haya, hiyo ni serikali yake na maagizo yanatoka kwake, kama hausiki angetoa kauli na angewachukulia hatua. Hapo Mzee wetu katumia busara tuu kutomtaja moja kwa moja, kamsema indirect msg imfikie
nasemaga huyu mzee hayuko sawa na hii inatokana na kilevi anachotumia itakuwa kishaanza kumwathiri, haiwezekani wewe umri huu badala ya kutulia kuanza kuswali na kutubu yeye ndio kwanza anaanza kushabikia nchi iingie vitani kwa kuwasapoti vijana kisa eti wapo wengi ,ina maana hajajua nchi zote africa ambazo hazina amani waliosababisha hayo walikuwa vijana wa zama zao, mfano somalia ilikuwa nchi iliyotulia sana africa huwezi kutazamia watapigana sabab ina dini moja na kabila moja na lugha moja,lkn vijani wa enzi hizo wakaona utulivu na amani waliyonayo haiwatoshi wakataka kutest mapigano yanafananaje yalipokuja ndio mbaka leo yamekataa kuondoka, sudan ni vijana walioona Bashir kuwa amani na maendeleo yoote yale aliyowapatia hayafai wakasema ngoja tutest vita , walipoibipu tu imefika haraka wakowapi sasa? waangalie wanavyolia sasa hivi wasudan wanatamani bashir arudi lkn haiwezekani, wanatamani amani lkn ishaondoka too late, sasa wamegundua ni bora wangemwacha bshiri yule yule waliyemtoa kisa mkate umepanda bei lakn ulikuwepo na wanaupata kuliko sasa hivi haupo kabisa, ki ukweli historia ya binadam inatatanisha saana duniani mtu akipata raha sana itafika wakati atatamani shida aonje radha yake inafananaje, na hii ndio stage tuliyofikia sasa TZ na tumeifikia hii hali miaka mingi sana nyuma ya kuichoka amani na yote hayo yanaongozwa na vijana,mfano ukimfuata leo kijana aliyeandamana na kuleta vurugu mwaka 95,2000 na 2005 hawezi kukubali kuingia mtaani sasa hivi sabab akili yake ishakomaa,hivyo basi ujana kumbe bado ni aina flani tu ya utoto hupaswi kuwachekea na kuwakubalia kwa kila wanachotaka,vitu vingine havijaribiwi, sasa inabidi watu wenye akili wachache waweze kuwaongoza manyumbu walio wengi kuwa hiki mnachokitamani ni sumu kali saana kwao haitestiwi, ukigusa umenasa, ili wajue hatma yao manyumbu wasiseme hawajaonywa siku yatakapotokea ya kutokea, sababu vijana woote akili zao fupi huwa wanakurupuka tu mtu hana mke,hana watoto hana nyumba kikinuka akawa mkimbizi akafia huko huko ukimbizini ana hasara gani?? huwezi ukawategemea vijana sabab ni watu wa kukurupuka kutumia nguvu tu kuliko ustaarabu au akili, leo ukitembea duniani utakutana na wazee wa kisomali wanaopinga sana yanayotokea huko kwao yanayofanywa na al shabab,lkn asikusumbue mzee kama huyu we rudi miaka 35-40 nyuma utajua kuwa miaka hiyo huyu mzee ndio alikuwa kijana na ndio yeye aliyeiharibu nchi yake ingawaje ukimwona sasa hvi unamwona mzee mstaarabu kumbe hana lolote sabab chokochoko za kumwondoa siad barre zilianza miaka ya 85 sio 90, hivyo enyi msio na akili mnaopenda kutumia nguvu kuliko akili na hekma kumbukeni itafika kipindi nguvu zenu zitakwisha je vita ikitokea ndani ya miaka 15-20 baadae vijana wa sasa nguvu zitaanza kuwaishia,je mtatamani amani ndio irudi kisa nguvu zimewaishia nyie tu hamwez kukimbia tena? mkifanya hivyo huo utakuwa ubinafsi ni bora vita iendelee ili vijana wa miaka hiyo nayo waweze kuyatumia maguvu yao,nasema haya sio kuwa siwajali bali nawathamini lkn naona mnapotea na mnafanya kitu kinachojirudia kishafanywa na wengine wengi na matokeo yake tunayajua lkn kwanini hatutaki kujifunza kwa yaliyowapata wenzetu? jibu analo kila mmoja kwenye nafsi yake.

Mzee walioba yupo vizuri sana mungu Akulinde mzee wetu
Baba. Hii ndiyo sababu Mungu amekuweka. Utaishi miaka mingi na Mungu awabariki watoto na wajukuu wako.
Asante baba kwa ushauri wako sahihi usioegemea upande upande wowote.
hongera mzee Warioba, walioiba uchaguzi wa serikali za mitaa, 2024 ni wenye dhamana ya kuusimamia na pale ambapo CCM wameiba basi wamelindwa na wasimamizi na Jeshi la Polisi. Serikali ya CCM haikuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi huru na wa kidemokrasia bali igizo tu ili ionekane kuna uchaguzi wakati ni uhuni mtupu.... Wananchi wote wameona kilichofanyika na hakuna siri tena kuwa uchaguzi huu haukuwa wa haki wala huru ulikuwa uchaguzi wa kijeshi na siyo Kiraia. "Tijitafakari tena ili kulinda amani ya nci yetu"
Iam so proud of this old man, Hakika watoto wake na wajukuu wanajivunia kua nae. Sisi wananchi tunamshukuru MUNGU kwa uwepo wake, azidi kumuweka sababu ndo Mzee pekee aliyebaki mwenye kuweza kukemea na kusema kweli, wengine wote chumia tumbo hadi yule mkuu wa nchi aliyepita
Mungu akubariki sana baba. Akubariki sana wewe na maelfu ya vizazi vyako kama vile alivyotenda kwa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Akupe afya njema na maisha marefu sana. Amina.
Hiyu mzee wetu ameelimika Sana.Very Briant personality
Ubarikiwe sana mzee Warioba kwa mawazo yako
Best speech. Hakika vyama vyetu vya siasa vinahitaji kuandaa vijana ambao watakuwa tayari kupambana kwa ajiri ya nchi ni si vijana wa sasa wanaoandaliwa kulinda vyama
Hali ilivyo huku mtaani kwa sasa ni shida tupu. Mioyo ya watu inavuja damu. Kuna chuki inayowaka ndani ya kila anayedhani ameonewa. Wengi hawana imani tena na mtu mwingine mwenye itikadi tofauti.
Huyu Sasa ndiye baba yetu kwa Sasa....ni bahati sana kuwa bado tunaye mzee wetu
Nimewaza sana kama wewe aisee
Shida wananchi tunapenda lusha sana
Mungu akulinde na kukutunza Mzee Warioba(wewe ni TUNU ya Watanzania)
Mngu akulinde Mzee wangu uishi maisha marefu Ubinafisi kwako ni mwiko nimeamini leo
Ndio maana tunasema ccm ya akina warioba na Nyerere iliisha kufa iliyobaki ni ya wezi,,wauaji ,,,wezi wa kura na watekaji
Mzee umeongea ukweli na umetoa tahadhari kwa tunakokwenda.
Hongera sana Mzee wetu umeona mengi nchi hii Tina imani ushauri wako utasikilizwa.
Hivi Mzee Stephen Wasira wewe ni mtu wa aina gani? Kwanini huwezi kuwa mwanaume kama Kaka yako huyu?
Kuna wazeee na kuna mzee warioba
Number CCM kuandikisha wanafunzi mlianzia mbali
Mambo yameharibika Kikwete kimya yeye anaangalia kushiba tu
Haya maneno hayaanguki chini.
Iko siku yatatoa matokeo.
Ndipo kila Mtu atayakumbuka.
Mungu akubariki sana Babu mh.warioba hakika unaongea ukweli mtupu lkn sikio la kufa halisikii dawa waache wandelee kushupaza shingo ipo siku hawataamini kitakachotekea,Hakuna tena haki ktk uchaguzi ni uchafuzi tu
TBC Shirika letu la UMMA lipo hopo? Nisaidieni jamani
Je hawa watu walio penyeza kula bandiya walipewa shilingi ngapi mpaka wafanye hivyo tunasikia wengine walipewa sh 30000 na wengine 100000 je hawa ni wazarendo au ni wachumia tumbo
Wachumia tumbo wadowado wanao sawishiwa na wachumia tumbo wakubwa wakubwa ambao ndo mapapa wenyewe
Hao ni wachumia tumbo na ndio wanaotuponza na kulididimiza taifa
Asiposema Mzee Warioba na Butiku, hakunaga mwingine tena!
Siku yakitokea machafuko nchi hii, wakulaumiwa watakua ni hawa walioweka mifumo inayokandamiza wengine!
Kiukweli mzee umeongea mengi mazuri lakini umeingiwa na hofu mpaka unamtenga Rais na CCM kwenye haya ya uchafuzi lakini cc tulioko huku chini ndo tumeshuhudia namna CCM na serikali vilivyoshirikiana katibu wa CCM na mkuu wa wilaya ambavyo walivyokuwa wakishughulikia uenguwaji kupitia ofisi ya Das
Ukweli nikwamba kuanzia ikulu mpaka kwa katibu wa Tawi wameshirikiana Moja kwa moja
Hii ndiyo hekima ya wazee wote! Unajizuia kutaka watu moja kwa moja.
Yaliofanyika ni kwa maslahi binafsi
Ni laana
Mzee kaongea ukweli ila watanzania hawaheshimu wzee
Mbona huwa tunasikia wakijiita serikali ya chama cha....................
Mzee wetu anajibu kwabusara sana
Tupate Mwamba mmoja tu atusaidie kuweka mambo sawa atupe katiba mpya kisha akabidhi nchi
Mh sijaelewa hapo vijana wa uvccm wamefanya ukatili mkubwa sana unaitoaje ccm na ukora?
Tunapopiga kelele za Tume Huru na Katiba Mpya ya Vyama vingi haikueleweka.
Wakubwa wakatangaza kwamba kuna Tume Huru ya uchaguzi itakayosimamia Uhuru na Haki.
Sasa ni wazi kwamba tunalazimishwa kuchukiana na kuuana wao kwa wao na anayelisimamia hilo ni CCM.
Wapenda haki tunaweza kukata Rufaa kwa Mungu aliye na HAKI. Kuna watu Mungu atawaaibisha na kuwashusha chini.
Tutasikia kapotea
Kwan wao ni mawe? Ni muda tu, ila ni HEKIMA na akili, tujifunze kwa farao, hakuna aliyekuja kuota
Mbona mmekata alichoongea Mkumbu akinukuu kauri za Mwl NYERERE?
Kwakweri hakuna shida
Mzee mwenyekiti wa CCM anawezaje kuwa siyo serekali? Serekali, amirineshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama aliyeyaweka majeshi kwenye hali ya tahadhari ni mwenyekiti wa CCM. Siyo CCM kwa vipi? Baba yangu wewe nakupenda sana. Mzee Warioba jitoe CCM uwe neutral kwa Maslahi ya Mama Tanzania. Ushauri wangu kwako, jitafuteni wazee mnaolipenda Taifa hili, undeni umoja wa wazee wasiyofungamana na vyama vya kisiasa kuvishauri vyama na serekali yoyote itakayokuwa madarakani kwa maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania.
Watz tuwache kudhania vipi kabla ya kujuwa ukweli wameropoka sana kuitusi serikali na chama cha ccm haya sasa hiyohiyo serikali ndio iliyowakata hao wahalifu m,babakia kujisuta nyoyo zenu
😊😊
Mzee ccm ndo wanaotoa maagizo huwezi tenganisha ccm na serikali
Ni Serikali ya CCM
Huyu mzee mm hata kumsikiliza naona kichefu chefu pumzika mzee kama wenzio shida nn au bado unatamani madaraka wazee wenzio wote wamepumzika tatizo nn umri huwo bado unahangaika na vyombo vya habari hatari tunajua kuwa upo mzee.
Yani leo Mzee wangu umenifanya nimtazame Mama kwa jicho la tofauti, kumbe MAMA alikuwa na nia njema ila MANYANG'AU YANAYO MZUNGUKA ndio changamoto. Mama aendelee na msimamo na ikimpendeza Mungu atupe KATIBA Mpya tumpe Mitano tena.
Huwezi kumuengua Mama na machafu haya, hiyo ni serikali yake na maagizo yanatoka kwake, kama hausiki angetoa kauli na angewachukulia hatua. Hapo Mzee wetu katumia busara tuu kutomtaja moja kwa moja, kamsema indirect msg imfikie
RIP JPM
Hebu mzee pumzika usitake sifa
Hutaki aseme ukweli Kwa maslahi ya Nani?
Wewe kalale huyu aneshuhudia tunapata uhuru wewe umezaliwa hujuhi hata historia ya nchi yako
nasemaga huyu mzee hayuko sawa na hii inatokana na kilevi anachotumia itakuwa kishaanza kumwathiri, haiwezekani wewe umri huu badala ya kutulia kuanza kuswali na kutubu yeye ndio kwanza anaanza kushabikia nchi iingie vitani kwa kuwasapoti vijana kisa eti wapo wengi ,ina maana hajajua nchi zote africa ambazo hazina amani waliosababisha hayo walikuwa vijana wa zama zao, mfano somalia ilikuwa nchi iliyotulia sana africa huwezi kutazamia watapigana sabab ina dini moja na kabila moja na lugha moja,lkn vijani wa enzi hizo wakaona utulivu na amani waliyonayo haiwatoshi wakataka kutest mapigano yanafananaje yalipokuja ndio mbaka leo yamekataa kuondoka, sudan ni vijana walioona Bashir kuwa amani na maendeleo yoote yale aliyowapatia hayafai wakasema ngoja tutest vita , walipoibipu tu imefika haraka wakowapi sasa? waangalie wanavyolia sasa hivi wasudan wanatamani bashir arudi lkn haiwezekani, wanatamani amani lkn ishaondoka too late, sasa wamegundua ni bora wangemwacha bshiri yule yule waliyemtoa kisa mkate umepanda bei lakn ulikuwepo na wanaupata kuliko sasa hivi haupo kabisa, ki ukweli historia ya binadam inatatanisha saana duniani mtu akipata raha sana itafika wakati atatamani shida aonje radha yake inafananaje, na hii ndio stage tuliyofikia sasa TZ na tumeifikia hii hali miaka mingi sana nyuma ya kuichoka amani na yote hayo yanaongozwa na vijana,mfano ukimfuata leo kijana aliyeandamana na kuleta vurugu mwaka 95,2000 na 2005 hawezi kukubali kuingia mtaani sasa hivi sabab akili yake ishakomaa,hivyo basi ujana kumbe bado ni aina flani tu ya utoto hupaswi kuwachekea na kuwakubalia kwa kila wanachotaka,vitu vingine havijaribiwi, sasa inabidi watu wenye akili wachache waweze kuwaongoza manyumbu walio wengi kuwa hiki mnachokitamani ni sumu kali saana kwao haitestiwi, ukigusa umenasa, ili wajue hatma yao manyumbu wasiseme hawajaonywa siku yatakapotokea ya kutokea, sababu vijana woote akili zao fupi huwa wanakurupuka tu mtu hana mke,hana watoto hana nyumba kikinuka akawa mkimbizi akafia huko huko ukimbizini ana hasara gani?? huwezi ukawategemea vijana sabab ni watu wa kukurupuka kutumia nguvu tu kuliko ustaarabu au akili, leo ukitembea duniani utakutana na wazee wa kisomali wanaopinga sana yanayotokea huko kwao yanayofanywa na al shabab,lkn asikusumbue mzee kama huyu we rudi miaka 35-40 nyuma utajua kuwa miaka hiyo huyu mzee ndio alikuwa kijana na ndio yeye aliyeiharibu nchi yake ingawaje ukimwona sasa hvi unamwona mzee mstaarabu kumbe hana lolote sabab chokochoko za kumwondoa siad barre zilianza miaka ya 85 sio 90, hivyo enyi msio na akili mnaopenda kutumia nguvu kuliko akili na hekma kumbukeni itafika kipindi nguvu zenu zitakwisha je vita ikitokea ndani ya miaka 15-20 baadae vijana wa sasa nguvu zitaanza kuwaishia,je mtatamani amani ndio irudi kisa nguvu zimewaishia nyie tu hamwez kukimbia tena? mkifanya hivyo huo utakuwa ubinafsi ni bora vita iendelee ili vijana wa miaka hiyo nayo waweze kuyatumia maguvu yao,nasema haya sio kuwa siwajali bali nawathamini lkn naona mnapotea na mnafanya kitu kinachojirudia kishafanywa na wengine wengi na matokeo yake tunayajua lkn kwanini hatutaki kujifunza kwa yaliyowapata wenzetu? jibu analo kila mmoja kwenye nafsi yake.
Hakili wewe uja usikuze kwanza alafu andika uo ujinga saw
@KessySalum kama wewe una hizo akili unakijua hichi ulichokiandika?
Hii ni akili ndogo Sana ya kufikiri juu ya Mzee huyu. Na haya ni madhara ya ugonjwa WA uchawa.