ZUMARI || Profesa Issa Shivji - Historia yake na usiyoyajua
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024
- PROFESA ISSA G.SHIVJI
PROFESA STAHIKI WA CHUO KIKUU DSM
1970-2006 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha DSM
2008-2013 Profesa wa Mwl.Nyerere katika Umajmui wa Afrika
2020 Profesa Stahiki wa Chuo Kikuu cha DSM
Japhari Ameri Mponda hongera Sana, Nakufananisha na Mtangazaji wa Itv zamani John Ngayoma. Hatunaye saiv mnashahabiana.
Mzee mzalendo sana huyu,nimempongeza sana alivyo fafanua swala la bandari,tunapuuza wataalamu wetu.Mungu akulinde sana Prof Shivji.
Wow jafari mponda........ Ni vema Sana kuwasikiliza watu bobevu wa masuala mbalimbali.... Hapo unafanya kazi kubwa ya kurithisha kizazi elimu suluhisho kwa jamii...... Kongole kwa hilo
❤
👁️👁️🇫🇮🤝
Prof, Issa G, Shivji wewe ni matunda ya kilosa, je fadhila zipi umeresha kilosa ukiwa na wasomi wenzio akiwepo Ledgar Chilla Tenga?.
Umemsahau profesa kabudi