MKUU WA ANGA By Pastor Myamba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
    This is the Official TH-cam Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
    -----------------------
    For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
    -----------------------
    Follow Us:
    Instagram: / pastormyamba
    Facebook: / pastor-myamba-12973112...
    TH-cam: / pastormyamba
    Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030

ความคิดเห็น • 161

  • @danielcharo2018
    @danielcharo2018 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe jitahidi kuwaleta wasanii kwa Yesu

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 ปีที่แล้ว

    Amina Mchungaji nabarikiwa sana. Mungu azidi kukutumia.

  • @jjm4583
    @jjm4583 5 ปีที่แล้ว

    amina sana pastor miyamba

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana pastor!

  • @byshabani
    @byshabani 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @wolterthobiassy3191
    @wolterthobiassy3191 3 ปีที่แล้ว

    amen mtumishi barikiwa sana

  • @samsonngweina5048
    @samsonngweina5048 3 ปีที่แล้ว

    Amen somo tamu na Kali Sana pastor

  • @matirdamussa6343
    @matirdamussa6343 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Pashonews
    @Pashonews ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @maikommbaga1576
    @maikommbaga1576 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @angelakalambo2188
    @angelakalambo2188 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @kapyelumusic344
    @kapyelumusic344 3 ปีที่แล้ว

    Aminaa baba

  • @saidshija892
    @saidshija892 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu akulinde usiku hata mchana pambana

  • @mozaekela5449
    @mozaekela5449 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wangu

  • @akizimanaandrekelven6060
    @akizimanaandrekelven6060 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji msahada wenu ndugu zangu katika roho ya kikristo . Nina kitu ndani yangu na sikifahamu . Naitaji nije Tanzânia. Kwajili ya uduma sana.

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 ปีที่แล้ว

    Kwani watu ambao wana dislike mambo ya mungu shida yao n nn kusema kweli

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 4 ปีที่แล้ว

    Kweli ulistahiki kuitwa Pastor

  • @agnesschirstian9226
    @agnesschirstian9226 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaamina saaana.uko sawa kabiisa na unaeleweka saaaana.Mungu wa mbinguni na azidi kukutunza.

  • @stanleyhenrish1055
    @stanleyhenrish1055 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe mtumishi kuna kitu umenifungua sasa mkuu wa anga atanitambua kwa jina la Mungu alie hai

  • @rehemalintu6611
    @rehemalintu6611 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana,kwani hata kwenye maigizo ulikuwa ukionyesha uhalisi

  • @veronicajerome1184
    @veronicajerome1184 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sans pastar Kwa SoMo rako Suri sans nime barikiwa sans

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 ปีที่แล้ว

    Daah! Haya mahubiri yamenigusa sana, hata Mimi huwa napanga kuamka ucku kuomba lkn siwezi ,kuanzia sahizi ntaweza kwa jina la yesu kristo.

  • @Laurent_Minister.
    @Laurent_Minister. 5 ปีที่แล้ว

    Asante Sana pasteur kwa kwakutufundisha Nini maana ya mkuu wa anga MUNGU akubariki Sana

  • @ayobumwakila6259
    @ayobumwakila6259 6 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana mtumishi na mungu akuzidishie karama na vipawa zaid ili neno lisonge mbele
    napend sana kupata mwalimu wa neno

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 4 ปีที่แล้ว

    Amen Glory be to God

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 6 ปีที่แล้ว

    barikiwa baba mungu azidi kuku tunza na kuku bariki.

  • @karolinamalimi2606
    @karolinamalimi2606 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana pastor mafundisho yako mazur sana

  • @salmsalma89
    @salmsalma89 6 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumish mungu azidi kukupaka mafuta

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 6 ปีที่แล้ว +1

    songa mbele pastor..unaokoa roho nyingi..I'm your big fan

  • @georgesalutary1078
    @georgesalutary1078 2 ปีที่แล้ว

    Pastor myamba Nina shida na maombi yako nimeokoka nampenda yesu kristo naitwa George salutary matilya shida yang ni kwa Sasa na wiki tatu nipo nyumban sijapata mafanikio pia Nina mchumba Wang amenichana kwa sababu Sina uchumi Wang ipo vibaya

  • @axerkinota3510
    @axerkinota3510 5 ปีที่แล้ว

    Amen Pastor

  • @everkibiki5176
    @everkibiki5176 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa san mtumishi ubarikiwe baba .

  • @edwardmayumba8094
    @edwardmayumba8094 6 ปีที่แล้ว +1

    Thanks a lot!

  • @tumainikyomo5646
    @tumainikyomo5646 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mtumishi

  • @fitnessmadness9193
    @fitnessmadness9193 5 ปีที่แล้ว

    Nimejazwa na mafunzo yako barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @francismwita5828
    @francismwita5828 6 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa mungu

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 5 ปีที่แล้ว

    Amen warching in saudia Arabia

  • @stewartmillanzi1596
    @stewartmillanzi1596 6 ปีที่แล้ว +1

    That's awesome.

  • @pastorjohnmburu6048
    @pastorjohnmburu6048 6 ปีที่แล้ว +1

    This is very powerful and timely

  • @sarahjackson4199
    @sarahjackson4199 6 ปีที่แล้ว

    ASANTE mtumishi mungu akubariki kwa mafundisho

  • @gracealongak4650
    @gracealongak4650 5 ปีที่แล้ว

    Ameen. Hii ndiyo INJILI YA YESU.

  • @jacksonmwandiki449
    @jacksonmwandiki449 6 ปีที่แล้ว +1

    Pastor Mungu akubariki sana uwa unanibariki sana na mafundisho yako mimi ni mchungaji pia kutoka Kenya na ningependa kufanya kazi ya Mungu pamoja na wewe

  • @petereliyamagola6061
    @petereliyamagola6061 6 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Mtumishi

  • @petumuhana739
    @petumuhana739 6 ปีที่แล้ว +1

    Somo muhimu sana, barikiwa sana pastor kwa fundisho zuri .

  • @annaallex3996
    @annaallex3996 6 ปีที่แล้ว

    amina mtumishi WA mungu nilikua nasubiri nimuone you tube

  • @FestoMtumbe
    @FestoMtumbe 6 ปีที่แล้ว

    Wow Goooood

  • @pearltz
    @pearltz 6 ปีที่แล้ว +1

    nimefurahi saana na nimebarikiwa saana

  • @joemuberwa3078
    @joemuberwa3078 6 ปีที่แล้ว

    Amen Ubarikiwe mchungaji

  • @stevenlukumay5517
    @stevenlukumay5517 6 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa Mungu kanisa yako Iko kipande ngani ukiwa ndarisalam?

  • @clementjames7274
    @clementjames7274 6 ปีที่แล้ว

    mimi ushauri wangu ungetoka huko kwenye maigizo uifanye kazi ya Mungu

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 ปีที่แล้ว

    mtumishi mungu akubariki sana endelea kutufundisha tuzidi kuelewa zaidi

  • @bernardchibwana495
    @bernardchibwana495 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaaahh nakukubali sana we bro!! Mungu akujaalie

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana man of God nimepata kitu muhimu sana ktk mwendo wa maombi

  • @rahelbrian6550
    @rahelbrian6550 6 ปีที่แล้ว

    Amen Mungu akubariki kwa somo la mkuu wa anga Mungu atutete bila yy hatuwez

  • @nathanliberty1453
    @nathanliberty1453 6 ปีที่แล้ว

    ameen Mchungaji

  • @isacktesha8114
    @isacktesha8114 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana pastor ,hongera kwa ujumbe mzuri

  • @justinjkihomboffuwayesu4368
    @justinjkihomboffuwayesu4368 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa saaana

  • @eliezamalekela1115
    @eliezamalekela1115 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @alphocekatambi3820
    @alphocekatambi3820 6 ปีที่แล้ว

    Pasta miamba ubalikiwe mtumishi

  • @carolinaakyoo1913
    @carolinaakyoo1913 5 ปีที่แล้ว

    ooooo niombee na mm

  • @jacklinemugisha4463
    @jacklinemugisha4463 6 ปีที่แล้ว

    Amena

  • @phaikapaya491
    @phaikapaya491 6 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @bernardlaughter7600
    @bernardlaughter7600 6 ปีที่แล้ว

    amen. ubarikiwe. praise Lord

  • @ccyuutz8358
    @ccyuutz8358 6 ปีที่แล้ว

    asante mtumishi wa Mungu

  • @neilahomar2307
    @neilahomar2307 6 ปีที่แล้ว +3

    I like you pastor just pray 4 me haki

  • @leahmarthalucas4184
    @leahmarthalucas4184 7 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana pia mie nafatilia saana kaz zako MUNGU azidi kukuongoza

    • @epiphaniekamanzi8820
      @epiphaniekamanzi8820 6 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana pasteur nilikuwa nakuona naminasemaka unastahili kuwa pst kumbe uko pst minafurahii sana kbs

  • @victortemba8202
    @victortemba8202 6 ปีที่แล้ว

    Aimen mtumishi wa MUNGU

  • @mgimbaam5003
    @mgimbaam5003 6 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa mtumishi

  • @calelisatalia3821
    @calelisatalia3821 7 ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor be blessed to this good news

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 7 ปีที่แล้ว +4

    Amen...thanks pastor kwamafundisho ya kiroho.May God bls you.

  • @elizabethyamy2705
    @elizabethyamy2705 6 ปีที่แล้ว +7

    duuuuuh nimechelewa sana kama leo kujua kama wewe ni pasta nilikuwa najua nimaigizo to na nikwa mda mrefu kufahamu upasta wako kupitia muvic lakini leo ndiyo nimejua kuwa kumbe umpa kwa mafuta wa bwana ubarikiwe sana mtumishi nimejifunza sana kwenye hi somo

  • @mtctz9844
    @mtctz9844 7 ปีที่แล้ว +2

    Amen!!!!
    Mungu akutiye nguvu

  • @geofreymligo7553
    @geofreymligo7553 6 ปีที่แล้ว

    safiiii sana EMANUEL mama ako angelikuepo duniani angefurahi sana ulikua mtoto wa kiume peke

  • @PastorMyamba
    @PastorMyamba  7 ปีที่แล้ว +16

    Amina watumishi wa Mungu

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 6 ปีที่แล้ว

    Pastor. Am from Kenya. Napenda sanaa mafundisho yako hua nasikiza kwa makini ndiposa niweze kua mtu mwema machoni pa Mungu Baba..lakini nmeshindwa kabisa. Watu huniona mtu mwema saaanaa. Lakini hakuna wema ndani yangu...Vitendo vyangu vya giza na vya kisirisiri havifuanani na Mimi kabisa .Am 24yrs how I wish ningemjua Mungu kwa kweli. Wakati huu. ..Mara nyingi hua natenda vitu ambavyo nishajinenea sitazitenda....Kwa upendo wa Mungu Mwenyezi niombe saaana Ubarikiwe zaidi mchungaji.. zidi kufundisha.. Mimi ni mtenda Dhabi mkubwa zaidi machoni pa Mungu aliye hai. hata kwa wanadamu.. Am waiting for any reply

    • @PastorMyamba
      @PastorMyamba  6 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni mwema atakubadilisha tu,endelea kufuatilia neno la Mungu mahali hapa utapata nguvu za kubadilika kwa jina la Yesu

    • @pastorjohnmburu6048
      @pastorjohnmburu6048 6 ปีที่แล้ว

      I would love to talk to you ,call me 0723427 941

  • @matthewwachealsea5818
    @matthewwachealsea5818 7 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @ignaskalindo4369
    @ignaskalindo4369 7 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nikikuona ktk movie za kanumba lkini sikujua kma we we NI Mchungaji ubarkiwe sana Pastor myamba

  • @esthersimion4571
    @esthersimion4571 7 ปีที่แล้ว +3

    amina ubalikiwe sana kwani nimepata ufuno hapo

  • @sabasgospol564
    @sabasgospol564 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu.

  • @petermathias9426
    @petermathias9426 7 ปีที่แล้ว +3

    Amen, barikiwa sana mtumishi

  • @niyindutaelysee7473
    @niyindutaelysee7473 6 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe saana Mtumishi,ila ningependa nipate namba zako

  • @emmatv7264
    @emmatv7264 6 ปีที่แล้ว

    Hakika mjngu ni mwema sana

  • @sadicktanaeli1423
    @sadicktanaeli1423 7 ปีที่แล้ว +4

    amina mtumishi nikutie moyo ktk maandiko yoshua 1:5-8 ila ombilangu kwako nikwamba uwe unaweka mahubiri marefu takriban dakika50 SAA moja

    • @PastorMyamba
      @PastorMyamba  6 ปีที่แล้ว

      sawa nimeshaanza kurusha mafundisho marefu

    • @neemamaiko1613
      @neemamaiko1613 6 ปีที่แล้ว

      Sadick Tanaeli amiba mtumishi wamunguu

  • @neilahomar2307
    @neilahomar2307 6 ปีที่แล้ว +1

    Nipo kenya

  • @betherichoir2823
    @betherichoir2823 7 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa na mungu

  • @jasirimkombozi4926
    @jasirimkombozi4926 7 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @elijahdavid437
    @elijahdavid437 6 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa

  • @ngoshamalale2144
    @ngoshamalale2144 6 ปีที่แล้ว

    Nakuamin na nakueshim san

  • @erizahashim9866
    @erizahashim9866 7 ปีที่แล้ว +3

    amen mwana wa mungu

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 6 ปีที่แล้ว

    samahani pastor kati ya imani na mkuu wa anga ipi bora bac nihivi pamoja na ivyo sipingi chochote watu wakikua kiroho uyo wa anga alizidi neno" imeameandikwa mtafungua duniani na mbinguni yatafunguliwa IMANI KATIKA KIRSTO NI MAJIBU VIWANGO VYA KIROHO VINATOFAUTI LAKIN TWATAMANI TUSIWE WATOTO WA CHANGA"

  • @flaviankomba8495
    @flaviankomba8495 7 ปีที่แล้ว

    Kwann una mwita shetani mkuu Wa ang wakati Mungu anasema yy ndiye mkuu mbinguni na dunian??

  • @siwemaking8321
    @siwemaking8321 5 ปีที่แล้ว

    leo ndo nimejuwa sasa kumbe ww nimchungaji waukweli

  • @rahyashemdoe4680
    @rahyashemdoe4680 6 ปีที่แล้ว

    pasita kamahutojali naombanambayako unitumueyakwangu hip 0654981679

  • @wolterthobiassy3191
    @wolterthobiassy3191 3 ปีที่แล้ว

    amen mtumishi barikiwa sana

  • @danielcharo2018
    @danielcharo2018 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe jitahidi kuwaleta wasanii kwa Yesu

    • @danielcharo2018
      @danielcharo2018 4 ปีที่แล้ว

      Japo umewatangaia wazinzi soko lao lilipo

    • @danielcharo2018
      @danielcharo2018 4 ปีที่แล้ว

      Japo umewatangazia wazinzi soko lao lilipo

  • @stevebsevelino4688
    @stevebsevelino4688 6 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 ปีที่แล้ว

    Amen baba

  • @fatmadevd8072
    @fatmadevd8072 3 ปีที่แล้ว

    Ameen🙏

  • @evangelistmagadula6509
    @evangelistmagadula6509 6 ปีที่แล้ว

    Amen pastor

  • @agnesskabalika9728
    @agnesskabalika9728 6 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa mtumishi nilishaona kitu cha ziada ndani yako tangu zamani na leo Nina furaha yametimia Mungu akutunze