HISTORIA YA PASTOR MYAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @mercyblessednaomibstrongma8577
    @mercyblessednaomibstrongma8577 2 ปีที่แล้ว +1

    Praise God mtumishi wa mungu mimi nilianza kukufuata katika usanni na bado ulikuwa unanibariki hata lile neno ulikuwa unaongea mimi sikubeba kama ni usanii kwa nilikuwa na jua ni ibada

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Sana Mçhungaji Raimond/Myamba Mzee wa Dar to Lagos

  • @annemakaka210
    @annemakaka210 4 ปีที่แล้ว +3

    Hata kupitia kwa bongo movie, nilishaakukubali mtu Wa mungu. Bwana akutende mema. Niko Nrb Kenya

  • @johanithakaihula5351
    @johanithakaihula5351 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Sana nimefurahi kwa utambulisho huu Asante sana

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana mtumishi hata mimi Mungu aliniambia jambo fulani baada ya hapo watu wakanza kunifanya kama Bwana alivyosema na mimi nipi na watu hao ila najua ni kwa sababu Bwana ndiye ametaka niwe hivyo na nitafanya mpaka Bwana atakaponipa direction nyingine nakuelewa mtumishi Mungu akubariki sana nabarikiwa na mafundisho yako ambayo Mungu amekutuma kwayo ubarikiwe

  • @pendopeter1790
    @pendopeter1790 2 ปีที่แล้ว

    Amina Pastor, Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia, mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wanaguswa sana katika uigizaji wako wa uchungaji.

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeeen

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutumia nakuelewa sana pastor

  • @LevinaLupenza
    @LevinaLupenza 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeen Mungu akutumie ktk nafasi Toka kwenye johari nafurahi kuona tar ya kufungua kanisan ndio siku tar na mwezi aliyozaliwa mwanangu ubarikiwe shetan asipate kibali ktk karama yako

  • @FilmeNdayishimiye-te9zj
    @FilmeNdayishimiye-te9zj ปีที่แล้ว

    Paster mungu akubarikisana nirikuwa nakuona kwasinema nikawa natamini kukubona ukihubiri pasipokuwa kwasinema nimependa manenoyako namungu akujalie

  • @lucyabsalum6761
    @lucyabsalum6761 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen baba nakuelew sana

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 2 ปีที่แล้ว

    Paster uko vizuri sana

  • @aidanmpagama3332
    @aidanmpagama3332 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa pastor

  • @evesophia6439
    @evesophia6439 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen..Roho wa Mungu awe nawe milele

  • @ndinhesyaasukenie3112
    @ndinhesyaasukenie3112 5 ปีที่แล้ว +5

    umeeleweka mtumishi, tunakuombea viwango vya juu zaidi!

  • @neemamalambugi7434
    @neemamalambugi7434 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba tukuelewa sana

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen pastor barikiwa kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

  • @pastornyundo1835
    @pastornyundo1835 3 ปีที่แล้ว +1

    Nzuli pastor

  • @ignasatukuzweivan9749
    @ignasatukuzweivan9749 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana sana Pastor Myamba.

  • @wafilipi44-52
    @wafilipi44-52 5 ปีที่แล้ว +6

    Mi Naomba kujua Kwenye Ile God Kingdom Ni kweli watu walijazwa Nguvu Au Walipanga Waigize Kujazwa Roho

    • @joycehaule4520
      @joycehaule4520 ปีที่แล้ว

      Kiukweli walijazwa nilikuwa mmoja wa waliocheza huwezi amini pale alopotaja jina la Yesu mapepo yalihangaika mpaka ikabidi wale waliookoka wasaidie ilikuwa ka tupo kanisani kabisa utafikiri sio sinema aisee

  • @abedrumbuguza2915
    @abedrumbuguza2915 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Mungu ni mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu

  • @mhachependo4656
    @mhachependo4656 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor nakupata vizuri nikiwa UAE

  • @nashonimasanja7626
    @nashonimasanja7626 5 ปีที่แล้ว +2

    kwa hayo maelekezo tu nimetambua kwamba kweli umeitwa na Mungu na hukujiita

  • @anthonylameck7006
    @anthonylameck7006 5 ปีที่แล้ว +2

    Thanks pastor myamba

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa mtu mishi

  • @annaalsnadi8722
    @annaalsnadi8722 5 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen Pastor

  • @neemabwana1062
    @neemabwana1062 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mtumishi wa Bwana, ubanibariki sanaaa! Mungu aendelee kukutumia!

  • @agnesschaless3261
    @agnesschaless3261 4 ปีที่แล้ว +2

    Amena

  • @jamessospeter2157
    @jamessospeter2157 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu

    • @anthaall4582
      @anthaall4582 4 ปีที่แล้ว

      Nikikuona mutumishi wa BWANA wetu YESU Kristi nafurahisana nirikuwa najuwa nimicezo tangu unaceza nakanumba kumbe una kipaji cautumishi WA MUNGU

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saaaana

  • @daisonmwakeke1943
    @daisonmwakeke1943 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anajua kila itaji la mtu hakuna mtu kujua mambo yako

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 ปีที่แล้ว +2

    Huwa nabarikiwa San nikikusikiliza,mchngaji Mim nipo oman, lakin Jan nimeota nafunga ndoa kijijin kwetu kilosa, watu walinisherekea san, lakin nikamuuliza mama mbona harus ya ghafla na hujaniambia kam nitaolewa, mama kaniambia ndio imetokea ghafla wew kubali tu mume kashajitokez na kweny hiyo harus, Mim peke yangu ndio nimekunyw uji ,wote wamekula vyakula,. Na kwenye hiyo harus yangu, amekuja mjomba wangu, ambae ni marehemu, amesema nimekuja mara moja tu, mjomba kwa ajali ya kukuletea zawad kaniletea nguo kisha, kasema naondok mjomba sina muda wa kukaa, sas cha kushangaz nimeamka vizur nimekaaa mpaka jion leo nimepata habar ya msib wa bibi yangu kipenz ambae ndio kanipa malez tangu Nina miak miwili, sas mchungaj hii ndoto imekaaje na Mim ni muislam Ila napenda vile unaongelea Iman kuota had marehem kuja kweny harus yangu

  • @charlespartize1772
    @charlespartize1772 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji naomba namba ya watsapp

  • @kendrickjames3214
    @kendrickjames3214 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

    • @yusuphjinasa9905
      @yusuphjinasa9905 5 ปีที่แล้ว

      Binafsi sikujua kama umeokoka, lakini ulipokuwa ktk Sinema,Nilijua kuwa kuna Mungu ndani yako

    • @hadijahamis2795
      @hadijahamis2795 5 ปีที่แล้ว +1

      Ameeeen balikiwa mtumishi mungu azidi kukutumia ktk viwango vya juu zaidi

    • @hadijahamis2795
      @hadijahamis2795 5 ปีที่แล้ว

      Ameeeen balikiwa enderea kutumika ktk viwango vya juu zaidi

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 3 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi

  • @upendomichael3498
    @upendomichael3498 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata mi skujuwi mi nakuonaga tu

  • @RenatusKanyonyoz
    @RenatusKanyonyoz หลายเดือนก่อน

    Wenimuchungaji.au.nimusani

  • @wilfredmichael5673
    @wilfredmichael5673 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor

    • @felixjefwa9702
      @felixjefwa9702 5 ปีที่แล้ว

      Ameni pastor nabarikiwa nikiwa malindi kenya

    • @victoriamalogo4587
      @victoriamalogo4587 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe maisha marefu mtumishi kwa kazi ya Mungu

    • @johnmugisa8248
      @johnmugisa8248 5 ปีที่แล้ว +1

      umenibariki sana mutumishi niko nakufwata vizuri kutoka ichi ya Congo kwa prov ituri Bunia