Barikiwa sana mtumishi hakika kila unapofundisha kitu Mimi kwangu napiga hatua kubwa sana, Naomba Mungu azidi kukupa neema katika jina la yesu ili uzidi kutufumbua macho ya rohoni. pia naomba mtumishi uje utufundishe juu ya maono jinsi ya kuona maono na ninamna gani utajua haya kweli ni maono kwako. Amina
Baba najifungua kwenye kifungo nilimwambia ex wangu siwezi kula mpaka ale yeye, yaani hadi sasa hivi siwezag kula sipendi kula, nabatilisha kauli hiyo kwa damu ya yesu
Amina baba
Nimebarikiwa mtumishi
Barikiwa sana mtumishi hakika kila unapofundisha kitu Mimi kwangu napiga hatua kubwa sana, Naomba Mungu azidi kukupa neema katika jina la yesu ili uzidi kutufumbua macho ya rohoni. pia naomba mtumishi uje utufundishe juu ya maono jinsi ya kuona maono na ninamna gani utajua haya kweli ni maono kwako. Amina
Nabarikiwa sana na mshubiri yako mtumishi Mungu ázidi kukutia nguvu maana nimejifunza mengi kupita mahubiri yako
Amen mtumishi wa Mungu nimebarkiwa sana kweli neno lako limeniponya
Nashukulu kwa mafundisho yako
Ubarikiwe mtumishi.
Baba najifungua kwenye kifungo nilimwambia ex wangu siwezi kula mpaka ale yeye, yaani hadi sasa hivi siwezag kula sipendi kula, nabatilisha kauli hiyo kwa damu ya yesu
Nilijuwa unavyoigiza kwenye move ni muigizaji tu kumbe ni mchungaji upo vizuri sana Roho mtakatifu anakutumia
May God bless you and lift you from level to level as He uses you to preach the gospel unto his people.
Yesss True,Amina- Barikiwa Pastor!
Barikiwa baba
Nakuelewa vizuri bbaangu
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🏾
Ameen, Haleluya Mtumishi wa Mungu Aliyehai. Barikiwa Sana. (HESABU 23 19-20)(23).
ameen
@@PastorMyambaunanibariki sana mtumishi
Nimefunguliwa sana
Amim
Amen
hakika nimepata nguvu
Nimejifunza Baba la
nimefunguliwa san kupitia mafundisho aya