Trust Me Joramu hushindani na mtu ila unakitu ambacho wengi wetu hatuna.Utafika mbari sana.Binafsi me nilijua up to Now huyu mtu angekuwa Mbari Mno but wahusika kama hawaoni hivi.ila kuliwa mchana huwezi washa taa. Blessings
Ukisikiliza vizuri maneno ya shigongo ni kama ama wish ndugu JORAM kuwa kiongozi wa baadae wa nchi hii kama kuwa Rais ama waziri mkuu, naamini itakuwa…
Shigongo kaaza Kuwa mpumbavu uwaziri ndio nini kwanini usiwaze kupata watu kama kina Elon Musk ,na kina NANDEZ WA Bala African politicians are stupid ,Africa especial Tanzania waziri anafanya kazi gani ya msingi kama kila baada ya miezi sita wanatenguliwa ,CCM mumeprove uwaziri auna issue tena
Big up my brother Joram khumbi ,I like your spirit
Big up Joramu. Keep moving Brother, you inspire me a lot.
Tuna mpongeza Kwa juhudi zake mungu amtanguliye mambo ya kutabili mbele za watu siyo
Trust Me Joramu hushindani na mtu ila unakitu ambacho wengi wetu hatuna.Utafika mbari sana.Binafsi me nilijua up to Now huyu mtu angekuwa Mbari Mno but wahusika kama hawaoni hivi.ila kuliwa mchana huwezi washa taa. Blessings
Your Genious Bro God protect u,don't be affected with Devils (politicians)
That prayer was powerful, Mungu akutunze bro
Jorum hakika ni hazina kubwa kwa taifa alindwe bila wivu ni zawadi kwetu afrika na dunia allah amhifadhi yeye na sisi amina
Hongera sana Jorum
Safi kabisa
Hiyo ni uongo wewe siyo mungu huo ni utoto nakuhwshimu sana
Good work youth menter
Ukisikiliza vizuri maneno ya shigongo ni kama ama wish ndugu JORAM kuwa kiongozi wa baadae wa nchi hii kama kuwa Rais ama waziri mkuu, naamini itakuwa…
Here I AM
Joramu vitabu bei gani kwa kila kimoja?
Shigongo nawe acha kuchishaua na lugha yako ya kitumwa, we vip; tz tunaongea kiswahili we ndio unajifanya wajua kitumwa nn, we vip toka hapo.
HAHAHAH ETI OUR COUNTRY IS VERY REACH
Ila kweli huo utoto wa shigongo sasa,unasemaje rais yupo humo wakati ww sio Mungu hii ndio inafanya waafrica tusiwe na umoja
Shigongo kaaza Kuwa mpumbavu uwaziri ndio nini kwanini usiwaze kupata watu kama kina Elon Musk ,na kina NANDEZ WA Bala African politicians are stupid ,Africa especial Tanzania waziri anafanya kazi gani ya msingi kama kila baada ya miezi sita wanatenguliwa ,CCM mumeprove uwaziri auna issue tena
Una Mawazo Mazuri sana Lakini abusive language sio njia nzuri ya kusema hoja yako lakini nimekuelewa mantiki yako Mkuu❤
Exactly my brother ❤❤❤❤