Namuona mbali sana huyu kijana Hakika Jalali amruzuku kila lililo na manufaa nakumuondolea kila husda, hila ,fitna na hikdi, na kumtolea unafsi madhulumu. Nenda baba upate kuwaka kumeremeta kama buruji zenye kupenya samawati ya anga barikiwa Joram.
Mwenge wa uhuru ni tatizo kubwa kwa taifa letu siku nikipata neema kuiongoza Tanzania nitaufutilia mbali mara moja. Mwenge wa uhuru ni ushirikina sababu katika desturi za makabila yote ya Tanzania mwenge haukuwahi kutumika wala kuashilia chochote maana yake ni utamaduni wa kigeni ambao hatujui chimbuko lake. Ifahamike mwenge ni miungu ya Kigiriki ifahamikayo kama Olympic.
Hongera kaka unawavutia vijana wengi kujifunza nikiwemo mimi👏👏
Namuona mbali sana huyu kijana Hakika Jalali amruzuku kila lililo na manufaa nakumuondolea kila husda, hila ,fitna na hikdi, na kumtolea unafsi madhulumu. Nenda baba upate kuwaka kumeremeta kama buruji zenye kupenya samawati ya anga barikiwa Joram.
Hayo maneno ya kuwasha mwenge .yalikuwa ni tamko la kuvunja laana ya Africa na kuleta ukombozi
Excellent Jorum. Mungu akubariki sana
The more you grow the more you become keep going the become Brother
SAFARIKA ✊🏿
Safi Sana 🎉
👏👏👏👏a proud mentee
Ni muhimu sana kumshukuru Jaalia❤
Niceeee
Safiii Mwanadiplomasia wa Kiswahili
Kazi nzuri
Joram ni smart sana lakini anatuacha mbali sana
Sisi rika yake
Watu wanapenda kusoma vitabu shida Iko kwenye lugha. Shida vitabu vyenye maada nzito zipo kwa lugha za kigeni .nazani wasomi mtusaidie
Nampenda interview zake
JITIHADA ZA MTU KWA KUJENGA KWA MATE, WOW WOW WOW
Big up 🎉🎉
napata elimu kubwa sana kukufatilia katika elimu iliyo shiba kwa taifa letu tukufu .
❤
Mwenge wa uhuru ni tatizo kubwa kwa taifa letu siku nikipata neema kuiongoza Tanzania nitaufutilia mbali mara moja. Mwenge wa uhuru ni ushirikina sababu katika desturi za makabila yote ya Tanzania mwenge haukuwahi kutumika wala kuashilia chochote maana yake ni utamaduni wa kigeni ambao hatujui chimbuko lake. Ifahamike mwenge ni miungu ya Kigiriki ifahamikayo kama Olympic.
Dogo upo nondo sana
🎉
Je ujamaa hauna sifa ya kuzalisha Mali?