MNAWAJUA MASHIA NYIE SHEIKH WAKISUFI SHEIKH MZIWANDA AWACHANA MAKAVU WENZAKE KUWAKUMBATIA MASHIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Tokomeza ushia Tanzania usisahau ku #SUBSCRIBE upate mengi zaidi

ความคิดเห็น • 5

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 6 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa sana sheikh wangu ALLAH akujaalie pepo

  • @AbuwJuhaymah
    @AbuwJuhaymah 5 วันที่ผ่านมา

    Ipo siku Allah atakuongoza kwenye Haqqi Mziwanda

    • @hamynas
      @hamynas 3 วันที่ผ่านมา

      mziwanda kama yuavuta bhangi hivi huwa simuelewagi?

  • @hamynas
    @hamynas 3 วันที่ผ่านมา

    ila mziwanda mhuni saana...anaandaa mada za hovyo hovyo ili tuu atunzwe vielfu mbilimbili duh mtihabi saana

  • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
    @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hayo ndiyo maneno ya wasaka tonge kwa sura ya Dini.
    Kwahiyo hao wakisema Labbayka yaa Husayn,hapo wanakuwa wapo kwenye ibada ya Hijjah?
    Haya,twambiye:
    Wakiwa huko makkah kwenye ibada ya Hijjah,ni nani aliye wahi wasikia wakisema:Labbayka ya Husayn?
    Dunia nimapito tu,na nyote mtakusanywa huko Aakhira naitajulikana siku hiyo kati yenu nawao,makafiri ni akina nani.