BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 07

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2024
  • MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
    DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
    INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
    KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #baharia #mbanga #dupamdupange

ความคิดเห็น • 30

  • @dar24media
    @dar24media  5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761.
    kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 5 หลายเดือนก่อน +6

    Dupa tatizo lk unasherehesha sanaaaa

    • @kingkendrickk
      @kingkendrickk 4 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru kwa kuliona hilo

  • @mjukuuwamizimu8524
    @mjukuuwamizimu8524 5 หลายเดือนก่อน +3

    Story unailudisha nyuma. Tuliishia pale kila MTU amepewa police wake. Wakaanza kuutapa tapa

  • @user-em1tb7tb8s
    @user-em1tb7tb8s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka muwe mnawavalisha T-SHIRT KABUNYAU kwa hao mabahalia mnao waoji itakuwa poa sana,pili ni market strategic kwenu

  • @lilmg6242
    @lilmg6242 5 หลายเดือนก่อน +3

    Punguza kuhoji sana tupe story

  • @godsonkimaro1440
    @godsonkimaro1440 4 หลายเดือนก่อน +1

    Endelea story ilipo ishia unatuchanganya, mbona zingine un piga vizuri sana bro.

  • @jooepaullas791
    @jooepaullas791 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah hyu Dupa Sikuhiz kipindi kimeshinda maana hata hujui upo episode gan 😅😅

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 5 หลายเดือนก่อน +1

    Story tamu ndio anapoishi duu maisha hayaa pamoja ❤

  • @francistadayo1569
    @francistadayo1569 5 หลายเดือนก่อน +1

  • @trienette6224
    @trienette6224 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dupa mjomba Leo kazingua

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 5 หลายเดือนก่อน

    Bongo moja la story noma sana 🔥

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 4 หลายเดือนก่อน

    Dupa unazingua huna mwendelezo mzuri wa story muache msimuliaji aendelee alipoishia kama una maswali utamuuliza mwishoni

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 5 หลายเดือนก่อน

    Dupa mbwembwe nyingi sana adi unaboa

  • @user-zi6ci9sg8s
    @user-zi6ci9sg8s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anazinguwa muendelezo mbovu kabisa

  • @topselaz6366
    @topselaz6366 5 หลายเดือนก่อน +1

    ✌️

  • @issaally9403
    @issaally9403 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bab kubwa

  • @user-gz3mh1pu7t
    @user-gz3mh1pu7t 4 หลายเดือนก่อน

    Bro dupa ni nini maana ya neno kabunyau

  • @user-dk8dr4kt7r
    @user-dk8dr4kt7r 5 หลายเดือนก่อน

    Br.Dumpa punguza PRRRRRR.....

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dupa unafeli kipindi hovyo hovyo siku safari hii, acha jamaa asimulie wewe hauna haja ya kuongea ongea, hayo maswali muulize baada ya kumaliza simulizi

  • @sultandihomba4359
    @sultandihomba4359 4 หลายเดือนก่อน

    Dupa unataka kulefusha story Sasa matokeoyake unaboa kwenye story

  • @nobamsigala2951
    @nobamsigala2951 4 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa hela sh ngp

  • @cchimodzi3858
    @cchimodzi3858 5 หลายเดือนก่อน

    Njia ya kwenda Ulaya

  • @user-vc8bm7zb6o
    @user-vc8bm7zb6o 2 หลายเดือนก่อน

    Punguza kuhoji unahoji sana nimekifatilia kipindi kwa muda mrefu sana watu tofaut lakini unachosha umuachi mtu adithie story tujifunze lakin unamkatisha kila wakati unaboa kaka

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 4 หลายเดือนก่อน

    Kati ya dakika 30 mwendelezao ni dakika 10 upuuzi

  • @jasonsaco5192
    @jasonsaco5192 4 หลายเดือนก่อน

    IYO STORY ANGEMPLEKEA DAVISTA MATA

    • @bensonjohn9633
      @bensonjohn9633 4 หลายเดือนก่อน

      Yule Jamaa anajua sana

    • @user-pi6od6rs9v
      @user-pi6od6rs9v 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅kweli

  • @daudjoseph8513
    @daudjoseph8513 4 หลายเดือนก่อน

    Tuliza mdomo basi