RC CHALAMILA AKASIRIKA - AFOKA KWA UKALI - ''UTAONDOKA NA MWENYEKITI, CHUKUENI SIMU ZAKE''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • RC CHALAMILA AKASIRIKA - AFOKA KWA UKALI - ''UTAONDOKA NA MWENYEKITI, CHUKUENI SIMU ZAKE''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 51

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Chalamila si tu kwamba ni kiongozi bali ANA KIPAJI CHA UONGOZI NDANI YAKE, CHA KUZALIWA KABISA. Mungu akuinue chalamila ufikie kwenye uongozi wa juu zaidi kabisa ili uwasaidie watu wa Mungu wanaoonewa na ibilisi

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naona. Wakuu wa Mikoa. Wawewamesoma sheri na pia Wachaguliwe na Wananchi

  • @benedictampery3275
    @benedictampery3275 8 หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila sijui kama nitaacha kukuombea usiku na mchana. Uishi miaka 200 kijana wangu

  • @rithamatiko4952
    @rithamatiko4952 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa mkoa Hongera sana KAZI unaiweza mtetezi wa wanyonge Viongozi watetezi wanaojua haki tunao

  • @hamisipolenisanaissa8859
    @hamisipolenisanaissa8859 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 8 หลายเดือนก่อน +1

    ila sisi kwa kupiga makofi daa sema baba Ndio Ndio kweliI baba sema baba

    • @bennie7239
      @bennie7239 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂 si ajabu haki isipatikane na makofi yenu....

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 8 หลายเดือนก่อน +1

    Akili mingi ubalikiwe mkuu wetu

  • @allybulula9104
    @allybulula9104 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekua ninakufuatilia Sana charamila mola akupe nguvu na afya kwa Kaz unayo ifanya wanyonge wanaonewa mno inafikia hatua polis Kama miungu hapa nchn inauma sana

  • @omaryahya337
    @omaryahya337 7 หลายเดือนก่อน

    Chalamila akili kumbe 🎉

  • @dickchambilo9138
    @dickchambilo9138 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Tanzania bado tunaviongozi wazuri . Chalamila you deserve 🙏. MUNGU AKUBARIKI SN

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 8 หลายเดือนก่อน

    Hio n Gaza au Ukraine, Kweli je kama n haki sawa mbona ametia hasara,je hakuona saa nyumba zinajengwa had 30,ujue Hata Farao Firaun, alitesa waiisrael lkn alizamishwa katka Bahar ya sham, Mungu anakuona,

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 3 หลายเดือนก่อน

    Ccm huwenda nichama japo kimetupoteza xana kwa jn haxa

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa Mkoa be blessed.

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti oyee!

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 8 หลายเดือนก่อน

    Kamata hao sheria gani ya kuvunjia watu usiku halafu wanakujaje bila stop order ya mahakama na kamati ya ulinzi ilikwepu muda huo huo ni uhuwaini kamata na wafirisiwe hao na yawezekana takukuru wachunguze ilo kuna shida mahali

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mwenyekit 😅

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 8 หลายเดือนก่อน

    Wapiga diri wanapataka hapo

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa wilaya haju

  • @hassanferuz8832
    @hassanferuz8832 8 หลายเดือนก่อน

    B

  • @josengunico2778
    @josengunico2778 8 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur mkuu

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo ocd anayesmbiwa kamata mwenyekiti I slisema yy na mwenyekiti na hao wavinja sheria ni wa moja? Kweli mnategemea positive jibu? Mhhh

  • @simionbirai7851
    @simionbirai7851 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa Dar imekuaje siku hizi? Mbona sasa haitulii? Nashauri mabadiliko ya uongozi Dar! Kelele zimekuwa nyingi sana!

  • @festokalenga3084
    @festokalenga3084 8 หลายเดือนก่อน

    Hiii imeeeeeeeenda

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 8 หลายเดือนก่อน

    Sanaa za uchaguzi kupita

    • @ndekemwaifyusi8499
      @ndekemwaifyusi8499 7 หลายเดือนก่อน

      Acha uzushi. Asingechukua hatua mngesema hakuna uongozi. Sasa unazungumzia uchaguzi hebu tuambie unagombea nafasi gani au chawa tu. Acha kuleta usimba na Yanga kwenye mambo ya ki jamii.

  • @user-qq3kx2gi2g
    @user-qq3kx2gi2g 7 หลายเดือนก่อน

    Kwann hivi taifa ili

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wananchi vipi

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂mwenyekiti kwenye kiti apakaliki vizuri😂😂😂

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    KAZI yenu ndio ndio ndio!!!

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakupa😂miaka mingi ya kuishi

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Eti askari hawajui

  • @andrewkatoke9407
    @andrewkatoke9407 8 หลายเดือนก่อน

    kiongozi pekee aliyebakia akitembea na nyayo za JPM

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona ni kama hadithi

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Ocd hajui

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 8 หลายเดือนก่อน

    Sheria inasemaje

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 8 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli CCM wasanii

    • @noahpaulo3845
      @noahpaulo3845 8 หลายเดือนก่อน

      hahaaaaa kwaio nikiitaji kumuona msanii siitaji kwenda tamashani nikwenda tu ofisi za ccm ? Basi maisha ni lahisi sana

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 8 หลายเดือนก่อน

    Asante chalamila unaweza hiyo wasaidie hao watu

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Anaye jua ni mwenyekiti wa mtaa

  • @user-df1wz5xu2i
    @user-df1wz5xu2i 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ni wazi kwamba kuna vongozi wananjaa kali

  • @katunzijasson5410
    @katunzijasson5410 8 หลายเดือนก่อน

    Kagera walishindwa kumtumia huyu jamaa usomi mwingi maendeleo machache

  • @zakayomasingoti9238
    @zakayomasingoti9238 8 หลายเดือนก่อน

    Manenomaneno hatutaki..tunataka ukwel hapo

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Kisomi tu wananchi mmekwisha

  • @user-gm1wz1ht4r
    @user-gm1wz1ht4r 8 หลายเดือนก่อน

    Unadhami mnatetewa hapo?

  • @mbachoclassic7818
    @mbachoclassic7818 8 หลายเดือนก่อน

    Umeupiga mwingi Rc wewe ni komredi kweli kweli

  • @barnabasandrew809
    @barnabasandrew809 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa mkoa
    Ongeza mikakati ya upandaji miti kuifanya dar kua ya kijani na kupunuza joto.

  • @rahmaMohamed-op9mk
    @rahmaMohamed-op9mk 8 หลายเดือนก่อน

    Safisha,baba,upuuzi,huo,nchi,lazima,iwe,na,amani

  • @mangarashid4736
    @mangarashid4736 8 หลายเดือนก่อน

    Chalamamila ni rais ajae na ana uwezo huo kuliko marehemu ana matumizi mazuri ya akili ana elimu lakini uwezo wa akili ni kubwa sana kongole ziende kwa mwenye akili mwenzie rais wetu Samia suruhu mtu mungwana kiukweli siku hiz namuelewa chalamamila

  • @barnabasandrew809
    @barnabasandrew809 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa mkoa
    Tunaomba ongeza mikakati ya upandaji miti kuifanya dar kua ya kijani na kupunguza joto.