SHUSHA BARAKA (Official Gospel Video HD)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2017
- Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album ya 4 ya chuo kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa(MUCE).
Wimbo huu unaitwa Shusha Baraka, ni wimbo uliobeba jina la Album.
Mtunzi: Fortune Shimanyi
Organist: Kelvin Marandu
Video Director: Laurent Ludovick
(TANGANYIKA PRODUCTIONS TEAM)
Audio: Triple J Records(+255 109880)
Video: Tanganyika Productions(+255 762 380376)
MAWASILIANO
Kwaya ya Mt. Bernadetha(Mkwawa University College of Education)
+255 752998038
+255 757953142
+255 718 717218 - เพลง
Ni kweli yatupasa kumwomba Mungu wetu atushushie baraka zake katika maisha atujaliayo kila iitwapo leo.
Mungu awabariki waimbaji wote wa gosper waendelee kubarki nanyimbo zakumtukuza mngu ..%%%
Shusha barakazako eemwenyezimungu ilinasisi tufanyikiwe katika maisha yetu asanti kwamaneno ayo mungu awajalie neema namafanyikio katika kazi yenu yakitume amina
Huu wimbo naupendaga jamani
Mungu awabariki na atushushie baraka zake kama mvua
The best ever Melody song, guys you are blessing to all
Mungu atazishusha baraka zake tuendelee kumuamini
Bjr ! vraiment je suis très contente pour vs que Dieu vs bénisse ,au nom puissant de Jésus amen!!!!
Mie ni msabato napenda nyimbo zote za dini zenye kutoa kumbe wa kuabudu na sifa kwa Muumbaji Mfalme... Amina mbarikiwe kazi nzuri...
Ama kweli Mungu Ni mwema sana, hatimaye kazi zake anazozisimamia hazibahatishi,, nimebarikiwa sana,, Dada Cecilia, kaka Masumbuko, da Merry, Agrippina nk nimemwemweleka,. Aminaa kubwaa
Wimbo mzuri waimbaji mungu azidi kulitangulia kipaji chenu muendelee kumsifu yeye kwa nyimbo nzuri
hakika mungu anashusha baraka jamani nabarikiwa Sana wimbo huu mumgu awabariki waimbaji hawa
Sometimes I don't know that one day I will miss this GOD GRANTS US MORE LIFE
Safi sana,vijana,kwa kumwimbia Mungu.
Hongera sana walimu wa MUCE Baraka zinashuka
hakuna modules kukaza tena
Nice nice i don't understand the language bt i lyk it ❤👏
Asante kwa hayo mafundisho ya huo wimbo mungu awabariki nyinyi nyote
Waau wimbo mzuri kweli . mungu azidi kuabariki muendelee vivyo hivo
Wimbo mzuri sana nikisikiliza nafarijika sana mungu awabariki sana waimbaji wote mlioimba huu wimbo.
yaani mavazi ujumbe nakila kitu mpo vizuri kila nikiwa na mb lazima nipitie huu wimbo sijajua ni peke yangu ambaye lazima niusikile nikiwa ba Data!Mbarikiwe basis mwenyezi Mungu awaangazie mkazidi kumtumikia Mungu hata baada ya masomo huko mnakoenda mkawe mabalozi wa kristo.
Oooh my...what a song? Always shedding tears when I watch this! May God bless u all
Am in love with this. From Uganda
hongereni sana wanaMUCE .MUNGU AZIDI KUWA JALIA MTOE NYINGI .AMINA SANA
Mungu akuongezee kipaji ufike mbari
💯 i love y'all in the name of YAHSHUA awesome thanks y'all brothers and sisters
Mungu apewe sifa .Tumwombe yy kila kitu na tutabarikiwa milele
Bwana teremsha izo Baraka zibariki wenye shida woto
Nawasikiliza hapa nchini Kenya....Baraka kwenu waimbaji. Ni wimbo wa kunipa motisha maishani
daniel otieno thanks
daniel otieno
Hongera sana kaka.
Amen 🙏💖👌 shushu baraka
Bwana yesu 👏😁 God bless our singers hoyeeeee 🎷👍🙌
Wimbo mkali sana.Hongereni na Mungu awabariki.
God bless those who watch Catholic songs and other gospel songs that preaches word of God ,may the word give them power, streanth and humiliation.
Munguawabarikisana muwena maidha mazurisana tusiachekumwimbia bhana amina
nahitaji hizo baraka zaidi.....I love the song
I don't even know that language bt I'm enjoying this song .....keep it up guys
Mungu awabariki wana MUCE- Kwa wimbo Mzuri wa Shusha Baraka. Natumaini kuwa Album yenu imesimama vyema.. Utume Mwema popote mlipo.
Himnos de hinnario adventista
Revocatus Mganilwa rtyui
Shusha baraka nyimbo nzur Mungu awabark sana
Lèw nan jezi sa bèl
Shusha Baraka kwa kwaya hii iendelee kuinjilisha vyema nas wote utushuie baraka katika kaz zetu
J'aime l'Afrique, j'aime mon origine. l'Afrique est bénie. Les églises africaines sont bénies.
Mungu awabaliki kwa uimbaji uliotukuka kiukweli mnatisha
Mungu amefanya kweli jamani. Hongereni sana na naisubiri album kwa hamu sana.
MFUPAAAAAA uncle BENJA malizia hapo
Hongereni sana wapendwa katika bwana kwa kutumia vyema kalama mliyopewa na Bwana katika kulitangaza neno lake: Mungu awabariki:
Hola soy haitiana yo me gusta mucho este mensaje de dios quer dios te beindiga a todos los cristianos los que creen en dios
wimbo nzuri sana,pongezi
Nafarijika sana kuona vijana katika usomi wenu mnaona kumsifu Mungu aliye juu pia ni jambo jema kwenu. Hongereni sana kwa nyimbo nzuri na mubarikiwe sana kwa faraja a kweli mnayotupatia kupitia utume wenu wa kiuimbaji.
Someone respond to my comment. May our Lord bless you
I am enjoying the music and it really touches my spiritual life
Mtunzi yupo Safi barikiwa sana our artist
sichoki kuikiliza huu wimbo MUNGU awabariki
nice song gyz love it 😘😘😘😘
Ni nyimbo za kutufuraisha na kutupa matumaini katika Kristu.
Hongereni shusha Baraka nimebarikiwa
WanaMUCE hongereni sana kwa kazi nzuri.mmenikwasha kwa baraka
pasteu mackesonne
nimebalikiwa sana na wimbo ,kweli mungu ni mwema asanteni kwa wimbo mzuri
One of my best Catholic songs.
Wawooooo I like it wana TMCS wenzang mkwawa
grace mveyange n
Teremsha hizi baraka.................. Safi sana wanamuce Mungu awabariki
harmonize video
Love the song
Bravo je suis centrafricaine
mubarikiwe sana wana Bernadetha (Muce)
Injiri ya mungu iende mbelee ,wanaMUCE mbarikiwe na bwanaa
Shusha baraka shusha kwa wingi. Hongereni wapendwa
hongereni sana kwa wimbo bora na wenye ombi tulivu...mt.bernadetha awaombee mdumu daiama..mbarikiwe sana.
Mary Lazaro Asante sanaaaaaaaaaaaa!
Mary Lazaro n poa
Tanganyikaproduction aqqaaaA@£@££@1@
tumuombe mungu kwa kila jambo kila uamkapo na kila ulalapo amen
Joseph Massa LA
Mungu aendelee kuwabariki
Baraka zote zitokazo kwa Mungu wetu ziambatane na maisha yetu Amen
I'm Salomon Jefferson .I watching this sound in saint Louis du nord Haïti
How amazing praising God is. Thank you for this wonderful soul giving song.
I love you guys, I cherish Catholic Choirs cause it's where I belong. God Bless you my sisters and brothers in Christ
Kazi njema mungu awabariki
Mtunzi nimemwelewa, wanakwaya mmeutendea haki wimbo
jima
shusha baraka wimbo mzuri sana mungu awaongeze nguvu
Shusha barak Mungu awabarik Amina
All blessing do come from God
nimebarikiwa xana God bless you and continue with the works of God
Amen
Barikiweni sana na Bwana
Mungu azid kuwainua zaid Amen!!!!!
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Muko vzur mungu awabarik
Wimbo unatia moyo katika maangaiko ya maisha.
Telemsha baraka kwa wote, Eee Mungu wetu😃😞😌😁😳😭😪😥😰
Mungu azidi kuwajaliakalama ya uwibaji nimewapeda
I dnt understand the language but I love the song thou
Can't get enough of watching this song.. praise be to Jesus our lord.
Well organized, wish the way you act must chase away this (covid -19)please keep on doing this!!
safi sana, mungu awabariki.
You Tube is just wonderful!!!
Hawa waimbaji wanabariki sana
Pendeza sana jamani MUNGU ni mwema
barikiwa sana wanakwaya kwa utume wenu,pia hongereni tanganyika production kaz nzur
Nzuli sana mbalikiwe
Kibao hiki ni murua kabisa.Hongereni chuo kikuu cha Dar es salaam.Am Ken from Nairobi
Kenya.
Ken Musembi
Moo
Princesse Ella
banm ma banw feyton #4
shusha baraka nyimbo nzur
Hongereni waimbaji
Great praises to our almighty, God bless you more and keep the faith. Love🤩
Jambo
nimebarikiwa sna npenda watanzania bila kipimo, Kenya in
Sam Roma Labara asante sana
Saf sana kazi nzur barikiwen
hu wimbo umenifanya nikabarikiwa sana nawashukuru hawa waimbaji.
Mungu awabark wapendwa kwa utume huo nice song
nmebarkiw sana na huo wimbo mungu azdi kuwasimamia katka kaz ya kuieneza injli Kwa njia ya uimbaji mbarkiwee sanadas!
Sifa na utukufu ni kwake muwezeshaji, hongereni sana kwa kazi nzuri!!!
paul zilahulula Amina
Hata mim nawakuli sana mna vitu konk
Nimebarikiwa na naomba mungu awabariki zaidi
Juliana Makau
Wimbo mzuriy san jamanii
Mbarikiwe sana waimbaji
nc sana sauti nzuri mnoooo wapendwa wang
Nice Catholic songs
Wimbo mzuri mbarikiwe sana
Nimeukubali
sitachoka daima kusema mungu awabariki daima,maana kila nikisikiza wimbo huu naziona Baraka zinashuka mbele yangu asanten jaman
Abel Mgalla ....amina kaka.
Hongereni wimbo mzuri
Abel Mgalla ,Ameeen
Hongereni Kwa kuimba vizuri ,,, nimeipenda Sana
75
Bèl mizik MPa konprann mesaj yo sanble se yon mizik evanjelik