Nchi hii imekuwa na uhuni mwingi sana watekaji ni jeshi la polisi kwauhakika kabisa kwamana kila wanaotekwa wanadai walijitambulisha wao ni polisi wanapofanikiwa kumteka ndo wanakuwa ni watu wasiojulikana ila zoezi lao likifeli tu ndo inaonekana walikuwa ni polisi halali watanzania inabidi tuamke tutoke usingizini jaman
Nyerere namba 2.
Wa 7 duniani kwa utajiri hii Dr. Hata aibe vip hawezi kufika hizo rank
Kiutani!,Mama kacheka sana hii clipu ya mwanasheria akijitetea !,mamy huku mtaa sio poa!..
Huyu ni samia..m kizimkazi.anatumaliza watanganyika
Nchi hii imekuwa na uhuni mwingi sana watekaji ni jeshi la polisi kwauhakika kabisa kwamana kila wanaotekwa wanadai walijitambulisha wao ni polisi wanapofanikiwa kumteka ndo wanakuwa ni watu wasiojulikana ila zoezi lao likifeli tu ndo inaonekana walikuwa ni polisi halali watanzania inabidi tuamke tutoke usingizini jaman
Sasa. Tumuombe bwana yesu atasikia. Na. Wao wanasiraha. Tena za kivita. Kwa maneno Hatumuwezi bora tuombe tu
Ni hatari kwa wote kwa kweli tuamke Watanzania
hatari sana
Mbuzi yeyote akija kwa jina la polisi na anataka kunikamata, ni ama zake ama zangu, labda nivunjwe miguu. Mbwa hawa!
2ko pamoja naunga mkono hoja kukwmea ujinga huu
Tuungane kukemea huu uj😅nga ktk nchi hii.
Wasio julikana tumeanza kuwajua
Hii si haki