ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Nanasi unalo kula, hizi ni faida zake, zitakushangaza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
    / @simulizinasauti

ความคิดเห็น • 20

  • @EmeldaOntita
    @EmeldaOntita 4 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks mama Terry for educating us god bless long live

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Kwa kutujuza. Familia yetu ina bahati mbaya, kwetu Chalinze mananasi kibao yaani msimu kama huu ni balaa, na tunayala kweli na juice si kawaida. Lakini Baba angu na shangazi zangu wawili wamekufa Kwa cancer, Dada angu alikuwa na kidney stones alitolewa stones Uingereza, na Mimi Nina arthritis, mmmh! Mbona nanasi halikutusaidia? Ni bahati mbaya au ........ Mungu tusaidie.

    • @elizabethminja7861
      @elizabethminja7861 9 หลายเดือนก่อน

      cancer zingine ni zakulogwa huoni hiyo ni chen, hakuna ugonjwa wa kurithi baba shangazi na shangazi wote wafe kwa cancer, omba sana kuvunja hiyo roho ya cancer kwenye familia.. Mtafute Mungu kwa bidii sana hiyo roho itatoweka kabisa.

  • @EmeldaOntita
    @EmeldaOntita 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks mama Terry god bless you long leave

  • @EmeldaOntita
    @EmeldaOntita 4 หลายเดือนก่อน

    I love mama you look peremendestic

  • @BenemweteAmisi-li1wb
    @BenemweteAmisi-li1wb 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaliye

  • @EmeldaOntita
    @EmeldaOntita 4 หลายเดือนก่อน

    Asate mama kwa elimisho lako

  • @saidimbaira3740
    @saidimbaira3740 ปีที่แล้ว

    nakupenda mama Terry tangia upo radio one streo

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER ปีที่แล้ว

    Asanteh sana mama❤❤❤❤

  • @naslee1010
    @naslee1010 ปีที่แล้ว

    Bibi asante kwa facts zako na elimu zidi ya Nana's

  • @GwaruwaBaya
    @GwaruwaBaya หลายเดือนก่อน

    Poa sana mama try

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa na ilikuwa utamaduni linaliwa wakati wa Christmas 🎄 na kama utamaduni wao.

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER ปีที่แล้ว

    Mama kumbe wewe pia ni journalist 😊

  • @diyaosman6268
    @diyaosman6268 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @mirajimwango5763
    @mirajimwango5763 ปีที่แล้ว

    asant sana

  • @AbineryMwaluko
    @AbineryMwaluko 3 หลายเดือนก่อน

    Akiwekwa sijui huyo Colombus kuna muskeri, mananasi ni yakwetu kitambo tuu

  • @mafundaomarmakame8795
    @mafundaomarmakame8795 9 หลายเดือนก่อน

    Mama Terry ahsante ila nna suali kama tayari ushapata kansa nanasi linasaidia

  • @sammy-b6281
    @sammy-b6281 ปีที่แล้ว

    Kweli bibi

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ ปีที่แล้ว

    🙏💛💚

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi na mama na baba tunapenda nanasi na ule moyo wa nanasi naupendaga