ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Kiporo ni kitamu, lakini kina faida kiafya? Ukweli huu hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Kiporo kina faida kwenye afya zetu? Mama Terry anakupa ukweli wa mambo kwenye episode hii mpya ya Ulivyo kwa Ulacho
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 24

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mama kwa somo zuri. Mimi ninakula chakula ambacho hakijapikwa Yaani matunda na saladi mbichi. Nilikuwa naumwa natumbo lakini sasa hivi nimepona kwa kuka chakula hai.

  • @alexpotter2995
    @alexpotter2995 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri Aunt🙏🙏, Elimu yako Inasaidia na Itaendelea kusaidia wengi 👏👏👏

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 ปีที่แล้ว +1

    Mm ni mlaji Sana wa kipoto kwa uvivu WA kupika pika

  • @jumamansuli2499
    @jumamansuli2499 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mama

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว

    Asante mama kwa kutuelimisha

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 ปีที่แล้ว

    Ahsante mama nimejifunza kitu 👍

  • @modestmkali3436
    @modestmkali3436 ปีที่แล้ว +1

    Asilimia 90 ya tunaoishi marekani tunakula chakula ambacho kimekaa kwenye friji hata wiki 2, muda wakupika Hamna, hivyo solution ni siku ukiwa Off, unapika chakula chakutosha unajaza kwenye makontena unaweka kwenye friji, hapo nikula kidogo kidogo kwa wiki 2..

    • @ruu6592
      @ruu6592 ปีที่แล้ว

      Kwa nn usiamkr mapema ili upike mm naishi Africa ila kula hotelini sipendi narauka napika nabeba

    • @modestmkali3436
      @modestmkali3436 ปีที่แล้ว +1

      @@ruu6592 huwezi jua u busy wa maisha ya ulaya na marekani, hivyo hata nikiongea bado huwezi kunielewa, ila wewe elewa kuwa mambo ni mengi katika hizi Nchi halafu muda hautoshi

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 ปีที่แล้ว

    Ahsantee sana mama ❤️

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +2

    Wwwooooiii kuhusu kiporo sihitaji ushauri wowote kama ni kitambi wala hakiwashi ata ivo Mbinguni tutapewa mwili mpya

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      Ndo mana anawaambia wataotaka na kufanyia kazi mijitu mibishi la nyie kaeni tu kimya

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      @@fahadfaraj6474 hatukai kimya na mtuuwe ss

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaa umenikosha sana wee mudada

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yvonnekunda6494
    @yvonnekunda6494 ปีที่แล้ว

    Nakipenda sana hiki kipindi

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 ปีที่แล้ว

    Kwel mama

  • @lilk94
    @lilk94 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizur hapo kwenye kitunguu ni kweli kabisa pia madundisho mazur kwa afya

  • @aaii8301
    @aaii8301 ปีที่แล้ว

    Matunda nakula kilasiku lakini kachumbali sipendi

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +2

    Tunao ishi nje ya nchi kiporo ndio solution ya kuishi. Hakuna muda wa kupika ha ha haaaa. 😂

    • @TradersEasyWay
      @TradersEasyWay ปีที่แล้ว

      kuanzia leo naachana na viporo🤣🤣

    • @ruu6592
      @ruu6592 ปีที่แล้ว

      Mamuzi tu