JUISI MIX AINA 4.. 4 SUMMER JUICES
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- @FoodloversTz Juisi aina 4 za kuchanganya matunda ni tamu na za kuvutia
1. Tikiti, Nanasi, Vanilla
2. Parachichi, Vanilla, tangawizi, Iriki
3. Passion, Nanasi, parachichi
4. Tikiti, Passion, Iriki
@FoodloversTz 4 Summer Juices with Mixed fruits
1. Watermelon, Pineapple, Vanilla
2. Avocado, Ginger, Vanilla, Cardamon seeds
3.Avocado, Pineapple, Passion fruits
4. Watermelon, Passion fruits, Cardamon seeds
.
.
.
.
Nimependa hadi Raha😋😋❤❤❤
Jaribu,mango,bitroot,oranges,love from 254🎈🎈👏👏👏
Unafanya maisha kuwa rahisi
Darasa zuri,juice ya embe
Nice
Darasa zuri mno foodlovers
Asante nimepata elimu
Darasa nzuri
Hongera tunashkuru❤🥰👍
Mzuri sana
Nzuri jaman
Thanks a lot sister
Vanilla ya juice ni ipi
Una mafunzo mazur San lkn una jaza San maji kweny juice zako xx Kam titi Hilo tunda Lina asili ya maji mengi lkn hapo umeweka titi kidogo maji una karibia kuja Brenda xx hai late maan kweny juice ikisha kuwa na mimaji mengi hivyo maji weka hat nusu kikombe kusudi upate ladha halisi ya matunda na maji tunaweka kusudi kusaidia Brenda kusaga vizur tu dear siyo yawe mafuriko Kam unavyo tuonyesh hapo
Nimejikuta nacheka mbona mafuriko
Sio ziwa vitor😂
Tunaomba na juice ya embe
🔥🔥🔥
Hi,mm naomba ya ndizi dada
Vanila hiyo inaitwaje jman
Hayo maji mbona sio kidogo dada 😢
Waoooo
💕💕😋😋
Kuna tofaut gan kati ya smooth juice na aina nyingine
Smooth juice ni juice inayosagwa bila kuchuja but inalainika yote na blender yake siyo hizi za kawaida ni Heavy-duty blender ambayo kiafya ndo juice nzuri coz unakula na makapi yake
😋😋😋
😘
Mm no mgeni kweny group nauza juice naomben ujuz zaidi ili juice yangu iwe nzur nipate wateja
Ooh waooh unauzia wapi na wateja wako wapoje,usione gharama kutoa fedha Kwa ajili ya ujuzi
Vanila inakaziipi
Hiyoo vanilla unayoweka ni ile ya chakula au?
Vanilla ya juice ni ipi
🔥🔥🔥