Fatma Karume Ashangaa Hili Lililofanyika Gerezani | "Ni Kazi ya Mahakama Kutoa Haki"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มี.ค. 2023
  • Mjadala kuhusu taasisi za Haki Jinai Tanzania

ความคิดเห็น • 8

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampe ulinzi na maisha marefu Shangazi Fatuma

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +1

    Kujisitiri ndio nini? Mikono ime kusisimua, embu muache Shangazi, yako vizuri, kiakili, kimwili na kiroho.

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 ปีที่แล้ว

    Nuff Love Shangazi

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 6 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa sana.namskia sana Shangazi..lakini sijuwi yupo chama gani? Kwa nini Shangazi hapewi kazi?uwezo anaovkwa nini hawamtumii? Huyu amechukua hisia zanmwasisi Baba Mzee Karume.hiki ni chombo ,acheni ubinafsi.msimtenge

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว

    Sasa sister wetu mbona hajijistiri yuko mikono wazi?.

  • @MussaSuleiman-ui9fy
    @MussaSuleiman-ui9fy 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke huyu ni miongoni mwa haya anayosimamia na k uyatetea akafa bila kutubia ni miongoni mwa watu wa motoni anasaga wenzie ni mshezi

  • @kingvictor2847
    @kingvictor2847 ปีที่แล้ว

    Acha uongo umepewa hela lgbtq

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 ปีที่แล้ว

    ANAKWENDA UCHI KWENDA UCHI SIHAKI KAMA WEWE UKOUCHIWOTE MWILIWAKO UPUMBAVU TU👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇