Wadau Wacharuka Mauaji, Utekaji wa Watoto: 'Haturidhishwi na Kasi ya Ufuatiliaji wa Matukio Haya'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Wadau na watetezi wa haki za watoto nchini wamejitokeza na kulaani vikali vitendo vya kutekwa, kupotea, kuibiwa na mauaji ya watoto vinavyoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 6

  • @AmenaJeogh
    @AmenaJeogh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni kwakupaza saut, uuwaji wawatoto upo Sana mm mwanangu walitaka kuniulia namshukuru mungu akatokea msabaria mwema akamuokoa mwanangu 🙏🙏 nimefurahi Sana kwakusikia munapaza saut Hee mungu wetu utulindie watoto wetu🤲🤲 nakwakira anae jiusisha na uuwaji wawatoto mpe adhabu Kari mnoo mpaka afe🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui wanataka watoto wafike wangapi??

  • @FLAMINGOINTERNET
    @FLAMINGOINTERNET 2 หลายเดือนก่อน

    haya mambo yana tia doa sana nchi yetu

  • @AishaAisha-q4t
    @AishaAisha-q4t 2 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna mijitu uku mtaaani aina kazi

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi tumepatwa na nini