DADA WA AMINA BORA NDOA IFE NAUNGA MKONO MDOGO WANGU HAWEZI KUACHA KUCHEZA CHUR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @ashamussa4564
    @ashamussa4564 6 หลายเดือนก่อน +29

    Ndio maana tukaambiwa tuchague wenye dini. Sisi ni waislamu na ni lazima tufuate sheria za dini sio tufanye tunavyotaka. Allah atuongoze katika njia ya sawa.

    • @annanasoro3007
      @annanasoro3007 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo mdada anaitwa Anina saidi lakini

    • @z-1il
      @z-1il 6 หลายเดือนก่อน

      Very true

    • @KhadijaSalum-nf5mf
      @KhadijaSalum-nf5mf 6 หลายเดือนก่อน

      Mtihani huu dunia hii

    • @sulekhan7119
      @sulekhan7119 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sio mwenye dini tu nakujuwa ukoo wake unaweza kuoa kwa kigezo Cha dini abadilike

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@annanasoro3007anaweza akaitwa Amina lkn asiwe na dini

  • @SIKUDHANISHIRINITZ
    @SIKUDHANISHIRINITZ 6 หลายเดือนก่อน +38

    Jamani mwenze mie sjui mshamba maana nikiifikiria kesho hadi machoz😢 alafu kunawengine wamesha ifanya dunia kama yakwao duh! mora anusuru vizazi vyetu

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hawajui kifo huja ghafula anaweza akafa mda wowote watuy wamejisahau san

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 6 หลายเดือนก่อน +2

      Sio ushamba mpenzi kupanga nikuchagua tatizo watu wanapenda kuiga mambo mabaya kuliko mema ishi maisha yako wala sio ushamba

    • @bakaryngoneke5606
      @bakaryngoneke5606 5 หลายเดือนก่อน +2

      hongera sana mwenyezi mungu amekupa ufaham endelea kumuomba sana asikupungukie kamwe

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 5 หลายเดือนก่อน

      DEREVA BODABODA AMEYAKANYAGA NAMUONEA HURUMA SANA .MM NAMSHAURI HII FAMILIA NI HATARI SIO WAISILAMU KABISA BALI WAMEVAA NGOZI YA KONDOOO .KAKA YANGU ULIYEOA SIKILIZA MANENO YA MTUKUFU WA DARAJA AMESEMA IKIWA MWANAMKE HATOKUTII HUTOPATA UTULIVU.SASA MWANAMKE ULIYEMUOA AMESEMA HAAACHI NAFAMILIA YAKE NDIO HIYO UNAISIKIA SASA UNASUBIRI NINI WEWE NDUGU YANGU MUISILAMU KAMA UNASALI ACHANA NAYE HUYO NI AFADHALI UNGEMFANIA KULIKI KUKUZARAU NA KUTOKUKUTII!!! SASA EBU ANGALIA WAO WANASEMA HAWAWEZI KUACHA NGOMA PIGA UWA WAKIACHA WATATENGWA NA WEWE HUTAKI SASA UTASEMA UNASAUTI KWA MKEONUMEOA UMEOLEWA.MAPENZI SIO KUINGILIANA KIMAUMBILE MAPNZI NIKUMPATA ATAKAEKUSIKILIZA .NA KUKUTII.

    • @SIKUDHANISHIRINITZ
      @SIKUDHANISHIRINITZ 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@bakaryngoneke5606Asante kakangu🤲

  • @JaneMakemo
    @JaneMakemo 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ukisikia mambo kama haya kwa mwenzako usimlaumu bali nikuwaombea kwa mungu ili afungue njia ili waweze kumjuwa mungu na siyo kuthamini kichura la mungu atusaidie sana teachable za giza

  • @FaidhaMubaraka
    @FaidhaMubaraka 6 หลายเดือนก่อน +6

    mungu atufanyie wepesi maana dunia ishafika mwisho tuombe atujalie vizazi vyema😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 6 หลายเดือนก่อน +12

    Yaan ukitaka kuoa ,angalia family unakoenda kuoa

    • @HadijaAdam-ct6wf
      @HadijaAdam-ct6wf 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yani nyuma yao Kunann 😢

  • @AchaUsumbufu
    @AchaUsumbufu 6 หลายเดือนก่อน +6

    Duh mtihani mkubwa sana inshaAllah mwenyeezi mungu awaongoze nyie na sisi pia tupate mwisho mwema sio yakufurahikia kabisa ni uzima wa muda mfupi TU tunadanganyika na Dunia

  • @LameckLameck-v9r
    @LameckLameck-v9r 6 หลายเดือนก่อน +13

    Kaka umeoa familiar ya malaya tatizo sio chura bali malezi achana nae utakuja kuua bure genge bonus hilo

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani hii familia ni kimalaya kwanzia mama mpaka watoto, uwiiiii, angalia matatuu ha! Uwiiii

    • @FaaniAli-jg5zh
      @FaaniAli-jg5zh 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂nimechoka apo kwa kenge bonus😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KelvinSimon-d8y
    @KelvinSimon-d8y 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tunakoelekea siko,Mungu awasaidie t waja wake

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 6 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu nakuomba uniepushe na upuuz huu mtu yuko pouh kabisa kujiongelea pumba

  • @JazilaKhatibu
    @JazilaKhatibu 6 หลายเดือนก่อน +3

    subhana lllah dah . Kaka muache utapata mke mwenye kheri na ww. Hiyo familia ni laana

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmh! Subhanallah! Astaghfirullah! Mwenyezi Mungu atusimamie kwa hili! Wanafikiri ni sifa njema, kumbe ni ujinga mtupu!

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 6 หลายเดือนก่อน +3

    Inna lilah wainna ilayh rajiuun ndomana tunaambiwa kabla yandowa tumuombe sana Allah atupe mume mwema na mkemwema jatuowe wenye din yani wenye hofu ya Allah ila awa nimsiba hata hofu ya Allah awana

  • @HarunaFursana
    @HarunaFursana 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ya Alalah tusamehe sisi tunaokuomba msamaha nakutubu katika yale tuliokukosea

  • @SalianaMasongwelo
    @SalianaMasongwelo 5 หลายเดือนก่อน

    Duh, Allah awajaalie familia yenu wote awatoe kwenye shimo la moto inshaallah

  • @RehemaHamad-rm6qt
    @RehemaHamad-rm6qt 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaalie mwisho mwema yarab twaomba shufaa yako

  • @MethodkifokaMethodkifoka
    @MethodkifokaMethodkifoka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sijapenda sana,, kwamba mutu mwenyewe boda boda,,😮😮😮😮😮

  • @MubangoEmile-yq5xm
    @MubangoEmile-yq5xm 6 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢jamani kijana aliingia penye hapayingiliki kabisa Pole kaka jikaze utumie busala ukonabwo mungu yupo anakuona kwakweri utapata mwingine Sheria yandowa hairuhusu mwanamuke kwenda katika Kazi hizo anazifanya we potezea mbali huyo Maman ucukue watoto muyishi Hakuna lingine mungu yupo

  • @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
    @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Dada Kuna wengine tunahitaji ndoa hatupati alafu mdogo wako amebahatika Leo unataka hyo ndoa ivunjike kisa hivo vigoma subhannallaah Allah awafanyie wepesi mtoke huko mlipo

    • @KhadijaSalum-nf5mf
      @KhadijaSalum-nf5mf 6 หลายเดือนก่อน

      Ameen dini haiko hapa mungu amzindue mja wake

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 2 หลายเดือนก่อน

    Mhmh mungu nihepu shetu

  • @RizikiMakame-ec1jv
    @RizikiMakame-ec1jv 6 หลายเดือนก่อน +2

    allah atuongoze katik njia ilionyooka

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 6 หลายเดือนก่อน +6

    KM ITAKUA SIO ECTAZ HII BASI HIO FAMILIA ITAKUA NI FAMILIA YA SHETANI

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yarabii tuujalie mwishowema

    • @fifo262
      @fifo262 6 หลายเดือนก่อน

      Aamina yarrab

  • @LaaajoAlhamdilillah
    @LaaajoAlhamdilillah 5 หลายเดือนก่อน

    Kwafano wee unge mshauri nin kwamaongez tuuu yako 😢😢 allah atupe mwisho mwema aibu tuuu

  • @alsam4881
    @alsam4881 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa duniani tunapita tu na pumzi isiwadanganye na kufanya mambo yasiyompendeza Mnyeezi Mungu.

  • @KomboMakame-x8t
    @KomboMakame-x8t 5 หลายเดือนก่อน

    Kosea yote kwenye maisha uckosee kuchagua mke ss jamaa kakosea ona yalivomkumba ila mh brother talaka mbn halali kwa apo toa ata km mungu anaichukia

  • @SuzyyungeSuzyyunge
    @SuzyyungeSuzyyunge 5 หลายเดือนก่อน

    Eee mwenyezi mungu tunusulu na vizazi vyetu jitu zima ovyoo linaongea upuuz kama huo dunia duara kaka achana nao utapata mwanamke mwingine mwenye stara zake atakuheshimu na kukuthamin achana na hao makahaba hawajielewi kwahiyo kuachika wanaona fahari

  • @neemajackson7756
    @neemajackson7756 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmm nkiwaza maisha nje pagumu daah 😅😅😅

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mwana mke ameitwa hawaa Kuna Siri ilio jificha Yani Hawa tosheki Hawa ridhiki Hawa aminiki Hawa sikii doooh

    • @MrangiOg
      @MrangiOg 5 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @RachelJimmy-t9v
      @RachelJimmy-t9v 5 หลายเดือนก่อน

      hawaelewi

    • @FloraGermans
      @FloraGermans 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @FloraGermans
      @FloraGermans 4 หลายเดือนก่อน

      Ila nimependa iyo hawa

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 4 หลายเดือนก่อน

      @@FloraGermans Hawa Ina Siri kubwa ndio mana unakuta jimama eg goo lakini anatongozwa na katoto eg15 na fresh tu

  • @StephanoKamunya
    @StephanoKamunya 6 หลายเดือนก่อน

    Mnyakwisa hongera kwakufata weupr

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndomn zamn baba zetu walichaguliwa familia za kuoa

  • @mzaliwatena
    @mzaliwatena 3 หลายเดือนก่อน

    Na alivyojichora hivyo tuu,hapo hamna mke wala shemeji,wala mke wa kuoa,

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 หลายเดือนก่อน

    Inna lillah wainna illah rajhoon MUNGU atnusuru na atusamehe mazambi yetuu maana mmh dunia inaenda kasi

  • @EuniceWai-cq3gi
    @EuniceWai-cq3gi 5 หลายเดือนก่อน

    achana na iyo familia bro mola atajupa mke mwema inshaallah

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sheevu uyu njinga Kweli kuma linamuashaa mshenzi wewe ngoma ngoma kitu gani mpaka ww ushindue kuolewa na rohoo yako mbaya unataka ivunjike ndoa ya mdogo wako kichwa kama ngili😂😂😂😂 ngoja nicheke nitoe UTI

  • @SalumkassimHaji
    @SalumkassimHaji 3 หลายเดือนก่อน

    Washa ona Mali kidogo wakiachana wanagawa malii ndio malengo yaoo wamrejeshe mwanaume kimaendeleoo ila nibora amuache hafaiii😢

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 6 หลายเดือนก่อน

    Hamna mtetezi hapo
    Wote gora moja mangwiji
    Wameshashinda hao😢😢😢

  • @FanjaFanja-dz2yr
    @FanjaFanja-dz2yr 5 หลายเดือนก่อน

    Mzazi wenu atajibu kesho ndio alokupotosheni hakua mlezi bora napia huyo mumeo ww unaejiita gwiji atajuta ipo siku mtihan mkubwa allahu agbar mungu atupe mwisho mwema

  • @MussaTabora
    @MussaTabora 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huy dada nae hamna kit kabc bad ya kumxhauli mdg mtu ila anaunga ujinga Kwan hiz Ngoma watechz Hadi uzeeni au wanaona watabaki kuwa mabinti hivy hivy au wanajisahau

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 5 หลายเดือนก่อน

      huna hata haya wew mwanamke wew una laaana ya Allah wew na ukoo wako wajinga sana mnatia aibu kwenyw jmii ya wanawake nyie mnayejifanya wazaramu wazaramu wangapi tuanaishi nawo mbona hawana tabia kama hizo acheni kuzalilisha kabila lenu hizo ni tabia za ukooo cyo mila za kabila

  • @Riqya-u1r
    @Riqya-u1r 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmh haya matatoo mtihani mzito 😢😢

  • @ZainabZainab-q5z
    @ZainabZainab-q5z 3 หลายเดือนก่อน

    Wamelaaaaniwa na mungu ao

  • @z-1il
    @z-1il 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampe mke mwenye Dini

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 6 หลายเดือนก่อน +2

    Oa mwanamke KWA nasabu. By profesa mtume MUHAMMAD s a w

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 3 หลายเดือนก่อน

      Mtume sio professor..mtume ni mtume.

  • @patriciaboniface9975
    @patriciaboniface9975 5 หลายเดือนก่อน

    Mdada mzuri Akili Akuna dah 😢😢😢

  • @AishaAboubakhary
    @AishaAboubakhary 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli aibu naona mm

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kumsingizia mungu kwa kila jambo

  • @MohamedShaaban-p8b
    @MohamedShaaban-p8b 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nikifikilia mwanandani nalia dunia si kitu

  • @MichaelJudo
    @MichaelJudo 4 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh jamani MUNGU atusaidie sana mtu yuko radhi kumuacha mumeo na kwenda kwenye shughuli raha iko wapi sas

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 5 หลายเดือนก่อน

    Hii family sio kabisa

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 2 หลายเดือนก่อน

    Hata huyo jaa aliemuoa huyo dada anashida au naye nimcheza ngoma

  • @ScolaJoseph-p9x
    @ScolaJoseph-p9x 6 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu nijalie nipate mume😢

  • @faraj6700
    @faraj6700 5 หลายเดือนก่อน +1

    Family makahaba burenigali hao mangurue hao umeingiya njiya mabaya kaka towa talaka kuminambili .

    • @antidiuskalugira6727
      @antidiuskalugira6727 4 หลายเดือนก่อน

      Mnamponzaa mwenzenuu uko nyiee mnao tukanaa ujuee 😅😅😅

  • @AbraZolla
    @AbraZolla 5 หลายเดือนก่อน

    Jmani tumuongpeni mungu yani tunaelkea sko uk et asili haiychiki sio kwel bro achna na hyo familia

  • @aysherkhamis3338
    @aysherkhamis3338 5 หลายเดือนก่อน

    familia ya makahaba hio pole sana😂😂😂

  • @HASSANAMANI-l4l
    @HASSANAMANI-l4l 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atuongoz inshallah

  • @AHMEDMNEMO
    @AHMEDMNEMO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 6 หลายเดือนก่อน

    Familia ya moto sana😂😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu et magwiji yanin hee hii dunia itawatandika san kwa tabia hiz dada mjinga san huyu ushauri gan mwambie huyo dereva aje mie nimpe mtt wangu niwape namtaji wa fanye biashar aachane na biashara ya boda mtangazaji nenda kamuuliize yule derev nitafute kupitia hap

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke Mzima Unaongea ujinga upo tayari ndoa ya ndugu yako ivunjike kisa kigoma Mungu akusamehe ujui utendalo

  • @amoury1481
    @amoury1481 6 หลายเดือนก่อน +2

    Familia Ya Matapeli Hiyo 😂

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢 laaaahaula yaan uyu anachangia kuachanisha ndoa ya mdogo wake kisa kigoma duh inasikitisha mno

  • @IsmailMgimba
    @IsmailMgimba 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh hyo familia dah haina malez boraaa

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuu,ndio USHAURI huu??!!🙏🙏🙏🙏🤣

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 6 หลายเดือนก่อน

    Acha dharau mpuuzi ww ata kama niboda boda ni kaziyake ya halali na kama uliona boda boda sikazi kwann mpokee mahar nakumuozesha nduguyenu mpuuzi ww hasbunallah waneema liwakili

  • @habibukassam9702
    @habibukassam9702 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hao familia ya kishetani brza achana nae atakuua wanawake wanatafuta ndoa wao umalaya ndio maisha yao ni familia ya makahaba

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli. Km nyimbo za kihaya. Hata wanaume unaona wanacheza

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada ako ikiwa hajaolewa yupoyupo tu ushaur wa kipuuz lazma akugee manake akuonea wiv kuneemeka kwa mume mkae wote nyumbn asichekwe yy tu

  • @MaulidJuto-o6z
    @MaulidJuto-o6z 3 หลายเดือนก่อน

    Sizanikama baba wanae Babayao kawakataa hao tumemuona yao asiyejielewa Watuonexhe na Babayao je Anaakili kamahiyo?

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 4 หลายเดือนก่อน

    Hihi familia nigenge lawahuni tu wote wanalahana wananuka pumbu tu

  • @FatinaMilimo
    @FatinaMilimo 4 หลายเดือนก่อน

    Duh iyo familiya ni ya moto sana

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 5 หลายเดือนก่อน

    Anaona sifa mwenyewe 😢

  • @omaryhamisi3228
    @omaryhamisi3228 5 หลายเดือนก่อน

    Tuombe mungu hatuhongoze

  • @ibrahimirove
    @ibrahimirove 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan Hao Hawali Mpaka Waliwe Kakaangu Achana Nanao Hao .Wapo Wazi Sana Kama Za Mbuzi Vile

  • @MaulidJuto-o6z
    @MaulidJuto-o6z 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mtangazaji hao hamnakitu
    Wote familia nzima unaweza ukawalawote haho waxhenzi

  • @ClavryElisha
    @ClavryElisha 6 หลายเดือนก่อน +1

    brow sikia chula akii kwenye maji ya moto wewe ni mtu wa moto toka kwa huyu janjaro😂

  • @SalianaMasongwelo
    @SalianaMasongwelo 5 หลายเดือนก่อน

    Duh pumz inadanganya watu sana wasiojifaham

  • @AthumaniShabani-i2z
    @AthumaniShabani-i2z 5 หลายเดือนก่อน

    kaka piga moyo konde huwenda huyo mke ilikuwa ndowa bahati mbaya mungu atakupa wakuishi naye

  • @AishaAboubakhary
    @AishaAboubakhary 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu kahaba sijui hata km anajua maan ya ndoa

  • @midilastahans7188
    @midilastahans7188 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwa nyie mnatafuta umaarufu hapa MTU hivyo Sana.hamna lolote shenzi moja ya mtangazaji
    Shenzi ya pili ya dada
    Shenzi ya Tatu mke hewa
    Shenzi na mbwa wakiwango cha lami mume hewa mbwa nyie.

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 5 หลายเดือนก่อน

    Njoo nikuoe my

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 2 หลายเดือนก่อน

    Hicho kisa hakifai ktk jamii tafutini visa vinavyo Jenga na si hii stori

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni WA dangaji na ndio maana Wana mpaka mashetani huyu jicho la udangaji kbs

  • @Gmeninoclassic-b5o
    @Gmeninoclassic-b5o 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe dadamtu mpambavu sana kenge malaya nkubwa we

  • @LatifaMohammed-p4k
    @LatifaMohammed-p4k 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa hata kama wangekaa icho kikao wangemwambia nini hovyooooooo😏😏😏😏😏😏😏

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 6 หลายเดือนก่อน

    Ata ukiwa mtu WA ibada basi utapata marafiki wema zaidi ambao ata Mungu amewaridhia sio lazima kuwa na company za mafuska

  • @HarunaFursana
    @HarunaFursana 6 หลายเดือนก่อน +1

    Machoz yananitoka. Inamaana hamna. Din. Aw hamfaham kuwa. Kaolewa. Wewe dada sio mtu wakigoma. Kabisa. Watu wakigoma wastaarab mno. Dads

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo nae matatizo hakuna jema badala ya kumkemea mdg wake akaee sawa n mumee wake vzri yeyee ndo anapoto🎉🎉

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaiyo ww pia unataka ndoa ya mdog wako ifike kwa ulaanifu mmmm ndoa stara lkn nyie mnaona km shimo la chooo mwende mkachungulie mtoke ivo ulivo uchi na akili zako nazo zipo uchi hujitambui km upo dunian au akhera😂😂😂

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani eeeee

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 5 หลายเดือนก่อน

    Wasukuma, wanyakyusa mkija Dar mlete wanawake zenu mkiparamia wa mjini basi muwe na vifua vya kutulia wakenda kwenye chura, msilete usukuma wenu kwenye vigoma vya wenzenu pumbavu zenu

  • @MawazoSharron
    @MawazoSharron 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka ulioa kahaba pole sana😂😂😂usipo fumbua macho utaumia

    • @annanasoro3007
      @annanasoro3007 6 หลายเดือนก่อน

      Kaka pole hachana nae tafuta mke mwingine hachana nakupenda utaumia

  • @SwaumuMuhamedi
    @SwaumuMuhamedi 5 หลายเดือนก่อน

    Yaarabi tujaaliye mwisho mwema

  • @Saidi_tanga
    @Saidi_tanga 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona kazi ipo Mimi ndio mana sijaoa mzarmo kabila ambazo azifai kuoa msaramo mndengereko mmatumbi ndio mana magonjwa haishi kwajili yarana iyo familia aifai kabisa mwamba kayakanyaka 😅😅 kaka hapo una mke una shetani jamani kusoma dini kunasaidia kaka usioe bila kuliza kwaza 😂😂😂😂😂😂

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu amepigwa mpaka nyota za umalaya ana vyeo vyake

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo maana nilisema mimi huenda akawa ametoka familia ya ovyo ona dadake na mimi naona nimpe pole huyu kaka msiba mkubwa sana huu

  • @gloriaaugustino8031
    @gloriaaugustino8031 6 หลายเดือนก่อน

    Sio Kiki kweli😢

  • @ShamsaOmary-l9g
    @ShamsaOmary-l9g 6 หลายเดือนก่อน

    Watu wa hivyo wakija kushikwa na maradhi au matatizo mazito ndo huwa wanakuja mtandaoni wanaomba msaada...Mwsho wanasema wame okoka poleni sana

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 5 หลายเดือนก่อน

    Ujana majiyamoto ila hii familia mtihani

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 6 หลายเดือนก่อน

    Dunia inawadanganya hawajui kesho yetu

  • @BashiriFlorian
    @BashiriFlorian 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni fara kwer Kwan bodaboda siyo kazi

  • @aminasuleiman8120
    @aminasuleiman8120 5 หลายเดือนก่อน

    Mhhhhh!!!😢😢