Dada Matha Mimi ushauli wangu ni huu kama kunaukweli kuhusu Mama, ebu umwombetu msamaha, pia omba sana Mungu na uwe nautulivu kipindi hiki ni kigumu sana kinahitaji Mungu pekeake asimame.
Tuna kuombea lakini anza na wewe kuomba na mkanye binti yako unaye dhani anakupenda ahache mara moja kuingilia mambo ya familia yako huku akiji record amelewa au amapandwa na mashetani huyo ndo anazidi kukutia kikaangoni
Unapotea Sister nenda kwa mama umuombe msamaha unakosea mno, Mama yako anateseka anaumia vibaya kuliko hata jinzi wewe unavyoumia na utakuja kuumia zaidi
Jamani mimi nipo kwa matha ,ametukanwa amezihakiwa mama yake alitakiwa amuite kisitalabu mtoto wake kuliko kwavitu walivyo vifanya ,mungu niwalehema atakulehemu
Pole sana Martha Mungu wa MBINGUNI akupiganie
Sweetheart muombe mama msamaha,kisha mwambie Joan aache kujibishana
Hata hili litapita uliimba jaribu sikwam
Ba nimtenda dhambi bali.....
Dada Matha Mimi ushauli wangu ni huu kama kunaukweli kuhusu Mama, ebu umwombetu msamaha, pia omba sana Mungu na uwe nautulivu kipindi hiki ni kigumu sana kinahitaji Mungu pekeake asimame.
Nende. Kwanza. Kwa. Mama. Ukamuombe. Msamaha. Mama. Ni. Mungu. Wako. Wa. Pili. Hapa. Tunapita. 😢
Nenda kwa mama kwanza ukatubu ndo nikuombee
Acha mambo ya media!!!! Haisaidii kitu,
Nendaa kwa mama yako.achana na kinyago kinachokuambia mama mchawi.mchawi baada ya kua umetoka.hacha mbwembwe nenda kwa mama ndo cha msing
Tuna kuombea lakini anza na wewe kuomba na mkanye binti yako unaye dhani anakupenda ahache mara moja kuingilia mambo ya familia yako huku akiji record amelewa au amapandwa na mashetani huyo ndo anazidi kukutia kikaangoni
Hukweli.kama pale ndo kwenu duh umechemka mna mno.aibu pale na wewe havifanani
Unapotea Sister nenda kwa mama umuombe msamaha unakosea mno, Mama yako anateseka anaumia vibaya kuliko hata jinzi wewe unavyoumia na utakuja kuumia zaidi
Mwambie kwanza uyo mmbwa wako aache kujibu jibu mama ni mama ata iweje uchungu unaujuwa matha