ibilisi Kutoka Qamaria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 100

  • @biubwayahya2294
    @biubwayahya2294 4 ปีที่แล้ว +5

    Qamariyya nyinyi ndo mabingwa wa kutoa qaswida zenye ujumbe mzto wote wanatoa za harusi tu hawana uwezo wa kuumiza kchwa na kutoa ujumbe km nyinyi Masha Allah

  • @HadiaHassan-y5h
    @HadiaHassan-y5h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sichokagi kuskiliza hii qaswida juu Iko na mafunzo mashaallah🎉❤❤Nawapenda Wana qamaria

  • @lilbaby1494
    @lilbaby1494 3 ปีที่แล้ว +4

    Poleni kamariya kwa kuondokewa n mwalimu wenu mungu ampe kitabu chk kwa mkono was kuli🙏

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 10 หลายเดือนก่อน +1

    I'm still crying in 2024 once I watch this Qaswida, may Alla grant you the highest Janna inshalla 🤲🤲 😢😢😢😢

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

  • @ahmedqaby3704
    @ahmedqaby3704 5 ปีที่แล้ว +5

    Yan,beka sjui niseme nni nakumbuka kwenye maisha yko ulivo tuweka sisi qamarriya,ila,allah akupe nuri ya kabri

  • @hamadali6377
    @hamadali6377 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah qamaria madrasa karibuni almadrasatul istiqama konde pemba

  • @sabahmek1999
    @sabahmek1999 2 ปีที่แล้ว +2

    Qamaria mko vizuri sana 🥰🥰nawapenda sana

  • @sabahmek1999
    @sabahmek1999 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze mahali pema 😭😭mashallah qaswida ina ujumbe mzito

  • @khalfanjuma9768
    @khalfanjuma9768 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah s.w amrehem mja huyu na umsameh madhambi yke ya Siri na dhahir amiiin😭

  • @almashaaribububu1214
    @almashaaribububu1214 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Wana kamaria doch uko vizurii nice Kaz nzurii

  • @zamrathussen5367
    @zamrathussen5367 5 ปีที่แล้ว +6

    yani sijui ata nianzeje jamn ila innalillah wainna ilaih rajiuuun ndo kwnz najua leo ila inaniuma sana tena sana illa hii ni mipango ya allah

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah Qaswida mzur sana , Polen Sana Qamaria kwa kuondokewa Mwalim wenu Bakar Duch Mwenyez Mungu amjalie kauli thabit .

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 5 ปีที่แล้ว +4

    Tutakukumbuka San kipenz chet tulikupenda San ila Allah amekupenda zaid mbele yko nyuma yetu

  • @saeedjuma4335
    @saeedjuma4335 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapi Pacha wangu😍 dulla swahaba 😘 yussuf jamani all in all nawamisi all qamary group😘😍🤩

  • @asmaahamber8481
    @asmaahamber8481 6 ปีที่แล้ว +6

    MashAllah Qaswida Kiboko One of my Favorites

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 5 ปีที่แล้ว +3

    Poleni kamariya kwakuindokewa na kiongozi wetu. Beka mungu alaze mahali pema peponi daima tutamkumbuka

  • @rahmarashid3719
    @rahmarashid3719 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe qauli tha-abit my brother aahhhh naumia wallah ndo hatma.....!!!

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamn inauma sana mungu muweke mahali pema pepon kaka ang

  • @hamidabdalla1814
    @hamidabdalla1814 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii Qaswida nilikiwa naisikia kwenye redio tuu nimeitafita sanna hatimae leo 3/4/2024 ndo nimeipata dahh

    • @SoudOmar-i7m
      @SoudOmar-i7m 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Karibu Hesmin TV Kuna mingi yakupendezesha kwamuislamu

  • @mainaabuu8931
    @mainaabuu8931 5 ปีที่แล้ว +5

    R. I. P mungu ampe safari ya kheri umetangulia kaka yetu nasisi tutafuatia, tumekupenda cn lkn mungu amekupenda Zaidi

  • @bindouch5402
    @bindouch5402 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika kwa Allah ndio marejeo

  • @mustafasalum2778
    @mustafasalum2778 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaan daah maneno yametowekaa ila Allwah akupe kila lenye kheir nawe katika safarii yako mwalimu wetuu

    • @ramlamanji5198
      @ramlamanji5198 3 ปีที่แล้ว

      Allah ampe maisha mzr y uko y barzakh

  • @udymakame5269
    @udymakame5269 4 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainna ilayhi rajiuna Allah ampe qauli thabit

  • @biubwayahya2294
    @biubwayahya2294 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila ninapoangalia qaswida za Zanzibar cjaacha kuicheck qamariyya then napata hudhuni km binadam kwa kuondokewa na kiongoz wetu ktk qaswida zenye ujumbe kiongoz wenu qamariyya, polen sn ndg zng wa Zanzibar mana uyu kwng alikua no 1zanziba nzima Mungu atujaalie mwisho mwema

    • @aliy3303
      @aliy3303 2 ปีที่แล้ว

      Allah amsaameh

  • @nahreelkenzo4650
    @nahreelkenzo4650 5 ปีที่แล้ว +4

    allah akupe makaazi bora uko uendako na akusamehe madhambi yako.leo wewe kesho sisi.R.I.P bin douch

  • @khairatkhelef9862
    @khairatkhelef9862 5 ปีที่แล้ว +6

    Allah akupe safar ya khery na akusameh dhambi zako hakika kila nafs itaonja maut

  • @mwanaothman8964
    @mwanaothman8964 5 ปีที่แล้ว +7

    Allahumma ghfirlahu Abubakar, warhamahu waskanahu makana fil jannah

    • @shuweikhasaid3605
      @shuweikhasaid3605 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akulazemahala pema pepon akupekitab chako kwa mkonowa kulia amin

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 2 ปีที่แล้ว

      Aamiin Yaa Rabbil Aalamiina

  • @salmahassan784
    @salmahassan784 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah masha allah Qamaria mko vuzzurryyy I like it 😚😚😚

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 5 ปีที่แล้ว +5

    R i P inalilah wainailayhii rajiun mungu ampe safari njema beka mungu ampokee vizuri na amsamehe makosa yake HATUTOKUSAHAU KWA MEMA ULIO FANYA😤😤😤😤

    • @binthamad8740
      @binthamad8740 5 ปีที่แล้ว

      Marijani Mohamed tupoww kwa sote😤😤

  • @husnamussa1665
    @husnamussa1665 5 ปีที่แล้ว +4

    Hv mnajua ni kiac gn tunaumia...
    Tunaomb kam wana familia hiz qacda zisiwekwe jmn mnatuumizaaaaaaa jmn tunaumia...
    Tunaongea kam wana wa familia kasida ambaz yumo huy mt plz plz plz zisiendelee kuwekw na zilokuwep uwez kam upo ziondoshwe jmn ondoween hv huo mda wa kukaa studio mungkaa mukaomba dua ingkuaj jmn mnatuumizaaaa....
    Rest in peace my dear broo.. We love more and more and we miss you more but is not fair...
    ALLAHUMMA GHFIR LAHUU WARHAMAHUU ABUUBAKAR WA MASKANAHUM FILLJANNAH...
    AMIIIN

    • @hajimwinyi
      @hajimwinyi 3 ปีที่แล้ว

      Ni kazi na mipango yake allah taallah kikubwa ni kumuombea tu

    • @aliy3303
      @aliy3303 2 ปีที่แล้ว

      Haifai kueka machafu yk lakini km ni mema hakuna ubaya

    • @aliy3303
      @aliy3303 2 ปีที่แล้ว

      Allah amuhifadhi ametoa ujumbe ktk hii kaswida km mawaidha lakini kwenye shubhaat Allah amsaameh

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe kauli sabit

  • @salumsuleiman7328
    @salumsuleiman7328 4 ปีที่แล้ว +2

    ni kipigo kwetu ila mungu awe pamoja nae amfanyie wepes ktk nyumba yke ya milele

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 6 ปีที่แล้ว +3

    Unaghani mpk nalia maa sha Allah

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaz ya mungu haina makosa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jumashujaa7721
    @jumashujaa7721 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman kwaida kali

  • @hafidhabdulla3439
    @hafidhabdulla3439 5 ปีที่แล้ว +4

    Pumzika kwa amani prince

  • @salumhodari9846
    @salumhodari9846 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukumbuka poleni sana qamariyyah Nina swali nimpende nani msomaji km prince,douch,beka,kupenda sn

  • @hafidhsaleh5096
    @hafidhsaleh5096 5 ปีที่แล้ว +1

    😭😭Allah akusameh na akuepushie adb y kabr

  • @salumhodari9846
    @salumhodari9846 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahali pema abuu nakukumbuka sana

    • @issaali8277
      @issaali8277 4 ปีที่แล้ว

      Innalillahi wainnaailaihi raajiuun. Ila mm nauliza aliekufa ndo yupi ktk hawa maana mimi simjui.

  • @fatmaomar1678
    @fatmaomar1678 5 ปีที่แล้ว +5

    Innalillah wainnailayh rajiun
    Pumzik kwa amani kaka

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 5 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana wana qamaria

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏mashallah

  • @nasrisadick8290
    @nasrisadick8290 2 ปีที่แล้ว

    Kaz wanaume kujichezesha mbele za watu tu nyie ndo mnakuja kuwa wasanii badae mkiona maisha yamewapiga,,aibu hii ukiuliza et ooh hii sauti nliipata madrasa wakt naimba qaswida nlikuwa naimba vizur,,

    • @KibibiDochi-np5sj
      @KibibiDochi-np5sj ปีที่แล้ว

      Hujui unaposema hivi unatuumiza kiasi Gani. Watu na Mungu alivyoijaalia family yeti kuwa na vipaji

    • @OmarJuma-o4g
      @OmarJuma-o4g 11 หลายเดือนก่อน

      kwhy tukusaidie nn

  • @AJAJZAINBLOOD-nr9xt
    @AJAJZAINBLOOD-nr9xt 6 ปีที่แล้ว +2

    Tunawapenda sana JAWHAR

  • @zuleikhawadaan7792
    @zuleikhawadaan7792 4 ปีที่แล้ว

    R.i.p kifo nisiri yamung ila kinaumiza uwende salama zach wang 28/10 ht mm sitoisahau 2020

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 6 ปีที่แล้ว +1

    Nani kama.Qamaria znz hiki kitu ata ije miaka elfu haishi hadhi kama imetolewa leo maa sha Allah

  • @ummukulthumameir6992
    @ummukulthumameir6992 5 ปีที่แล้ว +2

    Prince sauti unique

  • @abdallaothman6258
    @abdallaothman6258 5 ปีที่แล้ว +5

    Hakika nitazikumbuka nasaha zako na muongozo wako Allah akulaze pema peponi

  • @ZonlineTV
    @ZonlineTV 6 ปีที่แล้ว +4

    Tunawapenda sana qamaria

  • @abuuarkam4455
    @abuuarkam4455 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa jamaaa mafundi wanajua kucheza

  • @khudhaifatkhamis6006
    @khudhaifatkhamis6006 6 ปีที่แล้ว +2

    Hadi Leo haipiti cku km cjackiliza hii qaswida

  • @fakihsadallah3985
    @fakihsadallah3985 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 na ss tupo nyuma yako

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 5 ปีที่แล้ว +3

    R I. P BEKA MUNGU AKUPE MALAZI MEMA

  • @saidrashid4632
    @saidrashid4632 2 ปีที่แล้ว +1

    Amiin

  • @halimajuma1334
    @halimajuma1334 5 ปีที่แล้ว +5

    Innalillahi Wainna Ilayhi Rajiuun

  • @khadijahashim9470
    @khadijahashim9470 5 ปีที่แล้ว +5

    inna lillah wainna ilayhi raajiun

  • @HadiaHassan-y5h
    @HadiaHassan-y5h 10 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 ปีที่แล้ว +1

    mko vzr kabx hmna mpinzani

  • @yusufgagamuhammad2674
    @yusufgagamuhammad2674 5 ปีที่แล้ว +1

    JAMANI NALIA MIYE MWENZENU NAWA PENDA SANA KWA AJILI YA MUNGU

  • @Abuuali-o5l
    @Abuuali-o5l 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

  • @salummussa4143
    @salummussa4143 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice song

  • @khudhaifatkhamis6006
    @khudhaifatkhamis6006 6 ปีที่แล้ว +3

    Eeee bhn weee nataman nipae nikicklza ctk llte

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 5 ปีที่แล้ว +2

    Makaz mema kaka abubakar

  • @saiddangote7311
    @saiddangote7311 6 ปีที่แล้ว +2

    Eeeeeeeeh anko Abuu uyooo

  • @abdulganja1427
    @abdulganja1427 5 ปีที่แล้ว +1

    😤😤😤😤😤😱😱😱

  • @HadiaHassan-y5h
    @HadiaHassan-y5h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sichokagi kuskiliza hii qaswida juu Iko na mafunzo mashaallah🎉❤❤Nawapenda Wana qamaria

  • @abdulkhalilyseifomar273
    @abdulkhalilyseifomar273 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

  • @khudhaifatkhamis6006
    @khudhaifatkhamis6006 6 ปีที่แล้ว +3

    Hadi Leo haipiti cku km cjackiliza hii qaswida

    • @aminakundi4040
      @aminakundi4040 ปีที่แล้ว

      Innalillah wainna ilayhi rajion mungu amlaze mahali pema amiin

  • @HadiaHassan-y5h
    @HadiaHassan-y5h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sichokagi kuskiliza hii qaswida juu Iko na mafunzo mashaallah🎉❤❤Nawapenda Wana qamaria

    • @HesminTV
      @HesminTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV