@@mwajumadevu1706 ila ukuambiwa kupiga mziki au kitu chochote kinacho tiwa ata za muziki zitumike kwenye sherehe utakuwa umekosea san ukifanya ivy maan Allah ajakuambia ufanye ivy bara unajipangia wewe mwenyew t piy ukifanya ivy tabua iyo n haramu unaifanya
@@mwajumadevu1706 ayo yakwako ndiy ware tunao semaga tendo la doa n tendo t ata ukienda kizin nitendo t landoa maan kitendo n kimoja ukofunga ndoa au ujafunga ukifanya uzinifu nitendo moja t kwaiyo aina shida ndiy wanao sema ivy bas nafananisha na msemo wako sherehe n sherehe t ata akiweka mziki au ngoma n sherehe t sinndiyo ila muongope Allah maan nimkali wakiazibu ten chunga san urimi wako unapo sema kitu piya ichinge mikon yak na vidore vyako piy usisaau macho yako na nafsi yako maan ndiy vinatimia uwelewa wa simu yako
Yan hii qassida kaimba Kwa hisia naipenda had Leo 2024
2024 nipo hapa
Hongeren Allah azid kuwaweka mzidi kufanya Mambo makubwa inshaallah
Nice qaswida Masha'Allah
Mashallah Allah awaafikie mfanye hta zaidi ya hapo
Masha Allah alah madina mnajitahidi Allah awazidishie kazi yenu awafamyie wepesi
Mashaallah kk ntakutfta ujeniimbie namm kharusn mwang
Allah Ata kuhukumu hakki yangu ulio ichukua inshallah Lita kupata la kukupta
MBONA makasirika
Mashaallah hongera Sana Kaka fakk
Bila shaka harusi ilifana 🎉🎉🎉🎉
❤❤ mashaalah
Masha Allah
Nyiny shangilieni lkn siku ya Qiyma muandae Majibu ya kumjibu Allah
Big Boss acha zko
Big Boss asa wasifurahie jmn
Allah ameharamisha vinanda kupiga zumari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hata wewe usiyeshangilia andaa majibu pia
Almarehemu shekh nyundo alikua akisema mnamuona anachekesha lakn ukweli wenyewe ndiyo huu sasa tutubieni kama sihivo naona moto utatumiza
Swadakta shekh nyundo yake yashamaliza na alikua akijitahidi kutunyooshea Zanzibar yetu ila Allah amlipe pepo firdaus na sisi Kwa ujumla
Thanks for your help
Nice ONE😍😍
Huu ni msiba Allah atuhifadh
Faki hujawahi kufeli 👍
Machallah ❤❤❤
Dah iko vema fakhii allah akulinde na mahasid
good ustadhi apo apo yaani hapa umeimba si mas.hara
😍kaka umenipigia umodo huo 😀😀😀😀
hongeraaaa faki sauti kuntu yaan mashaallh
Nadhifa Aliy
Khayrat
Qaswida mzuri sana Masha Allah
Waaaooo maashaallh
ma shaa Allah hongera kakazanguni
ALI HUSSEIN
Maa shaa Allah qaswida nzuri
Mashaallha allha awajaalie maisha marefu
Mashaa Allah fakh
Subhana llah hii dini yaenda wpi,mutaenda ulizwa SKU y qiyama yni nynyi waschna kucheza mble y waume ndo yamaanisha nni haswa😣
Zahdain Abubakar wanatafuta soko
+Mamatuma Nassoro wallah usemayo kweli sikuhiz wajipeleka wenyewe
Niwakosefu tu
😂😂😂😂
hongera sana fakih kaswida nzr
hongera sana faki sauti kuntu yaan mashallh
Nadhifa Aliy
nc
Nice
Nadhifa Aliy maashaaalla faqhi upovizurii saaaaaana allah awajazekhilikwakutujuza
Mashallah very nice
Hongera sana faki sauti ndjema from djuzur kamar
Faki unajua swahiba dah ww noma kwa zenji natafutia Kk ww unajua tena unajua
Fundi Ali m
mambo vp
Mashallah😍😍
🔥🔥
Hongera sana Fakkih
Mshenz mkubwa uyu fakki mwzi tapeli Anachukua pesa za watu za kaswida halaf Ana kimbia mwizi mkubwa mpk mm kanitaeli
Mashallah
Mashaallah 😍😍👌🏽❤
Mas'uliya mbeye ya Allah.Inna lillah...
Ndugu zake alowataja hapo ndo wanacheza nae jmn achen wat wafrahie na ndugu zao .........wallahu aghalam....
kasome kwanza, dini sio ngumu kiivyo
yani hawa viumbe nawapenda mno
Mashaallah
nikwel mzr kunogesha harus ila kwaAllah nikosa kubwa sana maan amekataza mambo ayo
WE VP MAMBO GANI HARAMU HAPA WAKATI MUNGU KASEMA ZITANGAZENI NDOA ZENU NA MUZISHANGIRIE
@@mwajumadevu1706 ila ukuambiwa kupiga mziki au kitu chochote kinacho tiwa ata za muziki zitumike kwenye sherehe utakuwa umekosea san ukifanya ivy maan Allah ajakuambia ufanye ivy bara unajipangia wewe mwenyew t piy ukifanya ivy tabua iyo n haramu unaifanya
sherehe ni sherehe tu
@@mwajumadevu1706 ayo yakwako ndiy ware tunao semaga tendo la doa n tendo t ata ukienda kizin nitendo t landoa maan kitendo n kimoja ukofunga ndoa au ujafunga ukifanya uzinifu nitendo moja t kwaiyo aina shida ndiy wanao sema ivy bas nafananisha na msemo wako sherehe n sherehe t ata akiweka mziki au ngoma n sherehe t sinndiyo ila muongope Allah maan nimkali wakiazibu ten chunga san urimi wako unapo sema kitu piya ichinge mikon yak na vidore vyako piy usisaau macho yako na nafsi yako maan ndiy vinatimia uwelewa wa simu yako
No conversation
Hakuna kaswida ya kiislam Bali kaswida anashidi zote ni mziki ni haramu
Taarab imegeuzwa jina inaitwa Qaswida, Waite taarab isokua na matus
Allah atuhid na vizaz vyt
Mashaallah I like it
Ulipendez kwel mashallah
mashaallah mungu ukulinde
Hongera fakki
unawaza {fakki}
قاسم يقعوب masha allhh
Safi Sana
mashaallah
Mnakumbatiana jamani.si vyema kuchanganyika na wanawake
Ni dada zake
Fundi
Umetulia hiyo fakky mbarouk
Ahsnte kaka
Kasida au nyimbo
Baada ya nyingi Tabu ya Fakhi mbarouk
Fundi fakky
Kasida tumbatu zanzib
Mashallah
Mashallah nawapenda sn
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah