Asante sana da Mariam umetusaidia sana,maana kunamtu alikua anatoa line anaendanayo kuoga cm anaiacha wazi we unajua haiiti kumbe haina line , lakin cku za mwizi arobaini to 🤣🤣🤣
Have never understood what marriage is if someone u call the love of my life, father/ mother of my kid's, someone who sees your nakedness bit a phone become a no go zone, very unfortunate
Kama huwezi share simu, huwezi toa nguo mbele ya mpenzi wako, huwezi share PIN na mpenzi wako, basi jua hamjakuwa kitu kimoja vile bibilia inasema..'And the two shall become one'...If you're one, then there should be no secret..You only keep secret to others. not yourself..How can people say they are one but keep secrets?? Mimi na bibi yangu ata simu hazinanga PIN..She can pick my calls, I can pick her calls nakadhalika
Simu ni sumu I agree with that say cause I was in that problem once. My hubby was about to break my hand because I just touched his phone. I had found him chatting with one lady friend but they conversation was totally with appropriate behavior. She was asking my husband why didn’t you post your wife’s picture today. She was like was like trying to get into him by sending love messages which I ended up getting upset. So we come to say darling don’t touch my phone and I won’t touch your phone to . So touching my husband phone is something I won’t do it even in the second life .
Hapo sasa maana wewe ndo upo ndani hao wengine kazi ni kiaribu maana na hao wanatamani unazolishwa na wao wazipate so lazima watafanya kila jambo kuvuruga ndoa za watu.
Kuna simu zingine hutakiwi kuzisikia halafu mwanamke haambiwi wala hapaswi kujua kila kitu cha mumewe kila mtu ashike simu yake kwa ndiyo maana ikaitwa simu ya mkononi sasa kila mtu na mikono na simu yake
eeeeeeh we ulo ndani mbona una babaika?Nimependa Mariam Wamigomba aliyoyasema,ukifichiwa simu we wapendwa,zizaitwa shock absorbers za marriage!! kama yule aliko huko nje haletwi nyumbani kama mke mwengine we mbona unapandisha pressure?
Mleteni tena huyo Ukhty Maryam maana apiga mulemule.
HONGERA KWA JOPO ZIMA👏👏👏
I love Mariam so much...her word flow is crazy 🤣🤣🤣🤣
I would actually listen to her advice,she's realistic in my opinion.
Huyu Mariam wa Tanzania ako mbele sana, wangapi wakubaliana?
Asante sana da Mariam umetusaidia sana,maana kunamtu alikua anatoa line anaendanayo kuoga cm anaiacha wazi we unajua haiiti kumbe haina line , lakin cku za mwizi arobaini to 🤣🤣🤣
Mariam umesema kweli anaowekwa ndani ndio mwanamke kweli, Asante
Asante Sana mwoni nzuri Sana dada
Have never understood what marriage is if someone u call the love of my life, father/ mother of my kid's, someone who sees your nakedness bit a phone become a no go zone, very unfortunate
If you want to keep your relationship, keep off the mans phone, you will enjoy all the peace and respect you command.
Kweli kbs
That's is true
Maryam kweli kbs ongera
Kama huwezi share simu, huwezi toa nguo mbele ya mpenzi wako, huwezi share PIN na mpenzi wako, basi jua hamjakuwa kitu kimoja vile bibilia inasema..'And the two shall become one'...If you're one, then there should be no secret..You only keep secret to others. not yourself..How can people say they are one but keep secrets?? Mimi na bibi yangu ata simu hazinanga PIN..She can pick my calls, I can pick her calls nakadhalika
That's what is called marriage
leo imekuwa much interesting tunasuburi kesho pia i say.
Hongera sana
Wah,,simu ziwe kando majumbani mwetu jameni...
Mariam hongeraaa
Hapo chacha miriam wamigomba
Kenya +Tz hoyeeeeee pamoja
Pamoja Africa mashariki 🤜🤛
Simu ni sumu I agree with that say cause I was in that problem once. My hubby was about to break my hand because I just touched his phone. I had found him chatting with one lady friend but they conversation was totally with appropriate behavior. She was asking my husband why didn’t you post your wife’s picture today. She was like was like trying to get into him by sending love messages which I ended up getting upset. So we come to say darling don’t touch my phone and I won’t touch your phone to . So touching my husband phone is something I won’t do it even in the second life .
Hapo sasa maana wewe ndo upo ndani hao wengine kazi ni kiaribu maana na hao wanatamani unazolishwa na wao wazipate so lazima watafanya kila jambo kuvuruga ndoa za watu.
👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍
simu zisifichwe jamanii tuaminianee kama kweli tunapenda. changamoto kwenye maisha ya ndoa haziwachi.
Kuna simu zingine hutakiwi kuzisikia halafu mwanamke haambiwi wala hapaswi kujua kila kitu cha mumewe kila mtu ashike simu yake kwa ndiyo maana ikaitwa simu ya mkononi sasa kila mtu na mikono na simu yake
Aiseee Huyu Dada Wa Tanzania Mariam Noma Sana...........Eti Maliwatoni ni jina lingine La Msalani!
Lulu very happy coz she has support from Mariam 🤣🤣
Simi yangu ni yangu
Mariam wa Migomba yuko juu....mleteni kila wiki
Mjadala huu umenoga: Marriam apewe mwaliko tena na tena
🤳🤳👏👏👏👏
kweli bi mariam . mkipendana na kuaminiana hakuna mipaka ya mambo madogo tu kama hayo.
eeeeeeh we ulo ndani mbona una babaika?Nimependa Mariam Wamigomba aliyoyasema,ukifichiwa simu we wapendwa,zizaitwa shock absorbers za marriage!! kama yule aliko huko nje haletwi nyumbani kama mke mwengine we mbona unapandisha pressure?
Nilienda kutembea mahali nikona mke amechukuwa simu ya bwanake, mumewe aliruka na kumpokonya
🤣😂😅
wanawake wa nje wanamatusi ucjaribu kubishana nao . bora stahamili fahamiana na mumeo tu.
mimi huwa ziguzi simu ya mtu🤞🏾na asiguze simu yangu basi❤️
Emily Robi yako lazma nishike
Abu Saeed Never
@@emilychichi7517 mbona kwani kuna kipi ambacho unaficha
ALWATAN ALFIZE hakuna
@@emilychichi7517 kunatatzo hapo kwakweli
naona hapa bado hakujapatikana suluhisho ningependa iregelewe
Mama mswafari unaumiza lulu
Umeona eeeeh
Ikiwa alipatikana kwa cmu mbona aje anikataza kuitumia?.jst keep off
Alafu ni kweli kwa side chick huwa ni kukavu sana. Stay at home , stay safe maji mengi sio kukavu.
Soon wataachana tuuu!!!
Wacha wivu
Mimi sinaga tabia yakugusa mme wangu sababu ata password yake amenipa so sinaga wasiwasi
Nawashkru nyote uwanga mwanijega akili swadkta
Hahahaa ukifichwa sim kuna shimo kwenye mtungi hahaha sitaki mume wala kuolewa
pendo edward utaishia kudanga
@@abusaeed9037 apana sidangi Mimi niliamua kumtumikia mngu Maisha yangu yote
@@hellenshela2279 urongoooo. Itakaa hivyo mpaka lini😂😂😂😂
@@princesschicute79 Hapo sasa maana yeye ni binadamu na lazima awe na hisia asitudanganye
Hsys. Maneno. Mazima. Hata. Mimi. Yananikupa. Sana. Hufika. Kusema. Basi
Kweli
Maneno. Maxims
Ndo hapo ukaambiwa simu ya mwanaume achana nayo maana inaweza kukufanya ukatokwa na machozi bure.
Hii advise huwa ni ya lulu na rashid
Rashid mwanaume kamili anastahili kuengeze mke
Sim ya mmeo usisongelee iangalie kam kituo chapoli kam hutaki kero
Mimi nashika cm ya mumewe wangu na nikikuta ujinga na hoji na gombana nakupigana
Unagombana nae kisa simu na ikitokea iyo simu ikaleta vurugu mbaka wewe kufukuzwa na kumpa nafasi anayetuma izo message kujitawala kwako sasa itakuaje tafakhari hayo.
@@alfanm.8221 vyovyote itakavyokuwa lkn kushika simu lazima mijitu yenyewe haiaminik
@@ramilialiy3725 Aaaah password basi zitafanywa kuwekwa kila mahala.
@@alfanm.8221 😂😂bd hazijaanza mwenzangu mie ugomvi nanua
@@ramilialiy3725 😂😂😂 basi wee noma.